kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Upigaji kura ulirahisishwa sana! Iliwafanya Waangalizi wa Uchaguzi kudhani wananchi hawakujitokeza kupiga kura

    Rais Samia amesema kuwa utaratibu wa kuongeza vituo vingi vya kupigia kura ulisaidia sana kupunguza msongamano katika vitu hivyo, hivyo upigaji kura kurahishwa sana na haukuchukua muda mwingi wa wananchi kama ilivyozoeleka, jambo lililowafanya baadhi ya waangalizi wa uchaguzi kudhani wananchi...
  2. JamiiForums Tanzania Nilisema kuhusu wahaini kuachiwa ili kumjenga kisiasa Rais Samia hatimaye leo yametimia

    Siku chache zilizopita niliandika thread kuhusu hizi kamata kamata za watu kisha kubambikiwa kesi ya uhaini, Rais Samia atakuja kutoa tamko hao watu waachiwe na malengo makuu ni mawili 1) Kumjenga Samuya Kisiasa 2)Kuwapumbaza wadanganyika. Hatimaye yametimia leo.
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ado Shaibu auliza kuhusu katiba mpya Mgombea ZUNGU asema iko njiani

    "Ndugu mgombea mheshimiwa Zungu ningependa kufahamu katika bunge utakaloliongoza iwapo utachaguliwa kuwa spika litakuwa na mchango gani katika kuboresha demokrasia nchini Tanzania hasa katika muktadha wakujenga mwafaka wa kitaifa na kuhakikisha Tanzania inapata katiba mpya?". Mbunge mteule wa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wetu unakielewa ulichokiongea kuhusu Mange ama unataka kumfurahisha aliyekuteua?

    Nilimskiliza Mwanasheria wetu wa Serikali akiongea kuhusu Mange Kimambi kufanya jinai kwa kuhamasisha Maandamano, na akaendelea kwa kusema anafanya jitihada zozote hata za Kidiplomasia Mange arudishwe kujibu mashitaka. Ni aibu sana kwa mwanasheria msomi kuongea PUMBA kama hizi. Ninapata wasiwasi...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The secret behind Kenya’s role in influencing unrest in Tanzania under the guise of fighting for democracy

    THE SECRET BEHIND KENYA’S ROLE IN FUELING UNREST IN TANZANIA UNDER THE GUISE OF FIGHTING FOR DEMOCRACY. By Dr. Geus Mbadika Nyaisanga Dar es Salaam, Tanzania The General Election of the United Republic of Tanzania, held on October 29, 2025, marked another historic chapter in the country’s...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri Kuhusu Karma: Kilio cha Huyu Mama Niffer Kimenitoa Machozi!, Ni Kama cha Mama Kabendera, Kisikilizwe!, Mama Wasamehe Tuu, ni Wanao Kama Dully!

    Wanabodi https://youtu.be/WHZeDbvn4jw?si=-yv4XzIrf54tMBsU Hii video ya Mama Niffer akimuombea msamaha mwanae Niffer, kama una machozi ya karibu, lazima itakutoa machozi!. Kwa jinsi anavyomzungumzia mwanae Niffer jinsi alivyo ni nguzo na tegemeo la familia yao, yeye ni mgonjwa, tegemeo lake ni...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Majibu ya AI kuhusu chanzo kilichopelekea Nyerere aitose Tanganyika kuungwa na Zanzibar na kilichomfanya Karume aridhie

    🧭 Muktadha wa Dunia: Cold War (1950s–1980s) Baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia, dunia iligawanyika katika kambi mbili kubwa: Kambi ya Magharibi 🇺🇸 – inayoongozwa na Marekani na Uingereza (mfumo wa ubepari/demokrasia ya kibepari). Kambi ya Mashariki 🇷🇺 – inayoongozwa na Muungano wa Kisovieti...
  8. JamiiForums Tanzania Mpenzi Bila Majaribio ni Hatari

    Ifike mahali suala la kuoa kisheria liliangalie kwa ukaribu, mke pia ajitolee walau miezi 6. Kama ilivyo kuomba kazi, kwanza ujitolee wakuangalie..🫵🏾
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Maandamano na Vifo Uchaguzi 2025: Polisi waonya kuhusu kusambaza “Picha na Video zenye kuleta taharuki”

    Polisi Tanzania wameonya wananchi kuepuka kusambaza picha mtandaoni ambazo “zinaweza kusababisha taharuki” kufuatia kurejeshwa kwa huduma ya intaneti baada ya maandamano yaliyoibuka kutokana na uchaguzi. Baada ya internet kurudi, video na picha zilizosambaa kwenye mitandao ya Kijamii zinaonesha...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Kama ulikuwa hujamuelewa Polepole kuhusu uhuni

    Nyerere alisema mtu yeyote anayetaka kwenda ikulu kwa kutoa pesa anataka kwenda kufanya biashara ikulu. Tuliona Mbowe mwenyekiti wa chadema akiingia ikulu kukutana na rais Samia akiwa mifuko ya gwanda lake la chadema bapa. Kutoka picha zikaonesha mifuko ya gwanda la chadema limetuna. Mara...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Obama alisema kuhusu uchaguzi

    https://youtu.be/nxFeUMLXz8s?si=sl2tKt4ZiZ006nNV
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hasira za wananchi kwa Media za Tanzania kukaa kimya kuhusu Mauaji na vurugu zilizokuwa zinaendelea Uchaguzi Oktoba 29

    Media za Tanzania zinapaswa kulaumiwa sanaa kwa kilichotokea na kinachoendelea kutokea haiwezekani media za nje ndiyo zitoe ripoti kuhusu maovu na mauaji yaliyotokea kwa vijana wetu, uchafu unaofanywa na serikali ya huyu mama lakini media za ndani zipo kimya kazi kupaka mafuta Kwa hali hii...
  13. JamiiForums Tanzania Ujumbe Mahsus kwa Watu Mahsus Kuhusu Watekaji, Watesaji na Wauaji 'Wasiojulikana' wa Watanzania!, Machozi, Jasho na Damu, Inakulilia!, Itoshe!, Iishe!

    Wanabodi Kwa muda mrefu taifa letu limekuwa linakabiliwa na hili jinamizi la watu wasiojulikana, ambao wanateka Watanzania, wanatesa Watanzania, na wanaua Watanzania bila huruma. Kila tukio wanalofanya, wakifanya mchana mbele ya watu, wanakuja na silaha nzito na magari kama ya polisi, na...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Waangalizi SADC: Uchaguzi Mkuu wa Tanzania haukuwa HURU wala wa HAKI

    Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) imesema kuwa uchaguzi uliohitimishwa hivi karibuni nchini Tanzania haukutimiza viwango vinavyohitajika ili kutangazwa kuwa huru na wa haki. Katika ripoti yake ya awali, Ujumbe wa Waangalizi wa SADC (SEOM) umebainisha kuwepo kwa vitisho...
  15. JamiiForums Tanzania Niliwaambia kuhusu JWTZ na huyo mkuu wao….

    Kuna mengi sana niliwaambia kuhusu huu ulioitwa uchaguzi. Niliwaambia kwamba kushiriki uchaguzi unaoendeshwa na kusimamiwa na tume aliyoiunda Samia, ni umajinuni. Sihitaji kusema mengi wala zaidi kuhusu hilo kwani, yametimia. Vilevile niliwaambia kwamba hilo liitwalo jeshi la wananchi wa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nina shauku/curiosity ya Kiintelejensia kuhusu Kuanguka kwa SGR

    Baada ya kuchambua video ya leo ya Samia nimeona kwa macho yangu kuwa alipo tangaziwa na kupewa cheti sio Jengo/Ofisi za Tume Dodoma, kwa maana nyingine Juhudi zetu za watu kwenda maeneo ya tume zilionesha matumaini na kujaza hofu za hawa madhalimu. Kingine baada ya kuangalia Ramani vizuri...
  17. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Utabiri wangu kuhusu maandamano Oktoba 29

    Maandamano ya kesho hayatafanikiwa. Hii ni sababu watanzania wengi hawajawa desperate enough kufikia ile hali ya kuwa tayari ku risk maisha yao. Wengi hawajafikia hatua ya kutokuwa na cha kupoteza liwalo na liwe. Matokeo yake, maandamano yakifeli yamkini wenye mamlaka watapata kibuli na kuanza...
  18. JamiiForums Tanzania Hatimaye Stephen Wasira atema Cheche kuhusu Bandari ya Dar

    Hata hajui anaongea nini nadhani. Kwani mwaka huu CCM haawana Ilani? Wangejikita kunadi Ilani
  19. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu kilichotokea kufukuzwa kwa Gamond Yanga

    Wana Yanga wengi walifurahia sana mwenendo wa timu kipindi cha Master Gamondi na chini yake ndiyo timu nyingi zilichezea kipigo cha 5 including timu yako. Tatizo lilianza kwenye tamasha la Cheka 2 ambapo Engineer aliongozana na Aziz Ki kwenda kwenye tamasha, na haikuwa mara yakwanza Engineer...
  20. JamiiForums Tanzania Mtazamo wa Mnigeria kuhusu uchafuzi wa Oktoba 29!

    Samia anazidi kujipatia sifa mbaya kimataifa! Mcheki jamaa hapa akitoa maoni yake halafu ukiweza ingia kwenye sehemu ya maoni, ingia usome maoni ya wadau. This woman….what has become of her? https://youtu.be/J74HbQn--9k?si=lBxkXpYzIRwtkVDz
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…