kujikimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Leo hii waajiriwa wanakaa miezi kadhaa bila kupewa pesa ya kujikimu

    Mimi niliajiriwa mwaka 2013 na nilipofika halmashauri (Kasulu) tulipewa pesa ya kujikimu palepale ndipo tukapelekwa vituoni. Lakini leo hii waajiriwa wanakaa miezi kadhaa bila kupewa pesa ya kujikimu. Matokeo yake wanapigwa danadana na kuambiwa waombe ruhusa ya kurudi makwao mpaka pesa ya...
  2. Njaa kali30

    JamiiForums Tanzania Serikali itukumbuke watumishi wapya, hatujapata mshahara na pesa ya kujikimu

    Imepita mwezi tangu tulipoti katika vituo vipya vya kazi lkn mpaka sasa si hela ya kujikimu wala mshahara ulioingia. Kama mmeshindwa basi tupeni hata hela ya kujikimu. Maaanake unakaaa kijiji X kituo cha kazi kituo Y. Serikali tuoneeeni huruma
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Waajiriwa wapya wa afya na elimu hawapewi hela ya kujikimu

    Tunawauliza OR TAMISEMI,hivi ni nini maana ya "hela ya kujikimu"? Waajiriwa wapya wa kada ya afya na elimu (walimu) walioajiriwa hivi karibuni wameshaanza kuripoti vituoni lakini hakuna hata halmashauri moja iliyowalipa waajiriwa hao fedha ya kujikimu. Unajiuliza, Nini maana ya "hela ya...
  4. D

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza kitanda niweze kujikimu

    Asanteni sana, nilipata msaada
  5. mrackkiramadhani

    JamiiForums Tanzania Biashara ya memory card na flash inasaidia kujikimu

    Habari wana JF, Kama vijana tunapata changamoto nyingi katika kupambana na maisha yetu ya kila siku, na baadhi yetu tukiwa tunajiuliza tutatoka vipi? Kwani biashara nazo zimekua shida kwani baadhi yetu tumekua tukidhani tunahitaji mtaji mkubwa mnoo bila ya kujua si lazima uwe na mtaji wa kiasi...
Back
Top Bottom