kugombea urais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mto wa mbu

    Natangaza kutoa zawadi ya $5000 kwa mtu atakaenionyesha picha ya Samia akichukua fomu ya kugombea urais CCM

    Sote tunajua kuwa Ili uwe mgombea halali wa CCM Kwa ngazi ya urais lazima uombe Kwa kuchukua fomu na kuirudisha. Samia sijawai kumuona akichukua fomu, alijiteua tu bila kufuata taratibu. Inaonekana labda mimi ndo sikumuona akichukua fomu. So natangaza kitita cha $5000 Kwa mtu atakaenionyesha...
  2. Carlos The Jackal

    Wazalendo wasiruhusu kabisa Uhuni wa Dodoma kua Desturi , itaangamiza Taifa , MTU mmoja' anaweza mpitisha Mwanae 2030 kugombea Urais na asihojiwé !!

    Mkutano ulikua wa kumteua Makamo!!. Wahuni na Machawa wakiwa tayari wameshajipanga, Anaibuka MTU ,kama vipi TUMPITISHE hapahapa? Makofi na kelele vikawa vingi. Wakaibuka Machawa na Vilaza na wahuni wengi wengi kufanya Fujo za makofi na vigelegele. Lini Samia alichukua Fomu? Licha ya...
  3. peno hasegawa

    Mgombea Urais kwa ticket ya CCM atachukua lini fomu ya kugombea Urais na atairudisha lini?

    Muda wa kuchukua fomu na kuzirejesha kwa wabunge na madiwani ulisha pita. Urais hakuna aliyechukua fomu,au hakuna mgombea urais??? Nimeuliza tu
  4. Zanzibar-ASP

    Polepole analalamika rafu za JK kumbeba Samia urais CCM 2025, lakini alifurahia rafu za JK 2015 zilizopelekea Magufuli kugombea urais na kushinda!

    Huenda Polepole hakuwa anaelewa dhana dhima ya karma katika maisha ya kila siku. Lakini kwa kuwa katika press ya leo mara kwa mara amemtaja mwenyezi Mungu, huku akisema yeye ni muumini mzuri wa kikristo, basi alipaswa kukumbuka lile andiko linalosema; Apandacho mtu ndicho atakachovuma! JK huyu...
  5. Carlos The Jackal

    Dola isiruhusu uhuni wa mtu kujipitisha kugombea Urais CCM , Mwaka 2030 kuna Muhuni atamptisha Kijana wake na hakuna atakayehoji, Tupige vita mapema

    Mpaka Sasa hamna Mahali Ambapo RAIS SAMIA kachukua Fomu, na kuijaza, na kuirejesha , yaaan Uhuni MTUPU Mtu kaamua kujipitisha Mwenyewe kavunja Katiba ya CCM ,kavunja Katiba ya Nchi Licha ya uvunjifu huo, Hata kuchukua Fomu, hajachukua Wakuuu !! Nitoe Rai, kama Vyombo vya Usalama Nchini...
  6. Tlaatlaah

    Tetesi: Polepole kugombea urais October 2025

    Mazungumzo na vyama mbalimbali vya siasa yaendelea. Mnyetishaji wa tetesi hii anadai, muungwana atoa sharti kwa vyama vyote vya upinzani nchini kuweka kando tofuti zao na kuungana ikiwa wanataka mabadiliko ya kweli. Mnyetishaji ameendelea kueleza kwamba muungwana amejiuzulu ili apate nafasi ya...
  7. B

    Sifa za kugombea Urais TFF

    Habari.... Kwa mujibu wa Katiba ya TFF, pamoja na kanuni za uchaguzi zinazotambuliwa na FIFA, mtu yeyote anayetaka kugombea urais wa TFF lazima awe na: 1. Uzoefu wa Uongozi Mgombea anatakiwa awe amewahi kushika nafasi ya uongozi kwenye soka (TFF, vilabu, vyama vya mikoa n.k.) kwa angalau...
  8. Frank Wanjiru

    Ally Mayayi atangaza kugombea Urais TFF

    Nyota wa zamani wa Yanga Sc na timu ya Taifa,Taifa Stars, Ally Mayay Tembele ametangaza nia ya kushiriki uchaguzi mkuu wa TFF mwaka huu kama mgombea nafasi ya Urais wa Shirikisho hilo unaotarajiwa kufanyika Agosti 16, 2025 Jijini Tanga. Mwakilishi wa nahodha huyo wa zamani wa Stars atamchukulia...
  9. Dennis Robert Shughuru

    Mimi Dennis Robert Shughuru sina miaka 40 ya kugombea Urais wa Tanzania kama isemavyo katiba ya Tanzania natangazaje nia???

    Nilijua kwa kusema nina nia ya kugombea Urais wa Tanzania lazima watu watasema huyu ni kichaa, mwendawazimu, hawa vijana wa sahivi stress za maisha zinawasumbua, anatakiwa aende mirembe, afya la akili ni tatizo, maisha magumu nyie, huyu hata tofauti na deo kisandu n.k haya majibu na mengine...
  10. kavulata

    Ally Mayai kugombea Urais wa TFF, nakupendekeza

    Ally Mayai Tembele amenyooka, ni msomi , ni mwanasoka na hana usimba na uyanga. Chukua form ukahombee nafasi ya ukaria. Wengine ambao Nina Imani nao ni Dominic Salamba, Hans Raphael, Maestro, na mbwaduke kwenye nafasi ya utendaji na bodi ya Ligi. Nawasilisa...
  11. Kurunzi

    PreGE2025 Tetesi: Luhanga Mpina kutajwa kugombea Urais kupitia CHAUMMA 2025

    Kuna taarifa zinazozagaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan kupitia jukwaa maarufu la JamiiForums, zikidai kuwa aliyekuwa Mbunge wa Kisesa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhanga Mpina, anapanga kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Maendeleo (CHAUMA)...
  12. Baba jayaron

    Tetesi: Askofu Gwajima kufutwa uanachama, kugombea Urais...

    Good morning wadanganyika, Ni mwendelezo ule ule kutoka kwenye chumba kidogo cha mikutano ya siriiiiiií Kali mnoooo. Atalazimishwa kuomba msamaha na kufuta kauli, atakaza fuvu, atakaza fuvu shujaa huyu wa wadanganyika atapokelewa kishujaaa kama mgombea Urais jasiri mwenyekukijua vizuri chama...
  13. Artifact Collector

    Huyu member Dennis Roberts aliyetangaza kugombea urais wa Tanzania ni mtu wa ajabu sana sio wa kawaida

    Haya ndo mambo ambayo yananishangaza kuhusu Dennis Roberts Jamaa ametangaza nia ya kutaka urais ilihali ana miaka 33 ni jambo la kuchekesha ila la kufikirisha hasa ukimsikiliza anachoongea labda yuko kwenye maandalizi ya miaka ya mbeleni ila very very weird kwa jina wa kitanzania na kiafrika...
  14. Yoda

    Mwanaume gani maarufu mwenye hamasa wa kugombea urais 2025?

    Mpaka sasa sioni dalili za kuwa na mgombea mwanaume maarufu na atakayeleta ushindani na msisimko kwenye uchaguzi wa mwaka huu October 2025. Kama ikitokea akakosekana kabisa mwanaume wa kuleta ushindani kwenye uchaguzi mwaka huu basi chondechonde wanaume hata tuonewe huruma tuachiwe hata uspika...
  15. L

    Rais Samia angekuwa Raia na amezaliwa Marekani angelazimishwa Kugombea Urais na angepita na kushinda kwa kura nyingi sana kuwahi kutokea

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiiangalia Marekani ya Sasa unaona wazi kabisa kuwa inamhitaji sana mtu na kiongozi aina ya Rais Samia. Ilikuwa inahitaji kuwa na Samia wake kwa sasa wa kuweza kuiongoza Marekani. Marekani hii ambayo imeshindwa Kumaliza vita vya ukrein pamoja na mauaji kule Gaza...
  16. Wakusoma 12

    Nina mpango wa kugombea urais kupitia chama kimoja wapo Cha kisiasa na hii ndiyo agenda yangu kuu.

    -----Update------- Hoja zangu zimeshambuliwa na wananchi ambao Wanaona haiwezekani kwa kuwa serikali zingine zimeshindwa lakina ukweli ni kuwa sisi tutafanikisha Hili suala kwa kujua umhimu wa kuanzia fursa sawa kwa watoto wote wa Tanzania. ---------- Ndugu wananchi...
  17. Waufukweni

    PreGE2025 Othman Masoud achukua Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Wazalendo, ambaye pia ni Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar. Othman amechukua fomu hiyo leo Aprili 13,2025 majira ya saa 4.00 asubuhi ikiwa ni mwanachama wa kwanza kwa nafasi...
  18. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Katibu Mkuu wa NLD Doyo Hassan atangaza nia ya kugombea Urais katika uchaguzi mkuu 2025

    Katibu Mkuu wa Chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo ametangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hiyo katika uchaguzi utakaofanyika baadaye mwaka huu, huku akiahidi kuleta mageuzi katika sekta mbalimbali nchini. Kupata...
  19. Waufukweni

    PreGE2025 Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza nia ya kugombea Urais 2025

    Wakuu Tunajua msimamo wa Chama upo wazi, bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi na hawatashiriki uchaguzi, huyu Mapunda imekuaje ametangaza nia wakati wenzake wanapaza sauti ya No Reform, No Election? == Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Romanus Mapunda, ametangaza azma...
  20. Just Pray

    PreGE2025 Mbeya: Kikundi cha 'Wanawake shujaa' wilaya ya Rungwe, wamemchangia shilingi milioni moja Rais Samia fomu ya kugombea Urais

    Kikundi cha 'Wanawake shujaa' wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya wamechangia fedha zaidi ya shilingi milioni moja za Kitanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi wa mwaka huu (2025) kupitia Chama cha...
Back
Top Bottom