Rais asiye chaguliwa na wananchi anakuwa kama mtu anaye jipendekeza kwa wananchi na kufanya kazi zisizo muhusu ni kujipendekeza.
Tusiwe na tabia za kujipendekeza kwa wananchi suala hili halina kichwa wala miguu ni upumbavu.
Ni wazi polepole alikua na nafasi nzuri mno ya kushauri anachosema sasa ambacho kwa wengi kinaonekana kama ni unafiki mtupu. Ni afadhalli angeshauri wakati akiwa na nafasi halafu ushauri wake ukataliwe kwa vielelezo angalau leo hii angelionekana mtu wa maana kiasi.
Hivi sasa,
historia ina...
Askofu Josephat Gwajima, mbunge wa Kawe; "Silaha ya wajinga ni kujipendekeza, mtu asiyejua kitu silaha yake kubwa ni kujipendekeza na kuwasemea wengine mambo mabaya. Vijinga vinajua kuji-position. Mwenye uwezo analindwa na uwezo wake haitaji kujipendekeza kwasababu uwezo wake unambeba"
Ninayoyajua Mimi mpaka sasa japo nasikia yapo kama 25 hivi ni haya yafuatayo.....
1.Mama Ongea na Mwanao
2. Samia Squad
3. Mama tutakutetea hadi Umauti
4. Mama Samia Tunakupenda
Haya nanyi endeleeni na mengineyo ila mnisaidie tu kuniambia ni wapi Fedha za Kuwalipa hawa Chawa zinatolewa?
Said Said aondoka kwa aibu baada ya kuzuiwa na Walinzi wa Rais Samia alipotaka kumkabidhi Kitu kutoka mfukoni mwake baada ya ku-perform kwenye Samia Kalamu Awards.
Wadau mbalimbali wa Sanaa ya Uchekeshaji wamekuwa na mtazamo tofauti kuhusu tukio hili
Niliwahi kufanya kazi kwenye taasisi moja ya Wahindi inaitwa Aga Khan. Aisee, kwa suruba nilizozipata kwenye taasisi ile, sitamani tena kufanya kazi kwa Wahindi. Kwanza kabisa, ili Mhindi msimamizi au boss akupende au akupatie fursa yoyote, inatakiwa ujipendekeze au uwe mnafiki kwa wafanyakazi...
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania yuko Dodoma kwenye maadhimisho ya wiki ya afya kitaifa, TBC badala iturushie matangazo ya Rais Samia mubashara wenyewe wako Zanzibar kurusha matangazo ya waziri wa sheria wa kijikisiwa cha Zanzibar. Huu kwanza ni utovu wa nidhamu kwa Rais Samia ambaye...
Mtindo huu utaitafuna sana CCM na kuna baadhi ya mambo wanayajutia kuyakubali kwa upambe lakini ndiyo hali waliyo iruhusu wenyewe
CCM ya sasa ukiweza ku mobulise wajumbe kwa namna yeyote ya kuwafurahisha basi unaweza kuwa rais hii ni hatari sana kwa usalama wa nchi
Hili jamaa linakera sana. Utadhani yeye sasa ndio rais mteuliwa siyo Trump tena.
Alizidisha sana kujipendekeza kila sehemu Trump yupo naye yupo.
Katika teuzi za watu yeye kimbelembele.
Sasa wababe wa chama chao Republicans wamempiga stop hadi sasa hivi kasusia kwenda the centre of the...
Uchawa umeondoa utu, kufukuzia teuzi na pesa kumefanywa kipaumbele.
Kila chawa anajitahidi kwa kila namna kumfurahisha kiongozi wake iwe Serikalini, CCMuni, CHADEMAni au mitaani.
Haijarishi anaumiza, kutesa na kukosesha haki wananchi wenzake kwa kiasi gani kikubwa amfurahishe bosi wake.
Chawa...
Jezi mpya za Yanga kwaajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika zimeandikwa Visit Zanzibar kwa nyuma upande wa chini.
Huko ni kujipendekeza kiwango cha SGR.
Kwanini wasitangaze Visit Tanzania, Visit Mount Kilimanjaro, Visit Ngorongoro, Visit Tarangire au basi Visit Kigoma na maeneo mengine ya utalii...
Nashindwa kujua intelijensia ya ya hivi vyombo vyetu vya usalama na ripoti zao kwa viongozi na Rais wa nchi zina weledi kweli..?
yaani inawezekana vipi kuiweka nchi kwenye hali ya taaruki kiasi hiki kwa chama ambacho wala hakuna mweye mpango nacho kama hao watu wanaotekwa au kuchukuliwa na watu...
Hakuna timu inayojua kujipendekeza duniani kama Yanga. Kitendo cha kupelekea mechi Zanzibar ni dalili zote za shobo na kujipendekeza kwa Wazenji.
Nasubiria mapovu, nipo mtaa wa Lindanda hapa napata gahawa
DAR ES SALAAM; Msanii wa muziki wa kizazi kipya Faustina Charles ‘Nandy’, ameibuka kwenye mkutano na wanahabari akiwa ametinga vazi analosema ni kama mtindo wa nguo za Rais Samia Suluhu Hassan.
Nandy aliyekuja kuzungumzia tamasha lake litakalofanyika Mwanza kesho, alikuwa amevaa ushungi mweusi...
Salaam Wakuu,
Watanganyika Waishio au wanaofanya kazi Zanzibar tunanyanyasika sana.
Hatuna Uhuru wa kuabudu, kufanya biashara, kujumuika na Jamii.
Watu tunapigwa na kudhalilishwa. Mengi yanafanywa na Wateuli wa Rais wa Zanzibar.
Watu wa Bara hatuajiriki, hatumiliki Ardhi.
Wafanyabiashara...
WATUMISHI WA MUNGU ACHENI HUU UPUMBAVU NA UKENGEUFU!🔥🔥🔥
Mitume,manabii,wachungaji hili linawahusu.Mnakosea sana kuwatumia wanawake vibaya kinyume na maandiko.
Nabii Musa pamoja na miujiza yote aliyojaaliwa,alikuwa na mtumishi mmoja tu tena kijana wakiume,yaani Joshua.Nabii Eliya naye...
Washington : Rais wa Marekani Joe Biden amemkaribisha mwenzake wa Kenya William Ruto katika ikulu ya White House kwa ziara rasmi ya kiserikali ya siku tatu na kuipa nchi hiyo ya Afrika Mashariki hadhi ya mshirika mkuu wa Marekani ambaye sio mwanachama wa jumuiya ya kujihami ya NATO.
Chanzo: DW...
Katibu Tawala wa Wilaya ya Mvomero Mkoa wa Morogoro Said Nguya amekemea tabia iliyoanza kujengeka miongoni mwa vijana nchini ya kusifiana sifa za uongo wakiwa ana kwa ana ama kusemana vibaya.
Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na vijana wa
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Chuo Kikuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.