Kwa wale wanaoenda kumuona mama wa mtoto (especially mtoto wake wa kwanza), kama utahitaji idea ya zawadi me nnazo tatu hapa, za muhimu sana.
1. Nursing Pillow:
Huu ni mto wa kunyonyeshea, anaanza kuutumia tokea day 1, aisee utamsaidia sana.
2. Kagodoro kenye neti yake, haina hajanya maelezo...