kujenga nyumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Traxtion

    Siku hizi Watanzania wanajitahidi kujenga nyumba standard

    Kiukweli licha ya kuwa kuna makazi mengi duni Tanzania lakini sikuhizi watu wanajenga nyumba standard na nyumba nzuri Kwenye miji yetu yenye mazingira ya uswazi utagundua kuwa uswazi huo ulijengwa miaka mingi iliyopita, ila ukisikia kuna mtaa wowote mpya unajengwa, basi lazima utakuta nyumba...
  2. The dumb Professor

    Kwa mil. 20 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu Dar?

    Wakuu, Kwa mil 20 naweza kujenga iyo nyumba nikisimamia mwenyewe?
  3. DYLM future billionaire

    KUJENGA NYUMBA KWA TOFALI ZA KUCHOMA KWA KUTUMIA UDONGO MWEKUNDU,NA KUJENGA KWA TOFALI ZA CEMENT KIPI BORA KIUFUNDI ZAIDI???.

    KUJENGA NYUMBA KWA TOFALI ZA KUCHOMA KWA KUTUMIA UDONGO MWEKUNDU,NA KUJENGA KWA TOFALI ZA CEMENT KIPI BORA KIUFUNDI ZAIDI???.
  4. Chachu Ombara

    Polepole: Wanatakatisha pesa kwa kununua magari ya kifahari na kujenga nyumba Masaki

  5. Top Gun

    Ndoto yangu ilikuwa ni kujenga nyumba kabla sijavuka 35 ila naona matumaini haya yakididimia kwa spidi ilioezeleka. Usawa huu ni mgumu kupindukia

    Kama una nafasi inayokupa manufaa mazuri sanaa, aisee shikilia kwa unyenyekevu, uvumilivu na uangalifu. Maam upande wa pili joto ni kali sanaa
  6. ELI COHEN

    Kuna feeling flani amazing ukifanikiwa kujenga nyumba yako ya kwanza kabla haujavuka 35. MUNGU AZIDI KUWAVUSHA WOTE!

    Sawa umri ni namba ila muda tunauhesabu kwa namba.
  7. stabilityman

    Vitu vya kuzingatia ukitaka kujenga nyumba ya kupangisha

    VITU VYA KUZINGATIA UKITAKA KUJENGA NYUMBA YA KUPANGISHA. 1. Angalia aina ya watu unaohitaji kuwapangisha Kuna matabaka matano (05) ambayo ni kama IFUATAVYO:- a). Wanachuo, Vijana walio single wenye kipato Cha uhakika Chumba self Chenye choo Kwa Ndani. b). Wanafunzi na Watu wa Uswahilini...
  8. stabilityman

    Natoa ofa kuanzia leo Nitajie kiwanja chako kina ukubwa gani mimi nikwambie unaweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi

    Bure kabisa fatilia hapa Natoa ofa kuanzia leo Nitajie kiwanja chako kina ukubwa gani mimi nikwambie unaweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi vya kulala Wasalaam Eng James 0743 257 669
  9. Teknolojia ni Yetu sote

    China imevunja rekodi ya ujenzi kwa kujenga nyumba yenye ghorofa 10 kwa Saa 28hrs

    💡China wako mbele ya muda Aiseeeh!!!!! 💭 China imefanikiwa kuweka rekodi ya kipekee ulimwenguni baada ya kuwa nchi ya kwanza kujenga nyumba ya ghorofa 10 yenye ndani ya saa 28 imekamilika na kuanza kutumika. 💭 Walitumia njia za kisasa moja wapo ni kuweza kutengeneza sehemu moja moja na...
  10. Smart Finance

    Kosea Kujenga nyumba lakini usikosee kuoa

    Baada ya kuishi pamoja kwa miaka 16 bila ndoa rasmi, Mkurugenzi wa lebo ya “Cash Money Records”, Birdman (56), na mwimbaji mashuhuri wa RnB, Toni Braxton (57), waliamua kufunga ndoa kimya kimya wiki iliyopita. Hata hivyo, ndani ya siku 3 tu baada ya ndoa hiyo, Toni Braxton aliwasilisha maombi...
  11. upupu255

    PreGE2025 Dkt. Tulia kujenga nyumba nyingine nne kwa wahitaji wenye makazi duni Mbeya

    Spika wa Bunge la Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, kupitia Taasisi yake ya Tulia Trust, wamesema pamoja na kuendelea na ujenzi wa nyumba ya Mzee Obed Ambonisye, anayeishi kwenye mazingira magumu pamoja na familia yake katika Kijiji cha Matema, Wilaya ya Kyela, Mkoa...
  12. Jumanne Mwita

    Kujenga kwanza au kutafuta maisha na kukuza mtaji? Uko upande upi?

    Mjadala huu kuhusu "kujenga na kutokujenga" ni mzuri sana kwa sababu unagusa maisha ya kila mtu kwa njia tofauti. Kuna mitazamo mingi inayotokana na uzoefu wa watu, hali ya uchumi, na vipaumbele vya maisha. Ili kuunda makala yenye ushawishi, tutachanganua hoja kuu zinazojitokeza kisha...
  13. Scared

    Hivi mtu unawezaje kujenga nyumba yako kwenye ardhi ya wazazi na ukaishi na familia yako hii akili au matope

    Huwa nashangaa mtu anapata wapi ujasiri wa kujenga nyumba kwenye ardhi aliyopewa na wazazi wake Ili aishi na familia yake yaani Kila siku ukiamka unamuona mzee wako na mama Yako hata uhuru hamna aisee nashangaaga sana watu wa aina hii halafu unakuta ukifa familia yako inaporwa nyumba na ndugu...
  14. Mapenzi ya Mungu

    Katika harakati za kujenga nyumba ulikutana na changamoto gani!?

    Ukiachilia uwepo wa Mafundi, na matilio kama mchanga, kokoto, sumeti na uwepo wa fedha!?
  15. Stephano Mgendanyi

    Rais Mwinyi: Serikali Itaendelea Kujenga Nyumba za Kisasa za Wananchi

    RAIS MWINYI: SERIKALI ITAENDELEA KUJENGA NYUMBA ZA KISASA ZA WANANCHI Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewathibitishia Wananchi kuwa Serikali itaendelea Kujenga Nyumba za Kisasa Maeneo yote ambayo yana Nyumba zilizo Chakavu kwa lengo la kuwapatia...
  16. Mkalukungone Mwamba

    Waziri mkuu Majaliwa: Michango ya wadau waliojitolea kwenye tukio la maporomoko ya tope Hanang ilikidhi mahitaji ya kujenga nyumba

    Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema michango ya wadau waliojitolea kwenye tukio la maporomoko ya tope ilikidhi mahitaji ya kujenga nyumba zote za wahitaji 109 za waathirika wa maporomoko hayo ambayo yalipelekea vifo vya watu 89. Nyumba hizo ambazo zimejengwa na Serikali ya Awamu ya Sita...
  17. A

    Naomba ushauri, nijenge nyumba Dar au Mkoani - Mjini?

    Wakubwa, Naombeni ushauri wenu kuna hili jambo linanitatiza. Nina FEDHA kiasi cha 25 mill. Lengo langu ni kujenga nyumba - kwa ajili ya kupangisha tu, maana tayari nina makazi ya kuishi. Nawaza kununua uwanja mkubwa kwa hiyo FEDHA yote 25 million ili angalau nipate square mita za kutosha...
  18. Right Marker

    Bongo aliyenunua gari na kujenga nyumba anajiona ametoboa maisha

    Huku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa maisha. Pengine hata wewe mwenyewe utajiona una akili ya maisha kuliko kiumbe chochote hapa nchini ambacho...
  19. Replica

    Watanzania hutumia miaka 10 hadi 15 kujenga nyumba

    Licha ya kuwepo kwa mwamko wa wananchi kujenga nyumba kupitia fedha zao za mfukoni, hali inaonyesha kuwa huwachukua wastani wa miaka kumi hadi miaka 15 kumaliza kujenga nyumba hizo. Hayo yameelezwa leo Ijumaa Agosti 9, 2024 na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Hamad Abdallah...
  20. stabilityman

    Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi

    Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi ila zile za hidden roof ni hatari kama ukipata fundi mbaya hizi hakuna nondo nyingi. Kama unataka kuwasiliana na mimi 0743257669
Back
Top Bottom