kufuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Chadema yaanza kufuta nyayo za Bashiru Ally jimbo la Ndanda

    Baada ya Bashiru Ally kufika Ndanda amejionea hali ilivyo ngumu , ambapo alivuna wanachama watatu tu wa Chadema na kuamua kukimbia mwenyewe , huku akiondoka na mapendekezo ya kumpeleka Cecil Mwambe Jimbo la Masasi baada ya kuona ukubwa wa Chuki za wananchi kwa Mwambe , imejulikana kwamba Mwambe...
  2. JamiiForums Tanzania Utaratibu ukoje wa kufuta alama za vidole na kuondoa taarifa nilizotumia kusajili laini?

    Wakuu, Baada ya kuchoshwa na usumbufu wa laini moja ya mtandao (kwa sasa sitaji jina la kampuni husika na laini hiyo), ambayo nimeisajili kwa taratibu rasmi zilizoelekezwa na TCRA; ninafikiria kwenda kuondoa/kufuta taarifa zangu nilizotumia kusajili laini hiyo kwenye kampuni mtandao husika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…