kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hatari sana: Utapeli unaoenea kwenye biashara ya forex Tanzania

    Katika miaka ya hivi karibuni, biashara ya Forex imekuwa kivutio kikubwa kwa vijana wa Kitanzania wanaotafuta njia mbadala za kujiongezea kipato. Wakati Forex ni fursa halali kwa wale wenye uelewa na utaalamu wa masoko ya kifedha, inasikitisha kuona jinsi baadhi ya watu wameigeuza kuwa mtandao...
  2. JamiiForums Tanzania Kipi kilichokufanya ukashtuka kujua kumbe ulikuwa unafanyiwa ushirikina na hatua gani ulichukua?

    Karibuni wakuu, Watu wamefanyiwa ndumba sana hadi kufanya mambo yao yaharibike, wengine walishtuka ila wengine ndio hivyo mazima walipotea katika giza waliloletewa
  3. JamiiForums Tanzania Udini na ukabila wa urangi ni vitu ambavyo vinashindwa waafrika kujua kuwa sisi ni waafrika

    Leo kuna mtu nimekuta anafurahi kufa kwa wa Congo kwa vita ila kukasirishwa na wapalestina kufa wakati wote ni vita ya udini na ukabila. Hivi hawa waafrika wa vijiwe vya kahawa ndio waliaminishwa na nyerere wanapatikana usalama.
  4. JamiiForums Tanzania Tulitumia mate kujua mifugo ilipo

    Sasa sijui ilikuwa ni Imani tu au lah! Ukipoteza mifugo hasa porini unaweka mate kwenye kiganga Cha mkono Kisha unayachapa kwa kidole yanaruka yatakaporuka mengi ndo huko huko inaelekea. Ili kuhakikisha unageuka pande mbili mashariki na kaskazini au kusini unarudia kila upande unachapa Mara...
  5. JamiiForums Tanzania NAOMBA kujua kuhusu kilimo Cha tangawizi?

    Habari za mda huu ndugu wapambanaji wenzangu Naomba maelekezo kwa anae jua namna nzuri ya kilimo Cha tangawizi 1,hali ya hewani 2,aina nzuri ya mbegu 3, jinsi ya kuandaa mbegu au upatikanaji wa mbegu nzuri 4, je zao la tangawizi linachukua mda gani shambani mpaka kuvunwa 5,jinsi ya kuvuna na...
  6. JamiiForums Tanzania Habari wakuu!? Naomba kujua matibabu ya Toki, uvimbe wenye maumivi juu ya paja unaotokea wakati fulani unapopata jeraha au maumivu mguuni.

    Kama Headline inyosomeka hapo juu tafadhali kwa mwenye ufahamu!
  7. JamiiForums Tanzania Leo natoa siri zote. Mnataka kujua lolote kuhusu uganvuchawi niulizeni mimi

    Miaka mingi sana najificha na sitaki zungumzia haya mambo lakini kwa kile nlichokiona usiku huu nimeamua tu kumwaga mboga kwakua wao wamemwaga wali. Niulize chochote nitakujibu elimu yote ipo hapa.
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kujua siku za kushika mimba

    Hello!!! Habari za jioni madactari na nurses,mwezi wa kwanza nilipata hedhi yangu tarehe 10(10/1/2025) mwezi wa pili huu nimeanza kupata hedhi yangu jana saa 11 Asubuhi ,je? Nina mzunguko wa siku ngapi na siku zangu za hatari ni tarehe ngapi na tarehe ngapi nahitaji kupata mtoto.ikimpendeza...
  9. JamiiForums Tanzania Hauhitaji kuwa 'genius' kujua Simba ni bingwa msimu wa 2024-25

    Kuna watu wanashupaza shingo zao hadi zinakaribia kukatika na wengine wanajipa matumaini hewa kuwa labla katimu kao ambako kanaenda kama gari bovu kanaweza kuchukua ubingwa wowote msimu huu. Huku ni kujipa magonjwa ya moyo na sonona bila sababu ya msingi. Niwatoe matumaini wale wote wenye...
  10. JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua gharama ya kujenga msingi wa nyumba hiyo

    Habari zenu ninahitaji kufahamu gharama za kumaliza msingi wa nyumba hiyo.Ninapendelea na upande wa jiko huko kuwe na kibaraza kama cha mbele Kiwanja tayari kipo,nataka nifahamu gharama za msingi ili nianze hatua ya kwanza hiyo Maeneo hayo msingi lazima uwe na lenter na nguzo za pembeni muhimu
  11. JamiiForums Tanzania Naomba kujua haya kuhusu hizi temporarily employment za Tanzania Airports Authority (TAA)

    Naomba kuuliza 1.Wanaposema temporarily employment wanamaanisha ni kazi za mkataba wa muda gani? Na je baada ya mkataba kuisha kuna possibility ya kuongezewa mkataba au ndo shughuli yako inakua imeishia hapo? 2.Maswali gani wanauliza hasa kwa upande wa accounts officer ii?
  12. A

    JamiiForums Tanzania Clinic ya mama kwa walimu: Naomba kujua hii clinic ya mama jinsi inavyofanyika

    Hii clinic inafanyika ikiwa na malengo ya kutatua changamoto za kimshahara za walimu yaani waliopunjwa daraja, malimbikizo mbalimbali ya mshahara n.k Swali langu ni kuwa siku hiohio wakishabaini kuwa huyu mwalimu anapaswa kulipwa anapewa chake au ndo yaleyale ya ombi lako linashughulikiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba kujua hii picha kama ni ya IA au ni ya camera

    toa sababu
  14. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu amewai kujua kilefu cha neno HB?

  15. JamiiForums Tanzania Kumbe mlikuaga mnakula misaada ya Marekani alafu mkija humu JF mnawaita mashetani mara sijui firauni, etc 😂

    https://youtu.be/ShzDBSbPbm4?si=F3MM9-KNiFf54Oqm
  16. JamiiForums Tanzania Angalizo: Jinsi ya kujua ya kuwa mtu uliye naye kwenye mahusiano hana mapenzi na malengo na wewe, akili kichwani mwako

    Habari za muda huu waungwana wa hapa jamvini...... Kwenye ulimwengu wa sasa uliojaa changamoto za ulaghai na uaminifu imekuwa ni changamoto kubwa sana kukutana na mwenza mwenye moyo wa dhati wa kujenga maisha na wewe...... Limekuwa jambo la kubahatisha kwa kuwa wakati mwingine waongo na wa...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kitu wana jamii

    Sasa mm nimeamuaa kuja na wife wangu nyumbani kama nilivyosema awali nina mke mkenya sasa nataka nije nae home jee nitatakiwa kufuata taratibu gani ni mjamzito tayar
  18. JamiiForums Tanzania Kuna GPS App ya kupima na kujua mipaka ya shamba?

    Wakuu wana Tech Nilinunua shamba 2019 ekari 12 Sasa kuna wahuni ninaopakana nao naona kila nikienda nakuta wamehamisha mpaka hata nikipanda miti wanang’oa na kuisogeza shamba linazidi kupungua tu Sasa nataka kujua kama kuna GPS App naweza kupima mipaka yangu nikahifadhi online siku nikienda mi...
  19. JamiiForums Tanzania Nataka kujua kingereza ni njia gani nzuri?

    Kwa darasani kwa sasa ni ngumu kurudi labda naweza pata njia nyingine nzuri ya kufahamu hasa kusoma na kuongea. Nataka kufanya hivo kwasababu zifuatazo 1. Napenda Sana kusoma na kuangalia habari za kimataifa. 2. Napenda kusikiliza miziki ya kingereza 3. Napenda kutazama movie za kingereza...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kujua hasa Wasifu wa huyu Mtu aitwae 'Waziri' ninayemuona 24/7 akiwa nyuma ya Rais Samia huku akiwa anasikilizwa na hata Kuogopwa pia?

    Je, ndiyo Chief of Protocol kwa Mheshimiwa Rais Samia sasa? Nasikia pia kuwa ndiyo National Intelligence Analyst. Na kwanini anasikilizwa na hata Kuogopwa sana na Timu ya Rais kiasi kwamba ananyenyekewa mpaka na wale Watu wa Msaada Kontena ambao Kiutendaji Yeye ndiyo anatakiwa aongozwe nao na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…