Walimu tulioajiriwa mwaka Jana ngazi ya Sekondari tulipewa Hela ya kujikimu nusu (Laki Nne) mwaka huu na hatujui nyingine tunamaliziwa lini.
Lakini pia kwa Wale walio ajiriwa mwaka huu (January 2026 ) hawajapewa Bado na haijulikani wanapewa lini.
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
hela
jana
kujikimu
mpwapwa
mpya
mwaka
mwaka huu
mwaka jana
mwezi
ngazi
pesa
pesa ya kujikimu
sekondari
walimu
wilaya
Katika kituo cha Ilala-Iboma amabacho ndo cha mwisho kwa 'Route' ya Mbagala-Ilala BOma kumekuwa hakuna utararibu mzur wa kuwapanga abiria kwenye foleni ili kusubiri kupannda magari, hali hiyo imekuwa ukisababisha vurugu wakati wa kupanda kwani kila abiria anataka kuwahi kukakaa kwenye siti hii...
Chamwino Kada ya Afya tulioripoti March 2025 hatujalipwa fedha za kujikimu, Viongozi wanatupuuza
Sisi Watumishi wa Halmashauri ya Chamwino Kada ya Afya tulioripoti March 2025, hatujalipwa fedha za kujikimu😭😭. Kinachotuumiza zaidi viongozi wetu wanatoa majibu ya mkato, ukipiga simu hawapokei na...
Anonymous
Thread
afya
chamwino
fedha
fedha za kujikimu
kada
kada ya afya
kujikimu
malipo
march
viongozi
Tunaomba mamlaka zitusaidie ajira mpya wa 2025 halmashauri ya Namtumbo-Ruvuma, tumepewa kiasi TZS 130,000 tu. Kila tunapohoji kuhusu pesa nyingine hatupewi majibu.
Tabia hiyo imekuwa ikijirudia rudia hata kwa ajira ya mwaka 2024.
Tunaomba mamlaka itusaidie tupate pesa yetu ya kujikimu
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
changamoto
duni
kujikimu
malipo
mamlaka
mpya
namtumbo
pesa
pesa za kujikimu
ruvuma
Mimi ni mwajiriwa Mpya Manispaa ya TEMEKE, Dar es Salaam, March 6, 2026 tuliwekewa fedha kwenye account zetu waajiriwa wapya Idara ya Msingi, jumla ya Walimu 77 tuliwekewa fedha kwa wastani kila mmoja alipata laki tisa na point.
Hatukujua nini, kuna baadhi ya wenzetu walijaribu kupiga simu...
Anonymous (b5ce)
Thread
halmashauri
halmashauri ya mbulu
hela
kujikimu
mbulu
mji
wake
Hellow habari za Majukumu...
Naomba mtusaidie kupaza Sauti sisi waajiliwa wapya wa kada ya AFYA katika halmashauri ya wilaya Butiama Hatujapewa Hela ya Kujikimu tangu tumepata Ajira mwaka Jana mwezi wa Nane 2025 Mpaka Sasa.
Tulifatilia kwa Katibu wa Halmashauri hii Yeye kila tukimtafuta...
Anonymous (b5ce)
Thread
afya
butiama
hela
jana
kujikimu
mwaka
mwaka jana
mwezi
Ni zaidi ya miezi 10 sasa tangu tuajiriwe katik halmashauri ya manispaa ya geita. Kila tukiuliza wanasema hela hazijatolewa kutoka serikali kuu.
Muda mwengine tukiuliza wanatujibu kikejeli sana kwamba "kwani mshahara si mnapata?, kama mnashida na hela mkakope si vigezo mnavyo"
Hii ni kuonesha...
Halmashauri ya Kahama inachelewa kuwapa Watumishi posho zao za kujikimu imesababisha wale walioajiriwa Mwaka 2025 bado wanadai posho ya kujikimu na wapo waliopewa lakini sio hela yote, wamepewa kidogo.
Wakati Halmashauri zingne zimeshalipa posho ya kujikimu ya Mwaka 2025 na hawa wapya wa Mwaka...
Anonymous
Thread
afya
halmashauri
kahama
kujikimu
malipo
posho
watumishi
zao
Sisi Waalimu wa Halmashauri ya Mkinga -Tanga, Tumekua Tukiahidiwa Pesa ya Kujikimu kuwa tutapewa lakini mpka Sasa pesa hiyo imekua ni danadana, Halmashauri wamekua na maneno Matamu ya KESHO , KESHO na ukizingatia Tunafanya kazi katika mazingira magumu Sana, Awali tuliambiwa Tusaini fomu , fomu...
Anonymous
Thread
halmashauri
kujikimu
pesa
pesa ya kujikimu
tanga
waalimu
Watumishi wa Kada ya Afya Ajira Mpya, Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya bado hatuchapokea hela ya kujikimu, ajabu ni kwamba viongozi hawaongei chochote kuhusu hizo hela.
Utaratibu wa malipo hayo ya kujikimu mwajiriwa inabidi apewe ndani ya wiki mbili tangu aripoti kazini ila sisi mwezi wa tatu sasa...
Anonymous
Thread
afya
ajira
ajira mpya
fedha za kujikimu
halmashauri
kada
kada ya afya
kujikimu
mbeya
mkoa
mkoa wa mbeya
mpya
pesa
pesa ya kujikimu
rungwe
Halmashauri ya Wilaya ya Newala Vijijini kuna dalili ya kupigwa kwa hela za kujikimu za Watumishi wapya, muongozo wa TAMISEMI unaeleza kuwa inatakiwa tulipwe Siku 14 ila Newala wamelipa siku 7 na hakuna maelezo yoyote.
TAMISEMI waje hadharani watoe maelezo kuhusu utaratibu huo na kinachoendelea.
Anonymous
Thread
dalili
hela
kujikimu
kupigwa
newala
vijijini
watumishi
Walimu wa Shule za Sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida (Singida DC) tuna malalamiko yetu kadhaa hasa yanayohusu kutolipwa malimbikizo ya fedha za kujikimu kwa muda mrefu.
Tatizo la Malipo
Wengi wetu tumefanya kazi kwa zaidi ya mwaka mmoja tangu tulipoanza kazi mwezi Januari 2025...
Anonymous
Thread
fedha
fedha za kujikimu
hazina
katika
kujikimu
matumizi
singida
waalimu
Kila mwezi halmashauri hupokea kiasi Cha pesa kutoka serikali kuu Kwa ajili ya uendeshaji wa Idara mbalimbali ikiwemo pesa malipo ya mda wa ziada Kwa watumishi, Kuna baadhi ya miezi watumishi hatulipwi pesa ya mda wa ziada.
Kuna miezi walisema pesa zimechukuliwa zinaenda kulipa mwenge, mwezi...
Anonymous (b69f)
Thread
halmashauri
kikundi
kujikimu
manispaa
mbulu
pesa
pesa za kujikimu
stahiki
sumbawanga
watumishi
Habari wadau,
Ninaomba mtusaidie kupaza sauti kuhusu suala la kupata pesa za kujikimu sisi ajira mpya upande wa Tamisemi Sumbawanga municipal council.
Watu wanalalamika hawalipwi
Anonymous
Thread
halmashauri
kujikimu
manispaa
pesa
pesa za kujikimu
sumbawanga
Wafanyakazi wengi katika Halmashauri ya Wilaya ya BUCHOSA Mkoani Mwanza huwa hawalipwi hela za kujikimu pindi wanapopata ajira mpya kutoka Serikalini.
Mfano, Mwaka jana 2025 hawakupewa hela zao na Mwaka huu 2026 tangu January mpaka leo Mchi Wafanyakazi wapya hawajapewa hela zao za kujikimu.
Anonymous (c723)
Thread
ajira
ajira mpya
buchosa
hela
kilio
kujikimu
mpya
mwaka
mwaka 2025
mwanza
Sisi ajira mpya Ushetu Mkoani Shinyanga tuliajiriwa Mwaka jana (2025) mwezi wa 2 lakini hadi leo hii hatujapata pesa yoyote ya kujikimu wala hatujathibitishwa kazini!
Tukienda halmashauri wanakuwa wakali, hakuna majibu ya kueleweka! Swala la hela ya kujikimu kila halmashauri inatakiwa tulipwe...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
halmashauri
kujikimu
mpya
pesa
pesa za kujikimu
ushetu
wakali
Ajira Mpya Mtama DC Mkoani Lindi bado hatujalipwa pesa za kujikimu na hatujui tunalipwa lini na hamna taarifa yoyote kuhusu hizo pesa tunalipwa lini.
Kwa kweli tunapata shida sana.
Naomba kuwasilisha hiyo kero yangu mkuu.
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
fedha
fedha za kujikimukujikimu
lini
mpya
mtama
Sisi watumishi wa Idara ya Afya tulioajiriwa tarehe 23 Juni 2025 katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji, tunatoa malalamiko yetu rasmi kuhusiana na kutolipwa kwa pesa zetu za kujikimu ambazo kisheria na kiutaratibu zilipaswa kulipwa mara baada ya kuajiriwa.
Hadi kufikia sasa, tumetumikia kwa kipindi...
Anonymous (8196)
Thread
afya
ajira
ajira mpya
hii
idara
idara ya afya
ifutwe
kuhusu
kujikimu
malalamiko
manispaa
mpya
naomba
pesa
pesa za kujikimu
post
watumishi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.