Hivi Kwenye muongozo rasmi wa utendaji(PGO) ya police kuna muongozo wa polisi wasiovaa sare kukakamata raia watuhumiwa?
Kuna muongozo wa polisi kufanya ukamataji wakiwa na gari ambazo hazina namba rasmi za polisi?
Lakini hata kabla hatujaenda kwenye muongozo wa polisi tukifikiria tu kwa common...
Jeshi la polisi limesema baadhi ya wanachama wa Chadema wanashikiliwa kwa makosa ya jinai! Watanzania tujiulize hivi wizi, mauaji na ukabaji ni vitendo vinavyofanywa na wanachama wa Chadema tu? Ni wazi mtindo huu umeanzishwa na jeshi hilo kuwatisha wananchi wasijiunge na Chadema kwa kuhofia...
Sijui Chadema wataacha lini kupiga siasa za mitandaoni na kuingia vijijini ambako asilimia kubwa ya wapiga kura wanatokea huko.
CCM wanajibebea tu maujiko kwa mama zetu, uncle zetu, Baba zetu, shangazi zetu Babu zetu na Bibi zetu hii yote ni kwa sababu CCM wanabebwa na Historia.
Asilimia kubwa...
Wenye dini yao wamebadilisha mkondo na kukubali kustaarabika, vipi ndugu zetu Waswahili mbona mnashupaza shingo....
Saudi Arabia is arresting individuals criticizing the Israeli occupation over its genocidal war on Gaza on social media platforms as normalization talks reach an advanced stage...
Bila Benki Kuu na Wizara ya Fedha kuongilia kati, naona mgomo mkubwa unanukia Arusha au Nchi Nzima kutoka kwa mawakala wa mabenki na taasisi za fedha wanaokusanya madeni mara baada ya Makonda kuanza kuwakamata baada ya kutimiza majukumu yao.
Hii itakuwa na athari kubwa kiuchumi kwa kuwa fedha...
Nimesikitishwa na hali inayoendelea Zanzibari kukamata watu wanaokula mchana nakupewa kipigo hali hii imekuwa inajitokeza kila mwaka mwezi huu wa ramadhani
Kilichonisikisha mwaka huu vyombo vya dola kuendelea na zoezi hili la kukamata watu wanaokula mchana ni jambo baya sana halileti afya kwa...
1. Polisi wawili waua kwa risasi mlinzi wa Bar maarufu ya Boardroom iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam.
2. Mlinzi waliyeuwawa kwa risasi anaitwa Razak Anan mwenye umri wa miaka 29 muajiriwa wa Bar ya Boardroom, Sinza
3. Polisi kutoka kituo cha Polisi Mabatini walifika na gari na kupaki nje ya...
Kuna Member Mmoja ( maarufu sana hapa Jamiiforums ) ila nimemsahau tu Jina amekuwa akianzisha Threads nyingi tu za Kuwalaumu Wanajeshi wa Lugalo ( hasa MP ) kwa Wiki iliyopita Kukamata Watu, Kuwatesa na Kuwapiga baada ya Raia wa Kawe Dereva Bajaji Kumuua kwa Kumchoma na Kisu Moyoni Askari wa...
Na eneo walilokuwa wanadili nalo ni kuanzia Ukwamani hadi Kanisani na MP ndiyo walikuwa Wengi huku Wakikamata Watu ( hasa hasa Vijana Wahuni ) wa maeneo hayo.
Ila kama nilichokisikia ni kweli Kwanza nitoe Pole kwa Mhusika na Taasisi yake ila Niwaase pia Vijana ( hasa Waendesha Bodaboda na...
Ukiamua kusababisha wenzako wasiishi kwa amani, na wewe pia tegemea familia yako iishi kwa tabu....
Ramallah, Palestinian Territories:
Israeli troops on Saturday raided the West Bank home of a senior Hamas leader and detained members of his family, witnesses said.
Saleh al-Aruri is the deputy...
Sheria ya Makosa ya Adhabu namba 16 na Kanuni zake haimzuii mtu kumiliki wala kuvaa mavazi rasmi ya Jeshi ikiwa vazi hilo rasmi litavaliwa kwaajili ya matamasha au maigizo yanayowakilisha Jeshi lolote la Polisi kwa "Nia Njema"
Kifungu cha 178 kifungu kidogo 1, 2 na 3 cha Sheria hii pamoja na...
Laughing stock of the world. Kituko cha dunia. Jinsi Muafrika asivyojijali, asivyojiheshimu, asivyojipenda, asivyo na upeo.
Rais aliyepita alisema mkimkamata mtu wetu huko duniani na madawa mnyongeni juu kwa juu, hatuna shida.
Imewekwa Vienna Protocol kulinda mabalozi wa mwezio. Wewe...
Huyu mama ambae ni Rais wetu alianza vizuri sana lakini tunapokuja kwenye swala la kutofautiana kimtazamo amekua akitoa amri za watu kukamatwa kuteswa na kubambikizwa kesi za uhaini au uhujumu uchumi....hili jambo lina fedhehesha sana hasa pale ambapo unashindwa kupokea ushauri na mawazo...
Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limesema Mamlaka za Tanzania zimewashikilia au kuwatishia takriban watu 22 tangu Juni 10, 2023, wakiwemo waandamanaji, baada ya kukosoa Bunge la Tanzania kuridhia makubaliano ya usimamizi wa bandari za Tanzania
Mkataba huo utaruhusu...
bandari
binadamu
haki za binadamu
human
human rights
human rights watch
kimataifa
kukamata
mkataba
mkataba wa bandari
nchini
serikali
serikali ya tanzania
tanzania
ubinafsishaji
wakosoaji
wapinzani
watch
Kwa wale waliobahatika kuwa na usafiri kama umebandika tinted kwenye taa za mbele na nyuma kuna msako wakukamata unafanywa na polisi
---
Jeshi la Polisi kupitia Kitengo cha Usalama Barabarani limesema litaendelea kuwakamata madereva wa magari wanaoweka ‘tinted’ kwenye taa za mbele na nyuma...
Utajiri wa uswizi leo hii umechangiwa sana na namna ambavyo walitumia mwanya wa kutengeneza Sheria nzuri zilizowafanya matajiri wengi wa ulaya kupeleka fedha zao Uswizi kwa kuwa nchi za ulaya zilitengeneza Sheria kali sana za kodi baada ya vita kuu ya pili ya Dunia.
Leo hii Zanzibar wametangaza...
Sheria ya Ugoni inaeleza ukidakwa na mke au mume wa mtu ni kosa la madai na unaweza kulipishwa fidia kulingana na mahakama itakavyoona.
Sasa najiuliza umepata mwanamke katika mazingira ambayo hujui au hajakueleza au ameficha utambulisho wa ndoa. Wewe kosa lako ni lipi?
Mwanamke ametongozwa...
Tangu NEMC ianze kamatakamata ya wachafuzi wa mazingira taarifa tunazopata ni ukamataji wa wenye baa, NEMC kunguru weusi na madereva wa bodaboda nao ni wachafuzi wa mazingira, hawa bodaboda pikipiki zao wamezifunga vifaa vya muziki ambavyo hutoa sauti kali sana kuliko hixo za baa.
Kuna baadhi...
Kampuni ya Indiana Resources ya Australia imetishia kuikamata ndege ya Tanzania endapo itashindwa kulipa fidia kufuatia kesi iliyofunguliwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Uwekezaji (ICSID) Nchini Marekani
Kampuni hiyo imeishtak Tanzania baada ya kutaifisha leseni ya uchimbaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.