kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba kujua hasa Wasifu wa huyu Mtu aitwae 'Waziri' ninayemuona 24/7 akiwa nyuma ya Rais Samia huku akiwa anasikilizwa na hata Kuogopwa pia?

    Je, ndiyo Chief of Protocol kwa Mheshimiwa Rais Samia sasa? Nasikia pia kuwa ndiyo National Intelligence Analyst. Na kwanini anasikilizwa na hata Kuogopwa sana na Timu ya Rais kiasi kwamba ananyenyekewa mpaka na wale Watu wa Msaada Kontena ambao Kiutendaji Yeye ndiyo anatakiwa aongozwe nao na...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nazitafuta kura za Lissu kesho sizioni zinapatikana wapi? Msaada kwa mwenye kujua atashidaje uenyekiti CHADEMA?

    Kura zinapigwa na wajumbe;nikiangalia muundo wa CHADEMA na wajumbe wapiga kura sioni Lissu anakura
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kujua je, malengo ya Chama kuhamia Yanga SC kuwa anafuata Mashindano makubwa ili afike mbali yametimia?

    Yaani Simba SC wakuache kwa kukuona Kiwango kimekwisha, kisha ujidanganye kuwa utafanikiwa huko Uendako?
  4. JamiiForums Tanzania Sababu Tano unapaswa kujua body count ya Mpenzi Wako.

    Katika jamii ya kisasa, masuala ya afya ya ngono yamekuwa yakiangaziwa zaidi, na watu wanapaswa kuwa na uelewa wa kina kuhusu jinsi ya kulinda afya zao na kufanya maamuzi bora kuhusu washirika wao wa kimapenzi. Moja ya maswali ambayo mara nyingi hujengwa katika midahalo ya kimapenzi ni “Je...
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kujua Kama Mwanamke Anakupenda au Hakupendi

    Dalili za Mwanamke Kukupenda Anaonyesha Kupenda Kuwepo Karibu na Wewe Atafurahia kutumia muda na wewe, hata kama ni kwa mambo madogo kama kupiga stori au kushiriki shughuli zako. Hutafuta sababu za kuwasiliana, kama vile kutuma ujumbe au kukuuliza maswali yasiyo ya lazima ili tu muendelee...
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujua kama mwanaume anakupenda au hakupendi

    Dalili Kwamba Anakupenda Anaonyesha Kujali kwa Moyo wa Dhati Anakufuatilia kujua hali yako (mwenendo wako wa kila siku, afya yako, au matatizo yako). Anachukua hatua kukusaidia bila ulazima, iwe kwa kukushauri au kukutegemeza. Anaweka Muda wa Kukaa na Wewe Licha ya ratiba zake kuwa na...
  7. JamiiForums Tanzania naomba kujua tofauti ya PEP na ARVs

    habari humu jukwaani,juzi niimenda kituo frani cha afya kuomba nipewe dawa ya PEp kutokana na mazingira hatarishi ya afya nilliowaeleza ,nikapimwa afya nikapewa dawa imeandikwa F67 je hii ndio PEp halisi au Ni ARVs?
  8. JamiiForums Tanzania Yanga wakiclick button ya answer kujua matokeo yao na Al hilal calculator unasema Math error. Nini maana yake?

    Wakuu mambo ni magumu sana utopoloni moja haikai. Najua wakifungwa calculator inazima.
  9. JamiiForums Tanzania naomba kujua jina na tiba la ugonjwa huu

    habarini wana Jf,kuna mdogo wa mke amepata ugonjwa wa ajabu amekuwa ananyonyoka nywele kama mnavyoona yeye ni umri wa miaka 13 ,je huu ni ugonjwa gani tiba ni ipi.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Waliosoma uganda au wenye kujua kuhusu hii kozi ya ufamasia nchini uganda

    Wakuu habari,hivi ni vyuo vikuu gani vizuri Kwa kozi ya pharmacy ngazi ya degree nchini Uganda nataka nimpeleke ndugu yangu akasome huko Uganda msaada wakubwa
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri wa biashara

    Habari wana Jamii forums? Naomba kujua zaidi kuhusu biashara ambayo naweza kuanza kwa mtaji mdogo na ikakua na kufungua fursa zingine za kibiashara. Binafsi nimekuwa nikiwaza sana kuhusu stationery yenye electronics, car wash na grocery. Naombeni mawazo yenu hapa wakuu
  12. JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Namna vijana tunavyoteseka na Genital warts bila kujua

    Habari wakuu Wa JF, niende kwenye mada.... Katika vitu najivunia sana tangu nimeanza kuujua ulimwengu wa smartphone ni kuijua jamii forums.. Nimejiunga jamii forums ni kama miaka 5 nyuma huko sina hakika sana, pitapita, hangaika na harakati za vijana kuhusu chupi kwenye umri wa miaka 17...
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujua thamani ya coin unayotaka kuinunua

    Kwa kawaida, watu wengi, hasa wale wanaoanza safari yao kwenye ulimwengu wa cryptocurrency, mara nyingi hupenda kuangalia bei ya coin. Wanafikiria, “Hii bei ni ndogo sana! Acha ninunue kabla haijapanda!” Lakini, rafiki, ngoja nikushike mkono na kukuonyesha siri kubwa ya soko hili kwani bei ya...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mambo matatu ya kujua kuwa Mchungaji fulani si Mtumishi wa kweli wa Mungu

    Habari zenu wanajamii, siku hizi kuna makanisa mengi sana yanaibuka yenye wachungaji, manabii, mitume, walimu, n.k. Jambo linalopelekea upotoshwaji mwingi kufanyika kwa kutumia jina la Mungu na mwanae wa pekee Yesu Kristu. Haya ni mambo matatu unayoweza kutumia kujua kanisa au mtumishi gani ni...
  15. JamiiForums Tanzania PICHA: Naombeni kujua huu ni ugonjwa gani unaotutesa hivi mimi na familia yangu

    Huu ugonjwa ulitutokea wate mimi na mke na watoto Ila nimetumia dawa mbalimbali lakini huu mwezi wa tatu naona tunaendelea kujikuna Hasa kwa watoto wangu hasa pia usiku wanajikuna Sana tulienda hospitali hawakutupima Ila tu tuliambiwa dawa za kununua za kuchua. Kama Kuna mtu anisaidie maana...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Mkubwa Lissu na Magufuli waligombanishwa. Yawezekana Lissu alitumiwa pasi na kujua

    Happy New year Wakuu! Bado sina uhakika lakini uelekeo ni kuwa yawezekana kabisa Lisu na Magufuli walijikuta kwenye vita kubwa ya kupiganishwa pasipo ya wao kujua. Wasiwasi wangu unaenda mbali zaidi kuniambia, huenda Lisu kuna sehemu alizidiwa akili akatumiwa pasipo ya yeye mwenyewe kujua...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu changamoto katika usafirishaji kwa wafanyabiashara

    Habari wana JamiiForums, Mimi ni mtaalam wa kuunda software za simu na kompyuta. Natamani kutengeneza mfumo wa logisitics/delivery ambayo itagusa kila mfanyabiashara ambaye biashara yake inafanya delivery ndani na nje ya mkoa husika. Sijaona mifumo inayogusa maeneo hayo moja kwa moja...
  18. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ambao unapaswa kujua

    UKWELI MCHUNGU AMBAO UNAPASWA KUJUA Una mwenzako wa kike kazini, ninyi wote mnapokea mshahara au malipo sawa. Lakini mnapokwenda kula chakula cha mchana, unajifanya "MTU MZURI" na unalipa kwa ajili yenu wote. Mnapochukua teksi kurudi nyumbani, unajifanya tena "MTU MZURI" na unamlipia. Lakini...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Tazama picha hii ya Lissu upate kujua anachukuliwaje ndani ya CHADEMA

    Ndugu zangu Watanzania, Katika picha hii unaweza kujua na kupata Picha Namna gani Lissu anachukuliwa na kiwango cha thamani na heshima yake ndani ya CHADEMA. Hapa unaweza kuona na kutambua wazi kuwa Lissu Tangia Awali na zamani alikuwa haheshimiki wala kuthaminiwa wala kukubalika wala kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua zaidi kuhusu kisiwa cha Mayotte

    Wadau wa JF habari?Hivi karibuni kumetokea kimbunga CHIDO katika bahari ya hindi na kuathiri maeneo mbalimbali ikiwemo kaskazini mwa msumbiji,Malawi,Zimbabwe na kisiwa cha Mayotte..katika kufuatilia zaidi nakutana na habari ya kuwa kisiwa cha mayotte ni eneo la Ufaransa na Rais wa Ufaransa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…