kujikimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Geita hatujalipwa fedha za kujikimu tangu Machi 2025

    Mimi ni Mtumishi Ajira mpya 2025, tumeripoti kazini tangu Machi 2025 Mkoa wa Geita ila cha ajabu mpaka sasa tumemaliza takribani miezi 10 hadi 11 hatujapewa hela za kujikimu. Imekuwa kama mpira wa kona, hatuelewi kinachoendelea, kila kiongozi ukiuliza anasema hajui au hana jibu na kutuambia...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mbulu DC lipeni watumishi hela za kujikimu

    Kuna watumishi tumemaliza mwaka hatujalipwa fedha za kujikimu. Kuna baadhi wamekuja na hawana mda mrefu wameshalipwa kwani wanalipana kwa kujuana. Kuna wanaotakiwa kulipwa Tsh 150,000/= na Tsh 130,000/= per day lakini wanakatwa na kulipwa Tsh 80,000/= hiyo nyingine inaenda wapi? Kama sio kuiba...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO SUA kuna wanafunzi hasa wa 1st year wanateseka sana. Mpaka sasa hawajapata pesa ya kujikimu

    Hapa chuoni Sua Kuna wanafunzi hasa wa first year wanateseka sanaa mpaka sasa hawapata pesa ya kujikimu huku loan officer akiwaambia wawe watulivu watapata pesa.
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutokulipwa kwa pesa za kujikimu kwa intake mpya June 2025 mamlaka ya viwanja vya ndege Tanzania (TAA)

    Tunaomba mtusaidie kutupazia sauti. Tuliajiriwa mwezi wa sita 2025 Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania (TAA) lakini mpaka leo hii hela za kujikimu walipewa watu nusu tu mwaka jana mwezi Oktoba wengine nusu tuliobaki wakatuambia watatupa mwezi wa Novemba mwaka jana lakini mpaka sasa bado...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Bunda Mji: Watumishi Wapya Bado Hawajalipwa Fedha za Kujikimu na Mshahara wa Kwanza tangu Julai 2025

    Ninaandika ujumbe huu nikiwa mtumishi wa umma niliyeajiriwa ajira mpya mwezi wa saba (Julai) mwaka 2025 katika Halmashauri ya Bunda Mji. Kwa masikitiko makubwa, hadi leo hii bado hatujalipwa fedha za kujikimu kama ilivyoelekezwa kisheria. Aidha, baadhi yetu bado hatujalipwa hata mshahara wa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna watumishi hawajalipwa hela ya kujikimu MBULU DC

    Baadhi ya Watumishi ajira mpya wa Halmashauri ya wilaya ya MBULU hawajalipwa hela ya kujikimu Kuna watu waenda kumaliza mwaka sasa hela imekuwa kaa la moto wanalipana Kwa kujuana. Kuna watu wanapaswa kulipwa Kwa rate ya Tsh 150,000/= wengine Tsh 120,000/= na Tsh Tsh 80,000/= kulingana na...
  7. JamiiForums Tanzania Kipindi unajitafuta, michongo gani ulikua unapiga ili kujikimu kimaisha?

    Wote tunapitia vipindi tofauti mpaka tunakaa sawa,Kuna vipindi life linakua tight sana yaani ukija mchongo wowote huachi. Michongo niliyoifanya kipindi nipo mavumbini ni -Kuuza bando mtandaoni -Kuuza links za utamu(hii ndio ilininunulia vitu vya geto ) -uwinga (hii ilinifungulia milango mingi...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Ajira Mpya HALMASHAURI YA CHALINZE hatujapewa pesa ya kujikimu

    Mimi ni mtumishi wa ajira mpya kutoka Halmashauri ya Chalinze. Yaani toka mwezi wa pili hatujapewa pesa za kujikimu na ilihali halmashauri nyingine za mkoa wa Pwani wameshalipwa. Kila tukiuliza tunaambiwa tutalipwa tu, wanasema kama sio December 2025, basi April au June 2026.
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wilaya ya Geita Vijijini tangu March 2025 mpaka leo Walimu wa Ajira Mpya hatujapewa hela ya kujikimu

    Wilaya ya Geita Vijijini tangu Mwezi wa tatu mpaka leo Walimu wa Ajira Mpya hatujapewa hela ya kujikimu, hivyo maisha yamekuwa magumu sana mitaaani naomba utusaidie kupaza sauti Jamii Forums. Nyingine soma ~ Ajira mpya za Walimu Msingi na Sekondari Mwaka wa fedha ulioisha hatujalipwa fedha za...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tamisemi wapeni vajina mliowaajiri visenti ya kujikimu, wanapata shida sana kuanza kazi. Wengine wanatoka familia choka mbaya!

    Ni hilo tu ombi langu kwenu leo!
  11. JamiiForums Tanzania Viongozi wa chadema wakumbuka ibada baada ya ukata wa pesa za kujikimu na ugumu wa maisha kuwazonga

    Huenda uchangiaji pesa wa tone tone kwenye kibakuli ukahamia kwenye nyumba za ibada, baada ya uchangiaji wa tone tone kidigitali na kwenye mikutano ya hadhara kukauka na wanachadema kugoma kuchangia matapeli. Je, unadhani mpango huo wa kuomba omba kuchangiwa pesa za kujikimu Ibadani...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuhusu kudhulumiwa pesa za kujikimu halmashauri ya wilaya ya Muleba ajira mpya (afya) 2024

    Habari!. Fikisha kwa jamii. Halmashauri ya wilaya ya Muleba imeamua kututapeli pesa zetu za kujikimu,tukiuliza tunapewa majibu ya kutoridhisha. Kwa Mujibu wa maelekezo ya Tamisemi ya Muongozo wa ulipaji wa ajira mpya mwaka 2024 ilibidi uwe hivi:- Degree 170k *7 Diploma 150k*7 Certificate 100k*7...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna wakati mgumu maishani kama ambao chanzo chako cha kipato kimedorora na huoni njia nyingine ya kujikimu ?

    Kuna wakati mwingine maisha huingia giza, ni pale ambapo shughuli yako kuu inadidimia, kipato kinapungua, na haionekani njia nyingine ya kujikimu. Hali hizi husababishwa na mtu kuzoea kitu flani muda mrefu ila ghafla mambo yanabadilika, Ushindani na ubunifu unazidi sokoni, kitu anachofanya...
  14. JamiiForums Tanzania Cha ziada kufanyika kwa pesa za kujikimu kwa waajiriwa wapya

    Ni hatua zipi za ziada waajiriwa wapya wafuate ili waweze kulipwa pesa zao za kujikimu maana shida zinaonekana ziko kwa ma DT wamefanya zibadilike majina na kuwa pesa za ziada
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kada ya Afya - Halmashauri ya Kilosa hatujalipwa fedha za kujikimu, tumeambiwa hadi hali ya fedha itakapotengemaa

    Sisi Watumishi wa Umma ambao ni waajiriwa wapya Serikalini katika Kada ya Afya, Halmashauri ya Kilosa Mkoani Morogoro tuna changamoto ya kutolipwa stahiki zetu za fedha za kujikimu na majibu tunayopewa yanatukatisha tamaa. Huu ni mwezi wa tatu sasa tunafuatulia malipo hayo, awali tuliambiwa...
  16. JamiiForums Tanzania wakuu nashida na kazi

    kijana wa miaka 22 pia nnalesen ya udereva class d nimeish form 4 ila nahitaji kazi yoyote kwa sasa ya kujikimu kwa sasa .... natanguliza shukrani zangu za dhati.
  17. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwaka wa tatu huu tokea niajiriwe sijawahi kulipwa hela yangu ya kujikumu

    Kama kichwa cha habari kinavyosema mm ni mtumishi katika halmashauri ya mji wa Tarime, toka nimeajiriwa miaka mitatu iliyopita na sijawahi kulipwa hela yangu ya kujikimu na kila ninavyofuatilia imekuwa ni danadana. Wenye mamlaka tusaidieni tuweze kulipwa hela ya kujikimu kwa maana ni haki yetu.
  18. JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo yatoa ufafanuzi kuhusu Wanafunzi ambao hawajapata Fedha za Kujikimu "Boom"

    Pia soma: ~ Baadhi ya wanafunzi waliopata Samia scholarship UDSM wakumbana hali ngumu kufuatia kutopata fedha za kujikimu na ada ya masomo ~ Wanafunzi wa Chuo cha Takwimu Mashariki Mwa Afrika (EASTC) hatujapata malipo ya Fedha za Kujikimu wiki ya tatu sasa
  19. N

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wanafunzi wa Chuo cha Takwimu Mashariki Mwa Afrika (EASTC) hatujapata malipo ya Fedha za Kujikimu wiki ya tatu sasa

    Mimi ni mmoja wa Wanafunzi wa Chuo cha Takwimu Mashariki Mwa Afrika (EASTC), tumepokea Disbursement ya Boom na Tuition Fee tangu Desemba 6, 2024. Mpaka hivi sasa (leo Desemba 30, 2024) tumepewa cheque No ya Tuition Fee imepita wiki mbili (02) lakini hadi hivi sasa hatujawekewa Cheque No ya Boom...
  20. JamiiForums Tanzania HESLB: Fedha za kujikimu (Chakula na Malazi), Wanafunzi kuanza kupokea kuanzia Jumatatu, Mei 20, 2024

    UFAFANUZI KUHUSU MALIPO YA FEDHA ZA KUJIKIMU KWA ROBO YA NNE Ijumaa, Mei 17, 2024 Tunapenda kuwafahamisha wanafunzi wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu na umma kuwa tunakamilisha malipo ya fedha za kujikimu (Chakula na Malazi) kwa robo ya nne (Quarter IV) na wanafunzi watarajie kupokea fedha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…