Mwanasiasa huyo wa upinzani nchini Tanzania,ameilalamikia mahakama kwa kunyimwa haki yake ya kisheria ya kuonana na kuzungumza na mawakili wake.Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, anayekabiliwa na kesi ya uhaini, ameiambia mahakama hii leo Jumatatu kwamba amenyimwa...