kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Unajua nini kuhusu chatu karibu kwenye jamvi?

    Huyu ndie python OG hebu tueleze
  2. D

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu gari aina ya Suzuki aerio

    Wakuu habari za wakati huu, Naomba kujua kwa wenye uzoefu na wajuvi wa hizi gari zinaitwa Suzuki aerio kuhusu changamoto zake, upatikanaji wa spare na ulaji wa mafuta pia yale matatizo common ya hii gari Natanguliza shukurani
  3. JamiiForums Tanzania Unalijua hili kuhusu mtoto wa Osama bin Laden

    Je wajua? Omar bin Laden, mtoto wa nne wa Osama bin Laden, ni msanii na mwandishi, na sanaa yake inaonyeshwa nchini Ufaransa, ambako anaishi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu Honda Crossroad

    Wakuu nataka nimwagizie shemeji yenu hio gari (HONDA CROSSROAD) naomba ushauri kwa ambao mna uzoefu nayo. Ahsanteni
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu vipandikizi vya uzazi kwa mwanamke (Kijiti)

    Hoja yangu ni kwamba mwanamke kwa mfano akiwa ameweka kijiti kile cha muda wa miaka mitano (5) na akafikisha miaka mitatu (3) nacho akaamua kukitoa kabla ya muda uliyokusudiwa Je anaweza kupata mimba mara baada yakukitoa ama atasubiri mpaka miaka hiyo mitano (5) ifike
  6. JamiiForums Tanzania Azim Dewji awatuliza Simba kuhusu viongozi

    Mfadhili wa zamani wa Simba Azim Dewji amewatuliza mashabiki wa timu hiyo kuacha kuendelea kuwashurutisha viongozi wao kujiuzulu akisema hatua hiyo itaibomoa timu yao. Dewji ameyasema hayo leo kufuatia malumbano ya uongozi yanayoendelea ndani ya klabu hiyo. Amewashauri viongozi wa Simba...
  7. JamiiForums Tanzania Unawafundishaje Watoto wako kuhusu Athari za Unyanyasaji wa Kijinsia?

    Onyango Otieno, mwanaharakati mwenye umri wa miaka 35 kutoka Kenya, anasema kwamba wanaume wameshawishika na jamii kuamini kuwa nafasi yao ni juu ya wanawake, lakini kuongezeka kwa ufeministi kumewaacha wanaume wengi wakihisi wamedhoofika au nafasi yao kuchukuliwa na wanawake. Anaeleza “Wanaume...
  8. JamiiForums Tanzania Mjadala kuhusu handsome boyz na sura personal

    Kuna mada niliipitia hapa jf siku za hivi karibuni. Pamoja na maelezo mengi ila hoja mahususi ilikua inahusu favour ambayo wanaipata handsome boyz katika masuala mbalimbali. Wenye sura personal walipandisha jazba sana na mlengo wa hoja zao ulikua ni kufungamanisha uhandsome na ushoga na...
  9. JamiiForums Tanzania Kama serikali inakanusha kuhusu huu mkopo na dhamana ya madini mbona korea walikuwa na ajenda kuhusu afrika

    Serikali mpaka sasa inakanusha kuhusu mkopo na dhamana ya madini ila korea walishafanya kikao kuhusu madini wanayotaka afrika. Naomba tuunganishe dot hii https://www.youtube.com/watch?v=1_46tHD6Y6s
  10. JamiiForums Tanzania Falsafa mpya inajengeka ndani ya nchi yetu. Ni kuhusu nchi yetu kuwa channel na FM ya vichekesho huko mbinguni.

    Kwema Wakuu! Natahadharisha! Ukiona jambo nalizungumzuia ujue tayari nimeshalipima. Lina uzito. Utani na mzahamzaha unaoendelea kwenye nchi yetu unaunda falsafa na mtazamo mpya juu ya kizazi kijacho katika taifa letu. Kujidharau Kujidunisha na kujiona sisi ni taifa la hivyo. Watu wetu ni...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi huyo Magoti, mshauri wa Rais kuhusu siasa, alikuwa na uzoefu upi wa mambo ya siasa? Mbona CCM ina manguli wa siasa jamani?

    Nimeshangaa kusikia Magoti ndiye alikuwa anamshauri Rais kuhusu siasa. Nikimuangalia ni kama ana umri wa miaka thelasini hivi, yaani mtoto tu, na ndio maana mwanzo nilidhani ni mhudumu au afisa wa kawaida tu pale ikulu. Hivi katika "msitu" wa wazee waliokomaa kisiasa kama Steven Wasira, Mizengo...
  12. JamiiForums Tanzania Taarifa ya Al Jazeera kuhusu mauaji kule Jazira imetangazwa faster kuliko kawaida

    Al Jazeera wametangaza hii habari haraka haraka sana hakuna coverage hata ya kuhoji watu ambao wanasema Ile ni massacre. African news nao Wala hawatangazi kuhusu Sudani. Taarifa yote iko Gaza Ina cover Kila sekunde hadi mistari ya kuchukua chakula milio ya ndege n.k Africa is for Africans...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu taasisi ya Risk Management Tanzania

    Naomba nijue ni chuo hiki au nini nimeingia kwenye website yao ila sijaridhika sana yaani nimeshindwa kukifahamu kiundani majukumu yake na kipo chini ya wizara gani. Kama ni chuo kinatoa course gani Kwa level gani?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu Deep Poll na cheti cha kifo

    Habari ZENU, Mimi nilivyomaliza shule ya Msingi nilipelekwa Lushoto, huko sikusoma form one ilikuwa direct form two na kaka angu mtoto wa ba mkubwa ndie alikuwa ananisimamia kusema nina akili nisisome form one. Baadae akaniambia jina langu limegoma hivyo akaniandikia jina la mdogo wake ambae...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wenzangu wa JF mmeshaandika kuhusu Tanzania tuitakayo kwenye Stories of Change?

    Habari Wanawake wote wa JF, Salaam ziwafikie mliko Wanaume pia hakika mnastahili pongezi kwa kuwa waibua mijadala na watoa maoni yanasaidia katika ujenzi wa Taifa letu kwa ujumla. Leo naongoe na wanawake, jeshi kubwa, nina swali kwenu je, mmeshaanza kuandika, mmeshiriki shindano na kupost...
  16. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu kesho ya taifa la Tanzania

    Tanzania ni nchi iliyo na amani upendo na mshikamano baina ya jamii na serikali Kwa ujumla.katika miongo tofauti imekua iki ongozwa na viongozi tofauti na wote wamechangia ukuaji wa nchi katika nyanja tofauti ,uchumi ,siasa kilimo ,uvuvi na katika biashara . Ningependa kuelezea changamoto...
  17. JamiiForums Tanzania Huyu Dada yupo sahihi kuhusu Baba wa kambo?

  18. JamiiForums Tanzania Familia yangu huiambii chochote kuhusu kituo cha runinga cha Cheka Plus

    Sio tu familia yangu, hata wafanyakazi wenzangu ofisini kwa ujumla. Maua mengi mengi yamfikie Coy Mzungu maake jambo aliloanza nalo kama utani, hatimaye lazaa matunda. Kuamua ni kuthubutu, Hatimaye Cheka tu imezaa Cheka Plus, same applied to WCB kuzaa Wasafi Media Cheka Plus inakuja kwa kasi...
  19. JamiiForums Tanzania Rais wa Palestina amsuta kiongozi wa dini wa Iran kuhusu vifo vya Wapalestina

    Huyo kiongozi wa dini ya uislamu anayeongoza Iran alijitokeza na kusifia sifia Wapalestina kwa wao kujitolea kufa, ila rais wa Palestina amemsuta na kumwambia Wapalestina wameteseka, wamekufa 36,000 na 83,000 kujeruhuwa kwenye vita ambavyo havina umuhimu kwao. ============================...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Wakuu Naombeni ushauri kuhusu matumizi ya mouth spray

    Haribani wana jf naombeni ushauri juu ya matumizi ya mouth spray. Na niipi nzuri Kwa matumizi 🙏
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…