Algeria imeanza mchakato wa kusitisha makubaliano ya huduma za anga na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ambayo yalisainiwa mwaka 2013.
Uamuzi huu unaweza kuathiri sekta za kiuchumi kama usafiri wa anga, utalii, na usafirishaji wa mizigo kati ya mataifa hayo mawili.
Mvutano katika uhusiano wa...
Hamas wametoa jibu kwa mpango wa Trump wa kukomesha vita Gaza. Hamas wamesema kuwa kimsingi wanakubaliana na mpango huo, wanachohitaji ni kujadili undani wa utekelezaji.
Mpango wa Trump wa kumaliza vita Gaza, unawataka Hamas kuwaachilia mateka wote ndani ya masaa 72 tangu wakubali, Israel...
Waziri Mkuu wa India, Modi, ameukubali mpango wa Trump wa kumaliza vita Gaza, na kusema kuwa mpango huo umegusa mambo yote kwa kina, na hivyo wahusika wote wanatakiwa kuuunga mkono kwani mpango huo unalenga kuleta amani, usalama na maendeleo kwa wapalestina, waisrael na Asia Magharibi yote...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameliagiza Jeshi la Polisi kuendelea kuzingatia maelekezo yaliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kuhakikisha linashughulikia masuala ya jinai ikiwemo kukomesha matukio ya utekaji nchini.
Mbali na hilo, ameliagiza jeshi hilo kudhibiti...
Mheshimiwa Mpina amemlenga huyu huyu Waziri au yule Waziri mwingine?
Janga la utekaji nchini ni likesababishwa na uzembe wa Wizara ya Mambo ya Ndani au Uamuzi wa "wakubwa"?
Utekaji ungekuwepo kama "wakubwa" wasingeuhitaji?
Nahisi Mheshimiwa hamsemi "huyu" Waziri bali "yule" Waziri!
Nilikuwa kwenye pitapita zangu YouTube nikakutana na video hii
https://www.youtube.com/watch?v=8blC9qfUya8&t=222s
Kwenye hii video utajifunza kuwa taifa le kigeni tena siyo taifa jirani bali taifa ambalo liko mbali kabisa na nchi yetu limeamua kuingilia siasa za ndani ya taifa letu bila aibu...
1. Kataa kuwekewa mawakili wowote wa kukutetea.
2. Usijitetee kwa vifungu vyote vya sheria ili kuepusha kupoteza muda mahakamani.
3. Kiri mahakamani kuwa maneno yote uliyotoa kwenye hati ya mashitaka ni wewe umeyatoa na bado unaisimamia kauli yako. Kwamba uko tayari kufanya uasi na kuhamasisha...
Jukumu letu sisi kama wanaharakati ni kukomesha siasa za kitapeli. Siasa za kitapeli ni kikundi cha watu wachache kujipatia madaraka kwa mtutu wa bunduki halafu wanadanganya kuwa wamechaguliwa.
#NoReformsNoElection .
Lawama hazijawahi kuondoa tatizo,
Kila jambo lina faida na hasara!
Moja ya faida ya mizengwe iliyotokea katika mpira wetu ituamshe ili tuboreshe kanuni na sheria ili kulinda hadhi ya ligi!
Pasipo kunyoosheana vidole kipi kitakuwa suruhisho la kudumu ili haya mambo ya mizengwe yasiendelee kiasi...
Wadau mbalimbali wa masuala ya Haki za Binadamu wakiwemo Wanasiasa wametoa wito kwa Rais William Ruto kukemea na kukomesha Vitendo vya Utekaji wa Wananchi wengi wakiwa ni wakosoaji wa Serikali yake.
Miongoni mwa waliotoa wito huo ni pamoja na Mahakama, Wanasiasa Raila Odinga, Kalonzo Musyoka...
Wakuu hii nchi inakwenda vibaya sana na naona watawala wanachukulia swala la utekaji kama drama na wamebariki watu watekwe na kisha wauwae
Mwaka huu matendo ya utekaji yamekuwa mengi sna kila mmoja wetu analitambua hilo
Walio tekwa ni jamaa zetu marafiki zetu
Sasa Leo tuje na mbinu gani...
Wakuu, leo Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC) kwa kushirikiana na JamiiForums tutashiriki mjadala muhimu utakaohusu Mbinu za Kukomesha Ukatili na Mauaji ya Wenza.
Mjadala huu unalenga kutoa elimu, kuongeza uelewa, na kuchochea hatua za pamoja katika kukabiliana na changamoto hii ya kijamii...
Habari!
Mimi naona uwepo utamaduni kwenye jamii zetu za sasa wa kuwasaidia mabinti. Wanazalishwa kisha wanaachiwa jukumu zito la kulea watoto peke yao.
Wanazalishwa kisha waliowazalisha wanakwenda kuoa msichana mwingine na yule aliyezalishwa kuonekana hajatulia na jamii kumtazama kwa mtazamo...
Ninapoandika kuna watu wasio na hatia wameuawa nchini Uganda eti kisa ni kubadili dini toka uislam kwenda ukristo.
Hii ni kutokana na maagizo ya Mohamed kuwa atakayeretadi auawe.
Kwanini watu wanaopingia kwenye uislam hawaambiwi hili na kwanini iwe haki kuingia lakini siyo kutoka?
Nchini...
Kwako Ndugu Freeman Mbowe.
Uwezo wa kusaidia kukomesha vitendo vya utekaji na mauaji nchini unao ila hujaamua "kukasirika" vya kutosha
Ndugu Mbowe, wewe ni mwenyekiti wa chama ambao makada wake wamekuwa wakitekwa na kuumizwa, haitoshi tu kukasirishwa na kuumizwa, bali inapasws ufanye jambo na...
Mathalani, Ripoti ya Kielelezo cha Ufisadi wa Mwaka 2022 inaonesha kuwa nchi nyingi zinashindwa kukomesha ufisadi.
Kielelezo hiki cha Ufisadi hupanga nchi na maeneo 180 Duniani kwa viwango vyao vya ufisadi katika sekta za umma, na kutoa alama kuanzia alama sufuri 0 ikiashiria (ufisadi mkubwa)...
Kila mgombea wafuasi wake wajipange nyuma yake. (means kuwe na mwakilishi wake kila kituo ambaye atasimama mbele wanaomuunga mkono mgombea wajipange nyuma yake. Hakuna wizi hapo.
Kila mgombea anakuwa na box lake la kutumbukiza kura. Hivyo hakuna kura zitakazo toka nje.
Kuhesabu tunahesabu wote...
Ukoloni mamboleo ni mfumo wa kidunia ambapo nchi zilizostawi zinadhibiti na kunyonya rasilimali za nchi zinazoendelea kwa njia zisizo za moja kwa moja, ikiwemo kupitia mikataba ya kiuchumi, msaada wa kifedha, na ushawishi wa kisiasa na kitamaduni. Tanzania, kama nchi nyingine za Afrika...
UTANGULIZI
Nchini Ta nzania, tangu tupate Uhuru Mambo ya ukatili kwa watoto yamekuwa yakiripotiwa siku Hadi siku na vyombo mbailimbali vya habari. Ukatili umekuwa ukitokea kwa njia mbalimbali ikiwemo kimwili Kama vile ukatili wa kingono. Licha ya serikali kuweka Mambo mbalimbali kukabiliana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.