kujiuzulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania James Mbatia amkingia kifua Spika Ndugai, kwenda mahakamani kuzuia mchakato wa kutafuta Spika mpya

    Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mhe.James Mbatia amesema atakwenda Mahakamani kuzuia mchakato wa kumpata Spika mpya wa Bunge kwa sababu Mhe.Job Ndugai hakufuata taratibu za kisheria na kikatiba kujiuzulu nafasi ya Spika wa Bunge.
  2. JamiiForums Tanzania Jicho la kisheria kuhusu uhalali wa barua ya Spika Ndugai kujiuzulu

    Nikiri wazi kuwa nami, nikiwa mtanzania wa kawaida na mfuatiliaji mzuri wa mambo ya kisiasa na kijamii, nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sakata lililopelekea Spika Job Yustino Ndugai kuandika barua ya kujiuzulu nafasi yake ya Spika. Nimefuatilia pia mjadala ulioibuka kuhusu uhalali wa barua...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria: Barua ya Job Ndugai kujiuzulu Uspika ni batili kwa mujibu wa Katiba

    Leo nimesikiliza Mwanasheria mmoja kupitia UTV ameeleza kuwa kwa mujibu wa Katiba Spika akitaka kuachia madaraka anapaswa kulitaarifu Bunge na si Chama kama alivyofanya. Je Bunge litakuwa na uhalali wa kufanyia kazi barua yake kama asipoandika barua kwa Katibu wa bunge?
  4. JamiiForums Tanzania Msameheni bure Job Ndugai, amechanganyikiwa baada ya kuomba msamaha batilifu uliokataliwa! Barua yake ya Kujiuzulu nayo pia ni batilifu!

    Wanabodi, Naomba kuanza kwa declaration of Interest Kwa vile mimi ni mmoja wa waandishi wachache waliowahi kuitwa kuhojiwa na Kamati ya Bunge kwa maandiko yangu, ya kulituhumu Bunge kujipendekeza kwa serikali, hivyo inaweza kuonekana nafurahia kinachompata Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai!. No...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Unadhani nani anafaa kumrithi Kassim Majaliwa endapo akiachia nafasi yake?

    Habari wakuu, Kwa hali inavyoendelea hvi sasa, naona Kuna cheche za chini chini kwamba mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anaweza kujiuzulu uwaziri mkuu au kupigwa chini baada ya mh Rais kusema atabadili Baraza la Mawaziri. Binafsi napendekeza watu wafuatao wanaweza kushika vzuri nafasi yake na...
  6. JamiiForums Tanzania Ubaya au uzuri wa kiongozi hauzifanyi hoja zake nazo kuwa mbaya au nzuri

    Watu wengi, especially wafuasi wa CHADEMA, wameonesha kupofushwa na chuki zao dhidi ya viongozi fulani kiasi cha kupoteza objectivity katika kupima nguvu ya hoja zinazotolewa na hao viongozi. That’s a very serious problem. Ni kukosa intellectual maturity! Kimsingi, hatuhitaji kumpenda mtoa...
  7. JamiiForums Tanzania Haitoshi, Job Ndugai ajiuzulu na ubunge pia!

    Pamoja na kuwa muungwana na kuamua kujiuzulu nafasi yake ya uspika wa bunge la JMT, kuna uwezekano mkubwa Job Ndugai akajiuzulu nafasi yake ya ubunge wa jimbo la Kongwa kwa tiketi ya CCM kwani ubunge wake ndio ulipelekea kuchaguliwa na wabunge wenzake kuwa spika wa bunge. Hivyo basi, itakuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kifuatacho baada ya Job Ndugai kujiuzulu, tukae mkao wa kula

    Natumai sote tuko poa na salama, hakika Mungu ashukuriwe Kwa rehema na neema zake. Japo nchi na raia wengi wamepokea taarifa za kujiuzulu Kwa speaker wa Bunge Kwa taharuki na mshangao. Lakini swali la kujuiliza hapa, je, nini kutafuta/nini maana ya hii move Kwa maana ya mihimili ya nchi...
  9. JamiiForums Tanzania MJADALA: Baada ya Spika kujiuzulu ni hatua gani hufuata?

    Habari WanaJF, Wote tumeona taarifa ya Kujiuzulu kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania naomba kujuzwa yafuatayo; Je, Hatua gani hufuata kwa mujibu wa Sheria na Katiba ya Nchi? Je, Naibu Spika anachukua madaraka Moja kwa Moja? Karibuni Wajuvi ====== KWA MUJIBU WA KATIBA ya...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Livingstone Lusinde amtaka Spika Ndugai ajiuzulu, asema hata ombi lake la msamaha lilikuwa la uongo

    Mbunge wa jimbo la Mtera Livingstone Lusinde amemtaka Spika Job Ndugai ajiuzulu kufuatia kauli aliyoitoa kupinga serikali kuchukua mikopo. Lusinde amesema alianagalia clip yote ya mazungumzo ya Job Ndugai na hakuna sehemu iliyounganishwa ili kumchonganisha na Rais kama yeye (Ndugai) alivyosema...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Ndugai akikataa kujiuzulu CCM mtamfanya nini?

    Nimewasikia UVCCM wengi wakishinikiza Spika ajiuzulu lakini sioni hoja nzito wanatoa kumfanya kiongozi wa Muhimili ajiuzulu zaidi ya kusema amepingana na Rais ambaye ni Mwenyekiti wake. Kosa lake hasa ni lipi, kuisimamia serikali? Spika wa Bunge ana kinga ya kutoshitakiwa popote sheria...
  12. JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini viongozi wa Kiafrika mara nyingi ni vigumu kujiuzulu kwa hiari?

    Habari! Naomba majibu mafupimafupi. Kwanini viongozi wa Kiafrika huwa ni wagumu kuachia ngazi zao kwa hiari pasi kushinikizwa? Kiongozi wa Kiafrika akijiuzulu basi ni dhahiri shahiri kuwa hana namna na ameona kuwa nafasi yake imeshakoma au atajiuzulu kwa barua ya command kutoka kwa mkubwa wake...
  13. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai awe Muungwana, ajiweke pembeni

    Imani huzaa Imani na hofu huzaa hofu. Kwasasa Rais hana Imani tena na Spika, ana hofu na Spika na kundi lake ambalo hajui wako wangapi, ni akina nani, wako wapi na wanapanga nini na nini lini na wapi dhidi yake. Hofu hii imesababishwa na mtu mzito sana kwenye nchi anaepigiwa salute na vyombo...
  14. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai, ili kujenga heshima jiuzulu Uspika wa Bunge

    Hili suala Wala haliitaji mjadala kama uliita vyombo vya habari ukaomba msamaha kuwa umekosa unaombwa usamehewe, reaction yake Leo mama ilikuwa ni kusema amekusamehe ila mama kukaa kimya na kukushangaa na kusema una stress za 2025 hauna budi kujiuzulu uspika. Ukikomaa kuwa wewe ni mhimili...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Nashauri Spika Ndugai ajiuzulu

    Ndugu zangu wa JF Nitoe maoni yangu kama Mtanzania Mzalendo kufuatia kauli ya Ndugai kubeza kitendo cha Rais Samia kuendelea na Sera ya kukopa Fedha nje ya Nchi kugharamia miradi ya Maendeleo Kauli ya Mheshimiwa Ndugai sio tu inabeza na kudharau mamlaka ya Rais bali inalenga kuhujumu...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Maoni: Bila kuathiri Katiba, Spika Ndugai anapaswa kujiuzulu

    Mh Spika Ndugai ameonekana kuwa na kauli ambazo kimsingi zina kinzana na serikali amabyo yeye ni mmoja wa hiyo serikali. Labda nimkumbushe kuwa yeye ni mwana chama wa CCM na ni serikali hiyo hiyo inayo tawala. Kutoka mbele nakukosoa serikali ambayo ndio chanzo cha yeye kuwa spika nikujitoa...
  17. JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi iliyopo ingeonesha uadilifu kwa kujiuzulu

    Kila kona waelewa wote wanataka iwepo tume huru ya uchaguzi, yamesemwa hata na wana CCM wakongwe na wenye heshima zao ndani ya nchi. Kuna wakati hata Rais wetu alikemea mambo fulani yaliyofanywa na tume, kuwa yasijirudie katika chaguzi zijazo Kwa kuwa hayana mashiko. Sasa hivi kuna kikosi kazi...
  18. JamiiForums Tanzania Siasa ndani ya Vatican zamshinda Kardinali mwafrika kutoka Ghana na kumlazimsha kuomba kujiuzulu

    Mungu hajawai kuumba vyeo vya watu bali aliumba watu na watu wanayao bila kujali vyeo wala nafasi zao VATICAN CITY (Reuters) - Cardinal Peter Turkson, seen by some as a candidate to become the first African pope in about 1,500 years, has abruptly offered his resignation from a key Vatican...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Viongozi wa Serikali wasiochanjwa waachie ngazi

    Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima karudi na rungu. Ametoa rai kuwa viongozi ambao mpaka sasa hawajachanjwa, watatakiwa waachie ngazi kwani hawawezi kusimamia kampeni ya kusimamia uchanjwaji dhidi ya corona. Waziri wa Afya amesema kama Rais kachanja ili iwe mfano, sasa hao viongozi hawatetei...
  20. JamiiForums Tanzania Hukumu kesi ya Morrison hakuna anaepaswa kujiuzulu Yanga?

    Kwanini lazima awepo mtu wa kujiuzulu? 1. Mzee Kikwete aliishauri Yanga iachane na Morrison itafute Wachezaji wengine wa kuwachukua, alipuuzwa. 2. Wanachama na mashabiki waliaminishwa uongo na viongozi wao. 3. Mashabiki walikuwa na hamu kubwa kusikia majibu ya cas yakiwa positive kwa muda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…