kujiunga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Tamisemi watatoa lini majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2022/2023?

    Husika na kichwa cha uzi hapo juu, nataka kujua ni lini watatoa hizo selection, maana nimesikia watoto wanaanza masomo mwezi June.
  2. JamiiForums Tanzania Hivi Kujiunga NATO kuna faida gani

    Nchi ya Ukraine imeingia kwenye vita kwa nia ya kujiunga na kuongoza ushirikiano na umoja wa NATO jambo ambalo Urusi hawalitaki. Katikati ya vita hivi na madhara makubwa kwa nchi ya Ukraine yakishuhudiwa kote duniani,bado kuna mataifa jirani na Urusi kama vile Sweden na Finland zimekuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Urusi yazipa onyo Finland na Sweden mpango wao wa kujiunga na NATO

    Urusi imetoa onyo kwa Finland na Sweden kuhusu mpango wao wa kujiunga na Nato, wakiamini kuwa mpango huo hakuwezi kuleta utulivu Ulaya. Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov amesema muungano huo unabaki kuwa kama 'chombo kinacholenga makabiliano'. Marekani inaamini nchi hizo zinaweza kuomba...
  4. JamiiForums Tanzania Vuguvugu la wanajeshi Warusi walioasi na kujiunga Ukraine dhidi ya Putin - Freedom of Russia legion

    Wengi wanaendelea kuasi na kujiunga kwenye hili vuguvugu, wakiwemo makamanda kabisa, wameona hamna haja ya kuendelea kuteseka kwenye njaa huku wakitumia zana ambazo zenyewe nyingi zimeharibika au kukosa mafuta ilhali wanaliwa shaba na kufukuziwa kwenye nchi ya watu, yote hiyo kisa kumfurahisha...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Baada ya DR Congo kuingia EAC, sasa changamkieni fursa kama ifuatavyo

    Achana na Wakenya wenye elimu yenye tija walioanza kuwekeza kwenye mabenki na IT na kuanza kutafuta masoko ya bidhaa zao za viwandani na wamewekeza kwenye madini. Achana na Watanzania wa taqwa na classic waliowekeza muda mrefu kwenye usafiri wa mabasi ndani ya DRC, je wewe Mtanzania...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini nchi za Afrika haziruhusiwi kujiunga na NATO, sasa vita ya WW3 itakuwaje au kuna African Union army?

    Ukraine waliambiwa msiwe na nuclear mkiingiliwa Kivita tutawasaidia. Matokeo yake tumeyaona. Sasa inavyoonekana kichaa Putin ataanzisha WW3 maana haambiliki Sasa Hivi. Sasa Sisi nchi za Afrikca tutatetewa na NATO au ndio basi.
  7. JamiiForums Tanzania Namibia: Wanafunzi waliokuwa wanasoma Ukraine watakiwa kujiunga na vyuo vya nchini kwao

    Wanafunzi 23 wamefanikiwa kurejeshwa #Namibia kutoka #Ukraine. Wizara ya Elimu imewataka wanafunzi hao kujiunga na vyuo vya nchini kwao ili kuendelea na masomo. CNN imeripoti wanafunzi takribani 13,000 wa Ghana, Somalia na Nigeria ambao wamekwama mjini Sumy na hawana chakula wala fedha kwa kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Ombi la Ukraine 🇺🇦 kujiunga na Umoja wa Ulaya lakubaliwa

    Bunge la Ulaya limepitisha ombi la Ukraine la kujiunga na jumuiya hiyo kwa kura 637 za 'ndiyo' 13 za 'hapana' huku wajumbe 26 wakiamua kutopiga kura. Siku ya Jumanne, nchi nane wanachama wa EU zilitaka yafanyike majadiliano ya haraka kuhusu uwanachama wa Ukraine katika umoja huo. Jumapili...
  9. JamiiForums Tanzania INAUZWA Jiunge na Dirm VFD uokoe 50% ya EFD machine, ni bora, salama kisasa zaidi

    HABARI NJEMA... katika kipindi hiki cha kufunga na kuanza mwaka mpya, na kufanyiwa makadilio ya kodi za TRA, ninayo furaha kubwa kukujuza wewe Mfanyabiashara kuwa unaweza kuokoa mpaka 50% ya garama za kununua mashine za EFD endapo utajiunga na mfumo wa Dirm VFD ambao ni mbadala wa EFD machine...
  10. JamiiForums Tanzania Finland kujadili uwezekano wa kujiunga NATO

    Vyama vya Kisiasa vinatarajiwa kukutana ili kujadili shambulio la Urusi dhidi ya Ukraine, ikielezwa uvamizi wa Urusi umesukuma Umma karibu zaidi na NATO. Uwezekano wa Taifa hilo kujiunga na NATO pia utajadiliwa. Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Sanna Marin amesema ni jambo la kueleweka kuona Raia...
  11. JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Mtihani wa Awali kwa Madaktari Watarajali, uendelee kufanyika bila Kumzuia Mtarajali kujiunga na Mafunzo

    Ummy Mwalimu: Mtihani wa Awali kwa Madaktari Watarajali, uendelee kufanyika bila Kumzuia Mtarajali kujiunga na Mafunzo ya Utarajali Tamko hili Limekuja baada ya Wanafunzi kulalamika kupitia JamiiForums kwamba utaratibu wa kusubiri miezi nane ndipo warudiE mitihani inawauimiza...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo wa kujiunga na VETA kwa kozi fupi ya miezi mitatu

    Habari wana JF, Nilikua naomba nipate mwongizo nataka kujiunga VETA koz fup miez 3 ya ICT mwaka huu nahitaji mawasiliano nao veta DSM au mwenye kua na habari wanaanza lin na bei anifahamishe nitashukuru.
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania University of Nairobi students join historic mission flying world leaders to space

    Entrance to the University of Nairobi (left) and a spacecraft taking off. University of Nairobi (UoN) students are now part of a historic space mission targeting world leaders including wealthy billionaires. Namira Salim, a Dubai-based diplomat is working towards sending a peace mission to...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu ni namna gani naweza kujiunga na JWTZ baaada ya kumaliza kidato cha sita

    Mwaka huu namaliza kidato cha 6 na ningependa kujiunga na jwtz baada ya hapo na inakuaje Kama sitapangwa JKT.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ndugai kujiunga na Chama kikuu cha Upinzani Itapendeza

    Wadau vipi ? Ndugai akitangaza kujiunga na Chama kikuu cha upinzani mtampa tiketi ya kugombea Uraisi hapo kama ikifika 2025,katika uchaguzi Mkuu? Bora ajiunge na Chadema, kwani kwa 2025 watakuwa hawana mgombea mazubuti atakae weza kupambana na Samia kama CCM watampitisha Samia kugombea...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Bank Mkononi: Pesa inatumika kama upepo, najuta kujiunga

    Sitakuwa na maneno Mengi! Hii ni ile huduma ya bank mkononi! Nilivyotaka kujiunga kale ka kahudumu ka benki kaliunganisha fasta fasta kwa bashasha! Kumbe wanajua inavyowalipa vizuri huduma hiyo! Nilifurahi sana kuunganisha bank mkononi ili kuepusha usumbufu wa kwenda bank/ATM. Lakini...
  17. JamiiForums Tanzania Faida na Hasara za DRC kujiunga EAC

    Wadau wapendao Utukufu kwa Mungu juu na AMAN dunian tuangalie mabadiliko ya kisiasa, kijamii na kiuchumi yatakayotokana na nchi kubwa yenye migogoro ya muda mrefu na siasa ngumu zenye mkono wa kuibiana, na dhulma za walioko nje ya nchi muhanga, itakapopata washirika wa africa masharik wenye...
  18. JamiiForums Tanzania Je, DRC kujiunga EAC kutaleta amani Mashariki mwa Kongo?

    DRC ni moja ya nchi zilizopo Ukanda wa maziwa makuu!! Nchi hii imefanikiwa kujiunga na EAC hivi punde baada ya kupewa uanachama hapo 22Novermber 2021 Aidha uamuzi huo umekuja baada na timu ya EAC kwenda DRC kujiridhisha na utimilifu wa vigezo hapo 26june had 5 july KIFUATACHO -Itakua n...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kujiunga kwenye maonyesho ya biashara nchini china

    hello members, kampuni ya muye group ya Tanzania kwa kushirikiana na CHINA -AFRICA TRADE RESEACH CENTER NA kudhaminiwa na manisipaa ya mji wa hengshui hebei china wataendesha maonyesho ya kibiashara kuanzia tarehe 15-17 december nchini zaid ya masupplier 400 kutoka china watashiriki...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria: Nitawezaje kujitoa kwenye chama cha wafanyakazi CWT?

    Msaada wa kisheria: Nitawezaje kujitoa kwenye chama cha wafanyakaz cwt? Ikumbukwe sijawah hata kujiunga nacho ila nakatwa makato ya 2%?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…