kujiajiri

  1. H

    Vijana wengi wanakosa taarifa sahihi juu ya mikopo inayotolewa na halmashauri kwa ajili ya kujiajiri, hali inayowarudisha nyuma kiuchumi na kuchangia

    Ukosefu wa Uhamasishaji wa Kutosha: Wengi wa vijana hawajui kuwa halmashauri hutenga asilimia 10 ya mapato yake ya ndani kwa mikopo ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu (kila kundi asilimia 4, 4, Viongozi wa halmashauri hawafanyi kampeni za kutosha kuwafikia vijana katika kata, vijiji au...
  2. Mhaya

    Taaluma za Afya zinazomuwezesha mtu kujiajiri mwenyewe, bila kusubiri kuajiriwa

    Orodha kamili ya taaluma za afya na aina ya biashara mtu anazoweza kumiliki/kujiajiri bila mtaji mkubwa—mfumo wa “Skill → Business” (Taaluma - Biashara). 📌 ORODHA YA TAALUMA ZA AFYA NA BIASHARA ZAKE ZA KUJIAJIRI 1. Pharmacist (Mfamasia) Huyu ni mtu aliyesomea kuhusu Dawa za magonjwa ya...
  3. Isenye

    Ni aibu gani au kituko gani ulikifanya siku ya kwanza ulipoajiriwa?

    Haya maisha bana,sometimes hayana nidhamu. Baada ya kufulia mtaani muda mrefu nimepiga mishe za saidia fundi sana mtaani nikawa nishajikatia zangu tamaa ya kuajiriwa. Kuna siku nikapigiwa simu na wahindi flani nilifanya nao interview miezi kadhaa nyuma,walinipigia kunitaarifu week inayofuata...
  4. B

    Msaada wa mawazo Wakuu nataka kujiajiri kupitia ukalimani

    Habarini za siku nyingi, wakuu 1.Leo, ninaomba mnipe mawazo yenu, hivi nikienda kusomea ukalimani wa lugha ya kichina uhakika wa kupata kazi je upo? 2.chuo kipi kwa hapo daslam wanachofundisha kichina vizuri 3. Bei ni shingapi? 4.kwa muda gani angalau mtu anaweza kuwa competent kwenye kichina
  5. C

    Kama wewe ni mtumishi wa umma au mfanyakazi anayetegemea mshahara, fuata ushauri huu

    Jiepushe na mikopo ya muda mrefu. Binafsi nashauri usikope zaidi ya mwaka mmoja. Kama lengo lako ni kujenga nyumba, fanya hatua kwa hatua mpaka nyumba itakapoisha. Utatumia gharama na riba ndogo kuliko kukopa kwa muda mrefu, na pia unepunguza hatari ya nyumba kutokamilika. Kama unataka kufanya...
  6. Davidmmarista

    Kuajiriwa vs Kujiajiri kipi Bora? Mdau karibu utupe maoni yako

    Naomba maoni yako hapo chini je kati ya Kujiajiri au kuajiriwa ni kipi una prefer na ni kwanini?
  7. SSH2025_2030

    January Makamba kujiajiri?

    Baada ya kutemwa ngazi zote (uwaziri na ubunge) Je Makamba atajiajiri kama Sisi Makenge?
  8. Prof_Adventure_guide

    Combination na Kozi za Kisasa Zinazokuwezesha Kujiajiri: Uamuzi wa Busara kwa Wanafunzi wa Advance na Vyuo Vikuu

    Kuna jambo moja ambalo ninaliona kama changamoto kuu kwa vijana wetu wengi – mindset ya “kusoma ili kuajiriwa.” Hii tabia inatufanya tukwame kwenye foleni ya kusubiri nafasi za kazi ambazo mara nyingi hazitoshi kwa wote. Kizazi cha sasa kinahitaji revolution ya fikra – kusoma si kwa ajili ya...
  9. Prof_Adventure_guide

    Combination na Kozi za Kisasa Zinazokuwezesha Kujiajiri: Uamuzi wa Busara kwa Wanafunzi wa Advance na Vyuo Vikuu

    Kuna jambo moja ambalo ninaliona kama changamoto kuu kwa vijana wetu wengi – mindset ya “kusoma ili kuajiriwa.” Hii tabia inatufanya tukwame kwenye foleni ya kusubiri nafasi za kazi ambazo mara nyingi hazitoshi kwa wote. Kizazi cha sasa kinahitaji revolution ya fikra – kusoma si kwa ajili ya...
  10. CM 1774858

    Rais Samia amejenga jumla ya VETA mpya 94 na 29 alizozikuta amezikarabati

    Rais Samia amejenga vyuo vya VETA 94 na amekarabati vyuo 29 Wanafunzi 440,000 wanaendelea na masomo kama msingi wa Dira2050. Serikali ya Rais Samia imekamilisha ujenzi wa vyuo 29 vya mafunzo ya ufundi stadi ambavyo vimeanza kutoa mafunzo, kuendelea na ujenzi wa vyuo 65 na kukarabati vyuo 29 vya...
  11. K

    Naombeni muongozo. HGL division II ya point 10, ni kozi ipi yenye future ya kujiajiri ama kuajiriwa?

    Na kama nitapatiwa na jina la chuo inapopatikana hiyo kozi, itapendeza zaidi. Natanguliza shukurani.
  12. Last_Joker

    Kazi ya Kuajiriwa vs Kujiajiri: Uhuru wa Fedha au Mateka wa Ndoto?

    Wacha tuseme ukweli, siku hizi watu wakiambiwa "nimeajiriwa", wengi hawachangamkii kama zamani. Lakini ukisema "nimejiajiri", jicho la heshima linapanda — watu wanakuona kama Elon Musk au Bakhressa wa kitaa! 😂 Lakini ukweli ni upi? Kazi ya kuajiriwa ni kifungo cha ndoto zetu au ndio njia pekee...
  13. Dr. Zaganza

    Nilichojifunza Kwenye Kujiajiri Biashara ya Vipodozi Asilia Miaka 8

    Mwaka 2017 nilipeana rasmi mkono wa kwaheri na mwajiri wangu Simba Technology ,Posta Dar es slaam. Maagano ya ya kirafiki na bashasha kila mmoja akimtakia mwenziye kila la kheri.Hapo nilikuwa nimetumia miaka 3 kudeal na biashara ya sabuni asilia kwa muda wa ziada wa ajira ,iwe usiku,weekend hadi...
  14. Osei Tz

    Opportunity cost ya mke kujiajiri au kuajiriwa na mke kubaki nyumbani bila kuajiriwa au kujiajiri

    Ukiwa na mke ambae ameajiriwa au amejiajiri utapata faida kama kusaidiana kweny gharama za maisha mfano ujenzi, ada za watoto na mambo mengine mengi. Mke kama anaingiza kipato kimsingi maisha yanakua ganda la ndizi kimtimdo flani hivi, yaaan unateleza tu shwaaaaaa. Lakini ni ukweli kwamba...
  15. R

    Kozi gani za VETA zina uhakika wa ajira au kujiajiri kwa urahisi? Wenye uzoefu tuambieni!

    Habari wakuu, Nimekuwa nikitafakari juu ya nafasi zinazotolewa na VETA (na vyuo vingine vya ufundi) katika kusaidia vijana na watu wazima kupata ujuzi wa kuwasaidia kuingia kwenye soko la ajira au hata kujiajiri. Kwenye dunia ya leo, si lazima kila mtu apitie elimu ya chuo kikuu—wapo...
  16. Mr Pixel3a

    Serikali iwape mikopo wahitimu wa vyuo vikuu wakaongeze ujuzi veta na mitaji ya kujiajiri

    Ikiwa serikali imefanya utafiti wa kina kuwa tatizo la ajira litaweza kuondolewa na ujuzi wa VETA basi Haina budi kuwawezesha vijana Hawa wanaohitimu elimu ya juu kwenye ada na mitaji ili wakimaliza kozi hizo za VETA wajiajiri.
  17. Mrndumbarojl

    Je ni sawa walimu au wahitimu kujiajiri au kwenda Veta kwa sasa?Ungana nami

    UJUMBE KWA WANASIASA WOTE: MSITUDANGANYE KWA KAULI ZENU! Utangulizi Katika miaka ya hivi karibuni, viongozi wa serikali wamekuwa wakirudia kauli ya "Wasomi wajiajiri" *"Wenye Degree Waende VETA" kana kwamba tatizo la ajira lipo mikononi mwa wahitimu wenyewe. Lakini swali ni moja tu: Kwa nini...
  18. 3

    Ipi ni bora katika kujiajiri na kutengeneza pesa nyingi kati ya software developer na Cyber security

    Habari zenu ndugu polen na majukumu mimi niliuw na penda kujua kati ya software developer na Cyber security ipi inaweza kukutengenezea utajiri mkubwa kwa Tanzania hapa
  19. G

    Mali zinazopatikana kwa elimu zisigawanywe kwenye talaka, Juhudi za chekechea mpaka chuo haziwezi kupigwa pasu kwa pasu , Tuwaige wenzetu wakenya

    Chekechea - miaka 2 Msingi - miaka 7 Olevel - miaka 4 Form 5 / Dip - miaka 2 Degree - Miaka 4 kujitolea kupata ujuzi - miaka 3 Mtu kasota miaka kibao kajiwekeza then kapata ajira yake au kajiajiri kwa taaluma aliyosomea, kaanza kufaidi matunda yake ya uwekezaji alioufanya tangu chekechea hadi...
  20. Geok

    Short course gani ya ICT, yenye uwanja mpana kwenye kujiajiri?

    Wadau habarini!!! Niende moja kwa moja kwenye title. Nina mpango wa kusoma short course inayohusiana na mambo ya ICT, ili nije nijiajiri kutokana na huo ujuzi nitakaoupata. Nimeshafanya tafiti zangu binafsi kwa vyuo wanavyotoa hizi short course, na nime-decide nipige ATC coz nipo chuga kwa...
Back
Top Bottom