kufungwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kufilisika kwa Sahara Media: Kodi kubwa za TRA zinaua Biashara au ni Usimamizi Mbovu wa kina Diallo?

    Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara imeamuru kufilisiwa na kufungwa rasmi (winding up) kwa Sahara Media Group Limited, kampuni ya Kitanzania inayojishughulisha na vyombo vya habari, huduma za uchapishaji, matangazo, na uhusiano wa umma. Wengi mtakuwa mnaifahamu kupitia Star Tv au Radio Free...
  2. Waufukweni

    Serikali kuufunga Uwanja wa Benjamin Mkapa kupisha ukarabati kuelekea AFCON 2027

    Kwani ukarabati wa Lupaso utaisha lini? Tangu mwaka 2023 Serikali iliposaini mkataba wa Bilioni 30 mpaka leo bado mambo hayaeleweki. Serikali imetangaza kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa utafungwa kwa ajili ya ukarabati wa mwisho kuanzia mwezi huu (Machi, 2026) ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya...
  3. Chizi Maarifa

    Ni kwanini Sehemu nyingi Duniani zilifurahia Morocco kufungwa?

    Nadhani Morocco kuna kitu wajifunze. Jamaa pengine ile kubebwa iliwafanya wachukiwe na watu wengi. Hadi nchi za Kiarabu nyingine zilifurahia tukio hili.
  4. Genius Man

    onyo: Huwenda maandamano ya #D9 yasiwe ya kibubu kutokana na visasi, huku shughuli kufungwa mapema kuliko inavyozaniwa kabla ya #D9

    Niwe muwazi na niongelee uhalisia kuna watu wengi wali uwawa October 29 wengine wakiwa ndani kwahiyo hatuwezi kutegemea maandamano haya ya #D9 yawe ya kibubu bubu na mabango tu. Pia shughuli za nchi zinaweza kusimama kabla ya hiyo tarehe #D9 kufika.
  5. Mhaya

    Taaluma ya Uwakili ndio watu wake wanaongozwa kwa kufungwa gerezani au kutafutwa na polisi

    Mawakili ndio taaluma pekee inayoongoza kuwa na bifu na polisi, na kila kukicha utasikia wakili fulani anatafutwa na Pongo, mara wakili fulani kashitakiwa kwa kosa fulani tofauti na taaluma za kada nyingine. Utasikia wakili madeleka, wakili kibatala, mwanasheria Tundu lissu, mara sijui...
  6. mwanamwana

    Onana kwaheri Manchester United, hakuna tena kufungwa ovyo

  7. Waufukweni

    Mashabiki DRC wang'oa viti Uwanjani baada ya timu ya taifa kufungwa na Senegal

    Mashabiki wa DR Congo wameharibu Uwanja wao kwa kuvunja na kurusha viti baada ya timu ya taifa kushindiliwa mabao 3-2 na Simba wakali toka hifadhi ndogo ya Wanyama ya Teranga Senegal nyumbani kwao. DR Congo walikuwa wakiongoza 2-0 kabla bao hizo mbili kuchomolewa kisha wakafungwa na jingine...
  8. bro alex

    Polepole kufungwa au kunyongwa ikiwa tu...

    Katika hali ya kushangaz dada wa Pius mpweza aliekuwa msaidizi wa polepole ameibuka nakudai kaka yake haonekani. Wamemtafuta bila mafanikio yoyote, akitoa taarifa kutoka kwao kigamboni suzan kadai Pius aliaga anakwenda kazini lakini hakufika nyumbani wakati wa kurudi. Badae ,wafanya kazi wenzake...
  9. Roving Journalist

    Tukio la Mtoto kufungwa na mnyororo darasani, Polisi yawashikilia Mwalimu Mkuu na Mlinzi

    Baada ya kusambaa kwa video ikumuonesha Mwanafunzi amefungwa mnyororo darasani, kama hukuiona ipo hapa ~ Mwalimu Mkuu amfungia mwanafunzi darasani kwa Mnyororo, Jeshi la Polisi limechukua hatua. MWALIMU MKUU, MLINZI WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA UKATILI Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia...
  10. Inside10

    Matawi Ya CRDB Kufungwa Kwa Siku Tatu Nchi Nzima

    Benki ya CRDB imetangaza kufunga huduma katika matawi yake yote kwa siku tatu kuanzia Septemba 5 hadi 7 mwaka huu. Kufungwa kwa matawi hayo kunalenga kutoa nafasi kwa wataalamu kufanya maboresho na kuweka mifumo ya kisasa ili kuongeza ufanisi huduma zinazotolewa. Kwa mujibu wa taarifa...
  11. GENTAMYCINE

    Vipi lile Disco la Msigwa la jana baada ya Taifa Stars kufungwa na kutolewa lilikuwepo?

    Mnijibu nijue.
  12. S

    Kitendo cha Watanzania wengi kufurahia Taifa Stars kufungwa na Morocco kinapasa kifikishe ujumbe muhimu sana kwa Samia na CCM

    Sidhani kama imewahi kutokea duniani wananchi wengi kufurahia timu yao kufungwa na timu ya tafa jingine katika mashindano makubwa kama haya ya CHAN. Ni jambo la kipekee ambalo linaonyesha kuna jambo kubwa sana linatotupata Watanzania, na hatua za haraka sana zinatakiwa kulirekebisha. Namsihi...
  13. ELI COHEN

    Tazama moja ya kati ya magoli bora kuwahi kufungwa na mchezaji bora wa muda wote (G.O.A.T).

    https://youtube.com/shorts/Nn26KMIKlQ8?si=9zurt8sqvi8j87R1
  14. Dalton elijah

    Kamera za Usalama kufungwa daraja la J.P.Magufuli

    Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imepanga kufunga kamera maalum za usalama (CCTV) katika Daraja la J.P. Magufuli linalounganisha Kigongo na Busisi, mkoani Mwanza, ili kuhakikisha daraja hilo linalindwa ipasavyo na kudumu kwa muda mrefu kwa manufaa ya taifa. Hayo...
  15. I

    GE2025 Kufungwa kwa mitandao kuelekea uchaguzi mkuu je hii ndio demokrasia tunayoipigania kama nchi?

    Kwa muda mrefu tumeshuhudia kuzorota kwa ufanisi wa network katiak social media ikiwa lengo la kudhibiti utoaji wa uhuru wa maoni katika majukwaa mbalimbali kama Twitter, ClubHouse, na sasa kwenye YouTube hasa pale watu wanapotaka kujadili hali ya siasa nchini Hali hii sio tu inakiuka katiba...
  16. Yoda

    No Reforms No Election(NRNE) wa Mynanmar kufungwa hadi miaka 10

    Utawala wa kidikteta wa Mynanmar umeptisha sheria kali kwa watakaopinga uchaguzi ww nchi hiyo mwishoni mwa mwaka huku ukiweka sheria mbalimbali za vifungo kuanzia miaka mitatu hadi kumi kwa makosa mbalimbali ya kupinga uchaguzi kuanzia kuhamasisha watu kutoshiriki, kufanya maandamano kupinga...
  17. dronedrake

    Bandari ya Eilat Nchini Israel Kufungwa Mpema Jumapili Hii Kwa Kujiendesha Kwa Hasara Kutokana Na Mashambulizi ya Houthi Huko Bahari Nyekundu

    Baada ya Kujiendesha kwa hasara kwa miaka kadhaa, bandari hiyo iko mbioni kufungwa mapema Jumapili hii ambapo chanzo kimesema shughuli za hapo zimeshuka kwa zaidi ya 90% , huku ikidaiwa kujiendesha kwa hasara kwa deni lisiloisha, kukosekana kwa mapato, kuongezeka kwa gharama za uendeshaji...
  18. Mlalamikaji daily

    Baada ya "nyongeza" E-loan kwenye mfumo wa ESS umezidiwa na kupelekea kufungwa kwa muda

    Ni balaa, Watumishi wanakimbizana huko na mikopo mpaka mfumo umesizi Nina wasi wasi na walimu ndio wamesababisha mfumo kufungwa maana Dah
  19. D

    Mwakilishi wa Mufti hatimae afika kwa Mtume, apongeza watu kukatwa vichwa na kufungwa

    Katika kilele cha maadhimisho ya uzinduzi wa kanisa la mtume mwamposa! Mbele ya Rais mwakilishi mufti amesema anaunga mkono watu kupotezwa, kutekwa na kukatwa vichwa ili amani iendelee kuwepo! Apongeza kazi ya MTUME kuwaalika kushiriki katika hafla hiyo ili kutoa neno hilo aliloagizwa na mufti...
  20. screpa

    Je lipa namba za mitandao zinaenda kufungwa?

    Kwa wale Mawakala wa Mitandao ya simu wanaotumia Lipa Namba bilashaka watakuwa wamekumbana na kashkashi za matishio ya Mitandao ya simu kuhusu . Kwa sasa mawakala kwa asilimia kubwa wamekuwa wakitumia Lipa No kwa ajili ya kutoa pesa kutokana na demand ya wateja kupata unafuu wa Makato kiasi cha...
Back
Top Bottom