kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusiana na mchezo wa Mpira wa miguu

    1. Kocha Anaweza Kucheza Kwa Timu Kama Atakavyo: Wengi hawajui hili lakini kocha ni sehemu ya timu na anaweza kumtoa mchezaji na kuingia uwanjani kucheza. Mfano wa kawaida ni Gianluca Vialli ambaye alikuwa akicheza kwa Juventus na baadaye akawa kocha wa Chelsea, alikuwa bado anaweza kucheza na...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri kuhusu mpenzi wangu aliyenisevu "Dad" kwenye simu yake

    Demu wangu alikuwa anachepuka, siku moja nikaona amenisave "Dad" kwenye simu yake lakini sikumwambia nikajikausha. Wiki iliyopita nilikuwa nampigia na hapokei simu. Jumapili iliyopita niliona namba mpya ikiita kwenye simu yangu nikaamua kuipokea. Ni kijana aliyejitambulisha kwa jina la Kelvin...
  3. JamiiForums Tanzania Machache Kuhusu Kimondo Hoba (Namibia)

    -Ni miaka 80000 iliyopita. Jiwe kubwa lililokuwa na uzito wa tani 60 lilianguka na kufika katika ardhi ya Namibia pembezoni mwa milima ya Otavi, ni km 20 kutoka mji wa Groot fontein. - Mwaka 1920, bwana Jacob Hermanus Brits (alikuwa ni Boer), alienda shamban kwake na vifaa vyake vya kazi...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mbunge Tabasamu usitoe sifa za bure kwa Prof. Mbarawa Bungeni kuhusu uwanja wa Ndege wa Mwanza

    Nimefuatilia hotuba ya kuchangia ya Mhe. Tabasamu kwenye Bajeti ya Uchukuzi na kusikitishwa na sifa na shukrani aliyoitoa kwa waziri wa uchukuzi kuwa amewezesha ujenzi wa uwanja huo kuwa wa kimataifa. Ajabu uwanja huo haujaanza kujengwa wala site mobilization haipo, na mitambo ya kudanganyia...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesho Lissu akiwa Rais unadhani ni kipi cha kwanza atafanya kuhusu Muungano?

    Tuseme kesho Tundu Lissu ameamka kaupata Urais, ni kipi ataanza nacho kuhusu Muungano? Akiwa na Salama kwenye kipindi cha mkasi alidai Tanganyika tunaiibia Zanzibar sasa hivi msimamo wa gwiji hili la sheria umebadilika kutokana na elimu ya siasa ambayo amekuwa akiitoa kwenye mikutano ya...
  6. JamiiForums Tanzania Nani bado anabisha kuhusu S2KIZZY kuwa ndio producer namba moja Tanzania?

    Naona kuna watu wanaleta ubishi usio na msingi kuhusu ukubwa wa producer namba moja Tanzania S2KIZZY aka Zombie. Lakini wote wanaobisha wanasukumwa na chuki hawana sababu ya msingi. Ukweli ni huo Zombie ndio producer namba moja Tanzania na ni namba 2 kwa muda wote nyuma ya PFunk Majani.
  7. JamiiForums Tanzania Kesi ya uchochezi inayowakabili Malisa inageuka kwa Jeshi la Polisi kuhusu vifo vya utata

    Mahakamani ni sehemu ya ajabu sana kwa wale wenzetu tusiofikiria sheria wala maamuzi. Hili swala lilo lalamikiwa na jeshi la polisi kupitia afande muriro linawezaa kuzua mjadala mwengine ambao ukageuka kibao kwao kuhusu utata wa vifo vinavyo tokea kupitia wao au kuzuka jambo la kupotea kwa watu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kinana atoe majibu kuhusu clip hii akiwa Loliondo/Ngorongoro na Mfalme wa Dubai

    Wengi wanafahamu sekeseke la Loliondo Ngorongoro huku likipamba kasi baada ya Wamasai wote kuambiwa waondoke kinguvu. Clip ambatanishi hapo juu ni Makamu Mwenyekiti akiwa na ugeni mzito huko mbugani, swali je alikua akimpokea kama mgeni wake binafsi ama kwa niaba ya Samia?!! Kwa nini sio waziri...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu uzalishaji mkubwa wa zao la mpunga msimu huu

    Kwanza tunamshukuru Mungu kwa uzalishaji mkubwa wa zao la mpunga kwa msimu huu. Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wananchi wamepata mavuno makubwa ya mpunga. Kwa sasa bei ya mchele inazidi kuteremka na ninaambiwa kuwa maeneo ya Katavi kilo moja ya mchele umefika Tshs. 600. Pia...
  10. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu kasi ya ndege inapopaa

    Ufafanuzi mwepesi. Ndege inapokimbia kwenye barabara yake (#runway) kwaajili ya kupaa, kuna kasi tofauti ambazo Rubani msaidizi '#First_Officer au Rubani kiongozi #Captain anataja ili anayehusika kurusha ndege (Pilot in command) afahamu maamuzi aliyonayo katika mwendo husika. Ndege (hasa kubwa)...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kwa watumiaji wa Honda Fit

    Wanaotumia honda Fit, naomba mniulize chochote tushirikishane uzoefu. Watu wengi wamekuwa wakiharibiwa magari yao kwa sababu tu ya kukosa uzoefu Kuhusu Honda Fit Asante
  12. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu utajiri wa ndagu

    Habari zenu wakuu, natumaini mko poa. Kabla sijaenda mbali ningependa wataalamu na wazoefu wa hili suala la dangu za utajiri je lipo? Kama lipo linafanya kazi? Kama linafanya kazi stakeholder na maexpert wa field hii wajitokeze tujue hii kitu inaexit au scams tu. Asante kwa kuwakilisha, wazee...
  13. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu marekani Kaskazini,marekani Kusini,USA,Na Jimbo la ALASKA

    Habar Ya mchana JF nimewaletea Elimu Ya Kujifunza hapa. ELIMU YA BURE: FAHAMU KUHUSU MAREKANI KASKAZINI, MAREKANI KUSINI, USA, NA JIMBO LA ALASKA. ------------------------------------------------------- Naamini sote tunataka kufahamu vizuri kuhusu tofauti kijiogorafia kati ya Marekani...
  14. JamiiForums Tanzania Matukio, picha na video kuhusu Kimbunga Hidaya

    Kimbunga Hidaya kimeshafika kwenye pwani yetu. Mamlaka ya Hali ya Hewa TMA walitoa tahadhari ujio wa kimbunga hiko kwenye pwani ya mashariki. Uzi huu ni maalumu wa kushare matukio, picha na video za maeneo yaliyopitiwa na kimbunga hiki cha HIDAYA. Lengo ni kupashana taarifa na kuzisaidia...
  15. JamiiForums Tanzania Polisi na waandishi wabadili mtazamo kuhusu ripoti za matukio ovu!

    Najiuliza sana ni nani aliyeweka huu utaratibu wa kuripoti matukio ya kiuhalifu ?Je utaratibu huu unasaidia nini,? Lengo la kuripoti matukio haya ni nini? Nani aliyeweka format ya kuripoti.? Kwa maoni yangu huu ni utaratibu mbovu na unasiriba haiba za mikoa au wilaya bila sababu ya msingi. Leo...
  16. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Mahojiano kati ya aliyekuwa Mkurugenzi wa MCL Tido Mhando na Jaji Warioba kuhusu Katiba Mpya, Muungano

    Salaam,mahojiano haya yalifanyika mwaka 2013 na kuchapishwa Na magazeti yote Yaliyo chini ya MCL,Gazeti la jumamosi June 8 mwaka 2013,, Swali: Kwa nini mlipendekeza Serikali tatu? Warioba: Upande wa Zanzibar wapo waliotaka Serikali mbili, Serikali ya mkataba na wengine kutaka Serikali tatu...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Tunakaribisha tofauti za hoja na maoni kuhusu chama chetu CHADEMA kwani hii ni fursa kubwa ya chama kukua na uthibitisho wa demokrasia komavu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tunakaribisha maoni mbalimbali na hata mawazo tofauti kati ya wanachama na viongozi wetu. Kama chama cha kidemokrasi, Chadema tunaona suala la kutofautiana na kulumbana juu ya hoja mbalimbali ni fursa muhimu sana ya kuonesha demokrasia yetu na pia...
  18. JamiiForums Tanzania Kuhusu kufatwa PM na kuombwa

    Maxence Melo naomba mwongozo. Mimi ni muhanga wa kufatwa pm na kuombwa kusapoti kupigia kura (wenyewe mnasema ku-vote) mada ya wadau wanaoshiriki shindano la story of change. Na kiukweli sina roho mbaya kihivyo kwahiyo nikawa natoa vote za kutosha tuu kwa walionijia tena sometimes bila hata...
  19. JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli kuhusu dunia kwenda kasi?

    Kadri miaka inavyozidi kwenda, pia speed ya muda unaongezeka. Siku hizi unashangaa tu kumekucha hujakaa sawa giza hilo. Je, kuna uwezekano dunia iinazunguka kwa kasi with time, I mean kadri decades na centuries zinavyo ongezeka na earth's rotation or revolution pia inaongezeka? Ma astrologists...
  20. JamiiForums Tanzania Ulalamishi kuhusu wabara kupata ardhi Zanzibar

    Ninadhani sasa ni muda muafaka wa kulijadili suali nililotaja kwenye 'heading' kwa kina, IKIWEZEKANA LIENDE BUNGENI!, maana naona kuna watu, kwa chuki zisizo na msingi, wameamua kulitumia suala hili kiuchochezi zaidi! HEBU WADAU WAJIULIZE TU KWANINI HAWAPEWI PLOTS KUJENGA 'NGORONGORO...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…