kukatika kwa umeme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tujaribu kuongeza uzalishaji wa umeme wa gesi ili kutatua tatizo la kukatika kwa umeme

    Ni kweli kumekua na tatizo la upungufu wa maji uliosababishwa na ukame. Swala hilo linapelekea maji ya kwenye mabwawa yanayotumika kufua umeme kupungua. Lakini pamoja na hayo yote tunaweza kuongeza ufuaji wa umeme wa kutumia gesi. Tunajua asilimia 62 ya umeme tunaotumia Tanzania ni wa gesi...
  2. idoyo

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Ku-track kukatika kwa umeme

    .
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya Dar es Salaam kukosa umeme Oktoba 24 & 25, 2022, TANESCO yasema kuna maboresho ya mitambo

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kukosekana kwa umeme katika baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam kutokana na uwepo wa matengenezo kadhaa, leo Jumatatu Oktoba 24, 2022 kuanzia saa moja asubuhi hadi saa nane mchana. Matengenezo yanayofanyika katika mtambo namba mbili wa kuzalisha...
  4. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba aeleza alivyovumilia mashambulizi, ajifananisha na Kocha Mourinho sakata la kukatika kwa umeme

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema kwenye siasa kuna maneno mengi na unahitaji ngozi ngumu na kifua kwani kila umeme unapokatika jina linaloibwa ni lake. “Kwenye siasa kuna maneno mengi na unahitaji ngozi ngumu na kifua, kila umeme unapokatika jina lililoimbwa ni la kwangu wala sio...
  5. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba jiuzulu, siku 10 za mgao wa umeme kupisha marekebisho zilishaisha ila umeme bado unakatika

    Inashangaza sana kuona kiongozi wa Wizara nyeti kiasi hiki anatangaza mgao wa siku 10 akiaminisha wananchi kwamba marekebisho yanafanyika na baada ya hapo umeme utakuwa sawa Cha kushangaza hata baada ya muda huo bado umeme ni wa kusua sua.Je ni sahihi kusema kwamba kazi haikufanyika? Kama...
  6. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Joseph Musukuma alalamikia TANESCO kuhusu bei ya kuunganishiwa umeme na kukatika kwa umeme

    Pamoja na kubezwa elimu yake Joseph Musukuma ni mbunge anajiamini na hutoa ya moyoni na wahusika kama ni kushupaza shingo washupaze lakini ujumbe unawafikia mojakwamoja. ========== Mheshimiwa mwenyekiti nitazungumza maswala yanayohusu na TANESCO peke yake. Mimi natokea vijijini ukifika...
Back
Top Bottom