kujenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kupata mwekezaji wa USD Billion 17 wa kujenga kiwanda cha kuongeza thamani ya rasilimali za Afrika

    Ni ngumu sana kupata mwekezaji atakajenga kiwanda cha kuongeza thamani ya madini na rasilima zinazochimbwa afrika Kama nchi kuna sehemu tumekosea unamkataaje mwekezaji wa usd billion 17 sababu tokea tupate uhuru hakuna mwekezaji ambaye amewekeza kwenye kiwango hiki cha fedha Na anachojenga...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa nini msitenge budget kubwa kwenda kuweka miundombinu mizuri kwenye mitaa ya watu?

    Moja ya vitu tuko nyuma Watanzania ni miundombinu kwenye makazi ya watu. Yeah baadhi ya neighborhood serikali imejitahidi kuweka miundombinu lakini kwa asilimia kubwa bado sana Kwa nini msitenge budget kubwa kwenda kuweka miundombinu mizuri kwenye mitaa ya watu? Kila siku mitaa mipya inajengwa...
  3. JamiiForums Tanzania 7/7 Tuchague kujenga badala ya kubomoa

    Katika Kumbukumbu la Torati 30:19, twasoma "Nazishuhudiza mbingu na nchi juu yenu hivi leo, kuwa nimekuwekea mbele yako uzima na mauti, baraka na laana; basi chagua uzima, ili uwe hai, wewe na uzao wako" Niwazi kuwa Mwenyezi Mungu ametupa uhuru wa kachagua hatima yetu kama mtu mmoja mmoja...
  4. JamiiForums Tanzania Kenya Vs Tanzania: Wenzetu Kenya baada ya kuzidiwa na madeni hii ndio njia mpya walioichagua kujenga uchumi wao.

    SASA KENYA INAJIELEKEZA KWENYE SEKTA BINAFSI ZAIDI KATIKA UJENZI WA TAIFA LAO, Mfano, Katika bajeti ya Kenya ya mwaka wa fedha 2026/27, serikali imeweka mkazo mkubwa wa kimkakati kwenye Ushirikiano wa Sekta ya Umma na Binafsi (PPP). Hali hii inatokana na kubana kwa nafasi ya kifedha kutokana na...
  5. JamiiForums Tanzania Kutumia Biblia au Quran kujenga hoja katika mjadala wa umma ni ishara ya akili ndogo

    Huwa nashangaa sana Watanzania wengi wanaokuja na rejea za Biblia au Quran katika kujenga hoja kwa mijadala ya kijamii/ umma inayobishaniwa au kujadiliwa. Nafikiri hii ni mojawapo ya ishara ya akili ndogo na ujinga mwingi katika taifa.
  6. JamiiForums Tanzania Ni ndoto za alinacha kujenga Flyover Mwenge na Morocco

    Nimeona mtandsoni waziri Wa Ujenzi, Bw Ulega akijipigia sound at serikali itajenga Flyover Mwenge na Morocco. Kama mkazi wa Dar, nikikumbuka hizi sinkelele za kwanzankuzisikia. Zaidi ya miaka mitano iliyopita tulisikia kuwa kuna Flyover tano zitajengwa Dar. Flyover hizo ni Mwenge, Morocco...
  7. JamiiForums Tanzania Nyaraka 5 za msingi unazohitaji ili Kujenga Kiwanda Kidogo cha Kusafisha Mafuta (Min Petroleum Refinery)

    Wakuu salamu, Leo ningependa tushirikiane uzoefu na maarifa kidogo kuhusu uwekezaji mkubwa wa kimkakati katika sekta ya nishati, hususan ujenzi wa viwanda vidogo vya kusafisha mafuta (Min Petroleum Refineries). Naam, ili mpango wako wa biashara ya usafishaji mafuta (Petroleum Refinery Business...
  8. JamiiForums Tanzania Bilioni 50 kujenga km 2 za Barabara. Kristo uturehemu

    Hela za Tanganyika zimehamishiwa Zanzibar. Sasa wanajenga KM mbili za Barabara kwa Bilioni 50+ kisa AFCON. AFCON ishakuwa Dilisha la upigaji. Kumbuka Bajeti ya Miundombinu ya Zanzibar ni Bilioni 400 tu kwa mwaka 2026/2027 .. Sasa kama Bilioni 50 zinajenga Kilometa mbili, Mishahara, Matumizi...
  9. JamiiForums Tanzania Iwambi siyo kwa kujenga nyumba! Nyumba kubwa hata milion 15 nimekosa

    Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016. Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza. Iwambi mbeya hapana kwa kweli. Ingekua Arusha ingekua milion 200
  10. JamiiForums Tanzania Iwambi siyo kwa kujenga nyumba! Nyumba kubwa hata milion 15 nimekosa

    Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016. Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza. Iwambi mbeya hapana kwa kweli. Ingekua Arusha ingekua milion 200
  11. JamiiForums Tanzania Iwambi siyo kwa kujenga nyumba! Nyumba kubwa hata milion 15 nimekosa

    Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016. Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza. Iwambi mbeya hapana kwa kweli. Ingekua Arusha ingekua milion 200
  12. JamiiForums Tanzania Iwambi siyo kwa kujenga nyumba! Nyumba kubwa hata milion 15 nimekosa

    Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016. Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza. Iwambi mbeya hapana kwa kweli. Ingekua Arusha ingekua milion 200
  13. JamiiForums Tanzania Madai ya kukosekana Mochwari Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi, uongozi wasema fedha imetengwa kujenga jengo hilo

    TAARIFA KWA UMMA Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi umeona taarifa katika mitandao ya kijamii kuhusu changamoto ya ukosefu wa Mochwari katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi. Hoja ya Mdau ~ Milioni 100+ zinatumika kununua gari la ‘staff’ Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Bunda ilichukua eneo letu kujenga Hospitali, haijatulipa fidia tangu Mwaka 2019

    Mimi ni mwanakaya wa familia iliyotoa eneo la shamba kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Bunda kupitia makubaliano na Serikali ya Halmashauri mwaka 2019. Kupitia makubaliano hayo, halmashauri ilichukua eneo la shamba la familia yetu kwa madhumuni ya ujenzi wa hospitali, huku ikiahidi...
  15. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu asema Serikali imejipanga kujenga jengo lenye hadhi ya kimataifa Airport ya Mwanza

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua kuhakikisha Uwanja wa Ndege wa Mwanza unaboreshwa na kujengwa katika hadhi ya kimataifa ili kuendana na hadhi ya jiji la Mwanza kama kitovu muhimu cha shughuli za kiuchumi Kanda ya Ziwa. Amesema hayo bungeni jijini...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwenu wabunge wa Kanda ya Ziwa: Airport ya Mwanza iboreshwe lakini hoja zenu za kikanda zisiwe sababu ya kupinga ujenzi wa uwanja wa Serengeti

    Serengeti ni moyo wa utalii wa Tanzania, halafu bado tunabishana kuhusu airport? https://youtu.be/9eOKGUVCjA4?si=UOzbKsu_RKP-Xeck Wakenya waliona tumelala, wana mipango ya kujenga airport karibu na Maasai Mara ili watalii watue moja kwa moja karibu na destination yao. Tumechelewa sana kuweka...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kujenga nyumba ya vyuma kwa kipato Cha 800k?!!

    Habarini wadau. Kutokana na udogo wa kipato na changamoto ya kutopatikana kwa miti ya maana ya kupaulia, napata wazo kichwani la kujenga na kupaua kwa kutumia vyuma. Sijajua gharama yake ila hiyo ndo ndoto niliyonayo......nahisi hilo litakuwa nafuu huko mbele (kwa maana nitatulia muda mrefu...
  18. X

    JamiiForums Tanzania Marekani ina mradi wa reli uliokwama zaidi ya miaka 10 + Daraja lililoanguka | China inajenga mtandao mpya wa miundombinu kila kukicha

    Tangu 2008 serikali ya Marekani kupitia jimbo la California, iliidhinisha ujenzi wa California High Speed Rail (San Francisco–Los Angeles) mpaka leo miaka 18 mradi haujakamilika. Zimejengwa km 192 tu kwa zaidi ya USD 100 billion. USD 100 billion China wanaweza kujenga km 1600-4000 ikitegema...
  19. Y

    JamiiForums Tanzania PICHA: Ushirika wa PPPC na TPSF ni game changer kwenye kujenga Uchumi mkubwa na wa kisasa | Watanzania tuchangamkie fursa huko huko tunakoishi

    Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC) wamesaini makubaliano muhimu ya ushirikiano yanayolenga kuimarisha nafasi ya sekta binafsi katika miradi ya ubia (PPP). Hatua hii inatajwa kuwa ni mwendelezo wa jitihada za...
  20. JamiiForums Tanzania Kipi bora kununua nyumba au kujenga mwenyewe?

    Hivi kati ya kujenga nyumba au kununua kipi ni gharama kubwa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…