kukamilisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Mahafali ya Mzumbe kusogezwa Oktoba badala ya Novemba na Disemba inatuathiri Wahitimu

    Mahafali ya Mzumbe Awali, mahafali yalipangwa kufanyika mwezi Desemba, jambo ambalo lingetupatia muda wa kutosha kukamilisha tafiti zetu na kuwa na uhakika wa kuhitimu mwaka huu. Hata hivyo, tangazo la ghafla la tarehe 10 kuhusu kuhamishiwa kwa mahafali mwezi Oktoba kutokana na El Niño...
  2. JamiiForums Tanzania Pentagon imeiagiza Kamandi Kuu ya Marekani (CENTCOM) kukamilisha maandalizi ya kuishambulia Iran tena!!

    Pentagon imeiagiza Kamandi Kuu ya Marekani (CENTCOM) kukamilisha maandalizi ya uwezekano wa kuanza tena kwa operesheni kubwa za kijeshi dhidi ya Iran. Rais Donald Trump hajafanya uamuzi wa mwisho au kuweka tarehe, lakini mashambulizi yanaweza kutokea kabla ya uchaguzi wa Israeli mwezi Oktoba na...
  3. A

    JamiiForums Tanzania HOJA SGR iweke utaratibu wa kurekebisha jina kwenye tiketi baada ya mteja kukamilisha malipo

    Huduma ya kukata ticket ya SGR kiwekwe kipengele cha ku-pdate jina ikiwa limekosewa au kubadilisha hata ikiwa kuna charge kidogo. Maana watu wanapata hasara endapo wakipata dharura ticket haiwezi kufanyiwa update ya jina akasafiria mtu mwingine, hivyo ticket inaenda bure bila kutumika...
  4. JamiiForums Tanzania Masauni Atoa Siku Saba Kukamilisha Tuta La Mto Lumemo, Aonya Athari Za Mvua Kubwa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, akizungumza na Wananchi wa Kata ya Ipangalala pembezoni mwa Mto Lumemo wilayani Kilombero mara baada ya kumaliza ziara ya siku mbili mkoani Morogoro, kukagua hatua mbalimbali zinazochukuliwa...
  5. JamiiForums Tanzania Manispaa ya Lindi yatakiwa kukamilisha mchakato wa upatikanaji wa hati ya ardhi Kampasi ya UDSM - Lindi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, ameitaka Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kukamilisha mchakato wa kushughulikia upatikanaji wa hati ya umiliki wa ardhi kwa ajili ya Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)...
  6. JamiiForums Tanzania Mwigulu aagiza kasi ya ujenzi wa viwanja vya mazoezi vya AFCON iongezeke, ataka Wakandarasi kukamilisha mikataba ya Wafanyakazi

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza kuongezwa kasi ya ujenzi wa viwanja vya mazoezi vitakavyotumika katika mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ili vikamilike kwa wakati na kukidhi viwango vinavyotakiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Amesema kazi hiyo...
  7. JamiiForums Tanzania IMF yaipatia Tanzania Dola Milioni 443.9 baada ya kukamilisha Tathimini ya Mwisho

    Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), limeidhinisha kutolewa mara moja kwa takriban dola za Marekani milioni 443.9 kwa Tanzania baada ya kukamilisha tathmini za mwisho chini ya programu za Extended Credit Facility (ECF) inayohusisha upatikanaji wa mkopo nafuu kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Mtwara: Waziri Ulega atoa miezi mitatu kwa Mkandarasi wa Barabara ya Mnivata - Mitesa (km 100) kukamilisha Kilemeta 50

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametoa miezi mitatu kwa Mkandarasi anayejenga barabara ya Mnivata - Mitesa (km 100), kuhakikisha wanakamilisha kilometa 50 za barabara hiyo kwa kiwango cha lami ili kuufungua Mkoa wa Mtwara kiuchumi na kuunganisha Wilaya mbalimbali za mkoa huo. Ulega ametoa...
  9. JamiiForums Tanzania Ulega: Nimepokea simu kutoka kwa Bibi wa Miaka 70, anapongeza Serikali kwa kukamilisha Daraja la JP Magufuli

    Bibi Hellen Bugoye (70) kutoka Kisesa wilayani Magu mkoani Mwanza amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa maboresho makubwa ya usafiri yaliyotokana na ujenzi wa Daraja la JP Magufuli (zamani Kigongo-Busisi) linalounganisha Kigongo na Busisi. Shuhuda za...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: tumepanga kukamilisha mchakato huu (wa katiba mpya) katika kipindi hiki cha pili cha awamu ya sita

    "Pamoja na hayo, bado kuna mambo kadhaa ya kufanyiwa kazi katika mawanda ya siasa, ikiwemo suala la mabadiliko ya Katiba. Kama mnavyofahamu, na kama nilivyoahidi, tumepanga kukamilisha mchakato huu katika kipindi hiki cha pili cha awamu ya sita. Na ni suala la kipaumbele kwenye ilani ya...
  11. JamiiForums Tanzania Mawaziri EAC Wakutana Kukamilisha Maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi

    Mkutano Maalumu wa 59 wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umefanyika leo tarehe 5 Machi 2026 jijini Arusha, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mwisho ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi wanachama wa Jumuiya hiyo utakaofanyika tarehe 7 Machi 2026. Mkutano huo ambao umepokea na...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania Yaandika Historia Kwa Kujenga na Kukamilisha Mradi wa Kwanza wa Umeme Jua-Kishapu

    My Take Kila hatua ya mafanikio ya Serikali ya Samia ni maumivu makali sana Kwa vibaraka wa Chadomo na bwana zao. Kama kawaida watakuja kutukana 🤣🤣🤣👇👇 ==== Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya nishati baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa nishati ya jua...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania Yaandika Historia Kwa Kujenga na Kukamilisha Mradi wa Kwanza wa Umeme Jua-Kishapu

    My Take Kila hatua ya mafanikio ya Serikali ya Samia ni maumivu makali sana Kwa vibaraka wa Chadomo na bwana zao. Kama kawaida watakuja kutukana 🤣🤣🤣👇👇 ==== Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya nishati baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa nishati ya jua...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania yaomba msaada China kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya AFCON 2027

    Serikali yaiomba China kuunga mkono jitihada za kuendeleza miundombinu ya kisasa ili kuhakikisha Tanzania iko tayari kuwa mwenyeji mwenza wa Kombe la Mataifa ya Afrika 2027 (AFCON) pamoja na majirani zake wa Afrika Mashariki. Ombi hilo lilitolewa Ijumaa, Februari 6, na Naibu Waziri wa Mambo ya...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba code ya ushindi kwanini siku hizi wanawake wanatoa sana namba za simu ila kukamilisha project wanazingua?

    Naomba mbinu takatifu nje na pesa , kwanini mademu wanatoa namba kirahisi sana ila wagumu kuingia box, wanaboa mimi nawatukana nawauliza ulidhani mimi mjomba wako. Pesa ni ngumu utawala huu wa Hassan, kutoa advance mtihani. Leteni code mkwamo uko wapi baharia wa Malawi nakwama
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Bilioni 12 kukamilisha ujenzi shule za sekondari Rukwa na Katavi

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imekamilisha ujenzi wa shule mbili za kisasa za Amali Wilayani Kibondo Mkoani Tabora na Wilaya ya Mlele mkoani Katavi zinazogharimu Shilingi Bilioni 3.2 Vilevile serikali imetumia kiasi cha shilingi Bilioni 8.8 kwa ajili ya...
  17. A

    JamiiForums Tanzania China yaweka rekodi ya Dunia kwa kukamilisha ujenzi wa barabara pana zaidi chini ya maji ndani ya siku 110

    Jinan, China – Juni 2025 Katika hatua ya kushangaza dunia, China imekamilisha ujenzi wa barabara ya chini ya maji yenye upana mkubwa zaidi duniani ndani ya siku 110 pekee, chini ya Mto wa Njano (Yellow River) katika jiji la Jinan. Barabara hiyo ya ajabu ina urefu wa kilomita 3.3 (sawa na maili...
  18. JamiiForums Tanzania Trump: Ndege zetu za B-2 zipo njiani kurudi Marekani baada ya kukamilisha Mission

    Marekani imeishambulia maeneo ya nyuklia ya Iran kwa makombora ya B-2 , amesema afisa wa Marekani. Rais wa Marekani Donald Trump anasema Marekani imekamilisha mashambulizi kwenye maeneo matatu ya nyuklia nchini Iran, ikiwa ni pamoja na Fordo, Natanz na Esfahan. Fordo 'imeenda', aliandika...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa unadhani utakuwa umeshanunua vitu gani na kukamilisha nini maishani ukiwa na miaka 30 lakini mpaka sasa hola?

    Kuna wale tulikuwa nikifikisha miaka 30 ntakuwa nimejenga nyumba nzuri, nna kazi nnayolipwa mshahara si chini ya Mil. 5 au nimeajiajiri na biashara yangu inaingizia si chini ya mil. 10 kwa mwezi, aloooo 🤣🤣🤣. Nna familia yangu na mtoto mkaliii na watoto wangu wawili wako international schoo...
  20. JamiiForums Tanzania Marcus Rashford kukamilisha dili la kutua Aston Villa

    Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford anatarajiwa kufanya vipimo vya Afya, leo Jumapili Februari 2, 2025 kuelekea kukamilisha mchakato wa kusajiliwa na Aston Villa kwa mkopo. Mchakato ukikamilika Aston Villa itamlipa 70% ya Mshahara wake wa sasa wa Pauni 350,000 kwa wiki huku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…