kujikimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Ajira Mpya (Walimu) Temeke tuliwekewa Laki 9, tukaambiwa ni nauli, sasa hivi wanatuambia turudishe

    Mimi ni mwajiriwa Mpya Manispaa ya TEMEKE, Dar es Salaam, March 6, 2026 tuliwekewa fedha kwenye account zetu waajiriwa wapya Idara ya Msingi, jumla ya Walimu 77 tuliwekewa fedha kwa wastani kila mmoja alipata laki tisa na point. Hatukujua nini, kuna baadhi ya wenzetu walijaribu kupiga simu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waajiliwa Afya Butiama tunadai Hela ya Kujikimu. Hatujapewa tangu mwezi wa Nane 2025 mpaka sasa

    Hellow habari za Majukumu... Naomba mtusaidie kupaza Sauti sisi waajiliwa wapya wa kada ya AFYA katika halmashauri ya wilaya Butiama Hatujapewa Hela ya Kujikimu tangu tumepata Ajira mwaka Jana mwezi wa Nane 2025 Mpaka Sasa. Tulifatilia kwa Katibu wa Halmashauri hii Yeye kila tukimtafuta...
  3. B

    JamiiForums Tanzania KERO Kutokulipwa pesa za kujikimu zaidi ya miezi 10 sasa Halmashauri ya manispaa ya Geita

    Ni zaidi ya miezi 10 sasa tangu tuajiriwe katik halmashauri ya manispaa ya geita. Kila tukiuliza wanasema hela hazijatolewa kutoka serikali kuu. Muda mwengine tukiuliza wanatujibu kikejeli sana kwamba "kwani mshahara si mnapata?, kama mnashida na hela mkakope si vigezo mnavyo" Hii ni kuonesha...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga-Tanga Watumishi wanadai malimbikizo ya pesa za Kujikimu

    Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga-Tanga , watumishi wanadai malimbikizo ya pesa za Kujikimu, pesa za Kupanda kwa madaraja, pesa za Uhamisho tusaidie...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Kahama inachelewa kuwapa Watumishi posho zao za kujikimu

    Halmashauri ya Kahama inachelewa kuwapa Watumishi posho zao za kujikimu imesababisha wale walioajiriwa Mwaka 2025 bado wanadai posho ya kujikimu na wapo waliopewa lakini sio hela yote, wamepewa kidogo. Wakati Halmashauri zingne zimeshalipa posho ya kujikimu ya Mwaka 2025 na hawa wapya wa Mwaka...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Halmashauri ya Mkinga -Tanga hatujapewa Pesa ya Kujikimu

    Sisi Waalimu wa Halmashauri ya Mkinga -Tanga, Tumekua Tukiahidiwa Pesa ya Kujikimu kuwa tutapewa lakini mpka Sasa pesa hiyo imekua ni danadana, Halmashauri wamekua na maneno Matamu ya KESHO , KESHO na ukizingatia Tunafanya kazi katika mazingira magumu Sana, Awali tuliambiwa Tusaini fomu , fomu...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kada ya Afya Ajira Mpya, Wilaya ya Rungwe hatujapata fedha za kujikimu na Viongozi wapo kimya

    Watumishi wa Kada ya Afya Ajira Mpya, Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya bado hatuchapokea hela ya kujikimu, ajabu ni kwamba viongozi hawaongei chochote kuhusu hizo hela. Utaratibu wa malipo hayo ya kujikimu mwajiriwa inabidi apewe ndani ya wiki mbili tangu aripoti kazini ila sisi mwezi wa tatu sasa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Newala Vijijini kuna dalili ya kupigwa kwa hela za kujikimu za Watumishi wapya

    Halmashauri ya Wilaya ya Newala Vijijini kuna dalili ya kupigwa kwa hela za kujikimu za Watumishi wapya, muongozo wa TAMISEMI unaeleza kuwa inatakiwa tulipwe Siku 14 ila Newala wamelipa siku 7 na hakuna maelezo yoyote. TAMISEMI waje hadharani watoe maelezo kuhusu utaratibu huo na kinachoendelea.
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ni kweli Hazina haijatoa fedha za kujikimu za Waalimu Singida DC, au zimeelekezwa katika matumizi mengine?

    Walimu wa Shule za Sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida (Singida DC) tuna malalamiko yetu kadhaa hasa yanayohusu kutolipwa malimbikizo ya fedha za kujikimu kwa muda mrefu. Tatizo la Malipo Wengi wetu tumefanya kazi kwa zaidi ya mwaka mmoja tangu tulipoanza kazi mwezi Januari 2025...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbulu DC kuna kikundi kinatumia STAHIKI ZA WATUMISHI! Mamlaka chunguzeni

    Kila mwezi halmashauri hupokea kiasi Cha pesa kutoka serikali kuu Kwa ajili ya uendeshaji wa Idara mbalimbali ikiwemo pesa malipo ya mda wa ziada Kwa watumishi, Kuna baadhi ya miezi watumishi hatulipwi pesa ya mda wa ziada. Kuna miezi walisema pesa zimechukuliwa zinaenda kulipa mwenge, mwezi...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Pesa za Kujikimu Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga

    Habari wadau, Ninaomba mtusaidie kupaza sauti kuhusu suala la kupata pesa za kujikimu sisi ajira mpya upande wa Tamisemi Sumbawanga municipal council. Watu wanalalamika hawalipwi
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hela za kujikimu kwa Ajira Mpya Buchosa – Mwanza ni kilio tangu Mwaka 2025

    Wafanyakazi wengi katika Halmashauri ya Wilaya ya BUCHOSA Mkoani Mwanza huwa hawalipwi hela za kujikimu pindi wanapopata ajira mpya kutoka Serikalini. Mfano, Mwaka jana 2025 hawakupewa hela zao na Mwaka huu 2026 tangu January mpaka leo Mchi Wafanyakazi wapya hawajapewa hela zao za kujikimu.
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Halmashauri ya Ushetu hatujapata pesa za kujikimu, tukiuliza wahusika wanakuwa wakali

    Sisi ajira mpya Ushetu Mkoani Shinyanga tuliajiriwa Mwaka jana (2025) mwezi wa 2 lakini hadi leo hii hatujapata pesa yoyote ya kujikimu wala hatujathibitishwa kazini! Tukienda halmashauri wanakuwa wakali, hakuna majibu ya kueleweka! Swala la hela ya kujikimu kila halmashauri inatakiwa tulipwe...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya Wilaya ya Chamwino hatujalipwa pesa ya kujikimu

    Ajira Mpya hatujalipwa pesa ya kujikimu katika Wilaya ya Chamwino Dodoma, sisi ni Intake ya Mwezi Machi hadi June 2025.
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Mtama DC hatujalipwa fedha za kujikimu na hatujui tutalipwa lini

    Ajira Mpya Mtama DC Mkoani Lindi bado hatujalipwa pesa za kujikimu na hatujui tunalipwa lini na hamna taarifa yoyote kuhusu hizo pesa tunalipwa lini. Kwa kweli tunapata shida sana. Naomba kuwasilisha hiyo kero yangu mkuu.
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutolipwa Pesa za Kujikimu kwa Watumishi wa Ajira Mpya (Idara ya Afya) Manispaa ya Kigoma/Ujiji

    Sisi watumishi wa Idara ya Afya tulioajiriwa tarehe 23 Juni 2025 katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji, tunatoa malalamiko yetu rasmi kuhusiana na kutolipwa kwa pesa zetu za kujikimu ambazo kisheria na kiutaratibu zilipaswa kulipwa mara baada ya kuajiriwa. Hadi kufikia sasa, tumetumikia kwa kipindi...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Ajira Mpya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala (MRRH) hatujalipwa pesa ya kujikimu

    Hapa hapa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala (MRRH), Watumishi wa Ajira Mpya hatujalipwa pesa za kujikimu, kila siku tunazungushwa. Tusaidie sauti hii iwafikie wanaohusika.
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Nzega DC hatujalipwa pesa ya kujikimu tangu Feb 2025

    Sisi watumishi wa ajira mpya katika halmashauri ya Wilaya ya Nzega yaani Nzega DC hatujalipwa pesa yetu ya kujikimu tangu mwezi Februari 2025 hadi leo
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bukombe: Walimu wa Sekondari, AJIRA MPYA (2025) hatujalipwa PESA ZA KUJIKIMU

    Mimi ni miongoni mwa walimu wa Sekondari (ajira mpya) mwaka 2025. Baadhi tumeajiriwa mwezi wa pili, wa tatu hadi wa sita - lakini mpaka leo hatujapata pesa ya kujikimu. Wenzetu walipewa pesa hiyo mnamo mwezi wa kumi na moja na na sisi hatujui muafaka wetu ni upi na kumekuwa na ubabaifu mkubwa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri za Wilaya za Kilimanjaro hazijatulipa posho ya kujikimu sisi Ajira mpya

    Nimeogopa kutaja directly kituo cha kazi huwenda nikajulikana Lakini, Muda mrefu umepita Baada ya kuripoti ila ni kama wanapotezea posho ya kujikimu wakati ipo kwa mujibu wa Sheria. Tumewasiliana na wenzetu wa Halmashauri zingine tukagundua hili ni tatizo la Halmashauri zote za mkoa wa...
Back
Top Bottom