Victor Mhagama amepitishwa na chama chake (ccm) kugombea Ubunge Jimbo la Peramiho Mkoani Ruvuma.
Ni baada ya kifo cha Mama yake mzazi ambaye alikuwa Mbunge wa Jimbo hilo hilo la Peramiho kufariki dunia.
Wakati wa mchakato wa kutia nia kwa wana CCM kuomba kugombea ubunge kwa majimbo mbalimbali ya Tanzania, mwana-CCM Alex Msama Mwita alikuwepo akilitaka Jimbo la Ukonga ambalo lipo jijini Dar es Salaam.
Hata hivyo, Msama aliachwa kwenye majina yalirudi jimboni kwa ajili ya kura za maoni ambapo...
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Dodoma Mjini kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), ambaye pia ni Naibu Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa chama hicho na Mwenyekiti wa CHAUMMA Mkoa wa Dodoma, Aisha Madoga, amerejesha fomu ya kugombea ubunge katika Jimbo hilo leo Agosti 27, 2025.
Madoga na wagombea...
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Namtumbo Dkt. Juma Zuberi HOMERA, Tarehe 26 Agosti, 2025 amesindikizwa na Mamia ya Wafuasi na Wanachama wa CCM kuchukua fomu ya Ubunge, hatua itakayomuweka rasmi katika mbio za kugombea Ubunge katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla akisoma majina ya wagombea walioteuliwa kuwania Ubunge katika majimbo ya Mkoa wa Rukwa katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba.
Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla akisoma majina ya wagombea walioteuliwa kuwania Ubunge katika majimbo ya Mkoa wa Katavi katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba.
Siku Chache Baada ya Kuteuliwa Na Ccm Kugombea Ubunge katika Jimbo la Uyole, Dkt Tulia Ackson Leo amechukua Fomu ya Kuomba kuteuliwa na Tume Huru ya Taifa Ya Uchaguzi katika Jimbo Hilo
Akihutubia Mamia ya wanachama wa Ccm na wananchi wa Jimbo la Uyole Dkt Tulia amewashukuru kwa imani kubwa...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi Patrick Mwalunenge Amechukua rasmi fomu ya Kuomba kuteuliwa na tume huru ya Taifa Ya uchaguzi kugombea ubunge wa jimbo la Mbeya Mjini Kupitia Chama Cha Mapinduzi Ccm
Mwalunenge Amechukua fomu hiyo siku chache baada ya kuteuliwa na Chama chake kukiwakilisha katika...
Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi ( CCM) Taifa imempitisha aliyekua Mkurugenzi wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania (NEC), Dkt. Wilson Mahera Charles kiwa Mgombea ubunge katika Jimbo la Butiama.
Soma pia GE2025 - Aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi kipindi cha...
Katibu wa Siasa na Unezi wa Chama cha ACT Wazalendo Mkoani Njombe ndugu Ally Nathan Mhagama ( Dk Saga Saga) Agosti 10,2025 amekutana wananchi wa Vijiji vya Ugera na Mkongobaki wilayani Ludewa Mkoani Njombe kwa niaba ya wananchi wa wilaya hiyo na kuomba ridha ya kugombea nafasi ya Ubunge...
Miongoni mwa hoja zilizoibua mjadala mkali kutoka kwa Balozi Polepole ni hili swali aliloliuliza: Utitiri wa ndugu wa viongozi kugombea ubunge, Je, inafurahisha umma?
Balozi ameeleza kuwa, pamoja na kuwa kila mtu ana haki ya kugombea, KUTOSHEKA ni msingi mojawapo wa misingi ya uongozi katika...
Kwa wale wajuvi wa Siasa na Historia kiujumla, naomba kufahamu kuhusu Majimbo aliyowahi kugombea Rais Samia, na ilikuwa ni mwaka Gani, pia je aligombea kupitia Chama Gani
Nafahamu Rais Samia Amehudumu kama Waziri katika awamu mbali mbali za Uchaguzi. Pia Naomba kujua pia uzoefu uliojitokeza...
Huyu mama ashakuwa First lady na Sasa ni First Mstaafu wa Rais awamu ya nne
First lady anaambatana na mmewe kukagua gwaride la heshima ndani na nje ya nchi
Anapigiwa mizinga
First lady ameishi Ikulu Kwa miaka 10, tena pale Magogoni akibarizi na upepo wa bahari
First lady Bi Salma alikuwa na...
Ndugu zangu Watanzania,
Tabia njema , uchapakazi, unyenyekevu,ukarimu ,heshima ,upendo ,upole ,huruma na Utu alionao Mheshimiwa Wanu Hafidhi Umefanya jimbo la Makunduchi Zanzibar kuripuka kwa shangwe, nderemo na vifijo baada ya kutangazwa kuteuliwa kwa Jina la Mheshimiwa Wanu Hafidhi Kugombea...
Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma Salum Mwalimu ametangaza rasmi mwisho wa kuchukua na kurejesha fomu za kuwania nafasi za Ubunge, Viti Maaalum na Udiwani kupitia chama hicho ni Agosti 15, 2025 Saa kumi alasiri
Ibra Line, ambaye ni mtia nia kupitia CCM, anajulikana sana kwenye mitandao ya kijamii akitoa mamilioni ya fedha kama michango katika makanisa na misikiti huko Moshi Mjini.
Hii inakuja wakati ambapo amejaza fomu ya kugombea ubunge katika eneo hilo.
Swali langu kwa wanamoshi ni hili:
Je...
Ndugu wananchi na wanachama wa Jimbo la Kigoma Mjini leo tarehe 15/Julai /2025 ambayo ni siku ya mwisho ya kuchukua na kurejesha fomu ndani ya chama chetu nimechukua fomu ya kuomba ridhaa kugombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kwa mujibu wa katiba ya JMT ya 1977 ibara ya 21 na Katiba ya chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.