Ilikuwa Jumatano siku za nyuma hivi mawiki kadhaa, niliamka masikini nikiwa na furaha TU vizuri, ndo nilipopata wazo la kutoa Uzi kubadilishana mawazo, katika hali isio tegemewa ghafla mambo yalienda tofauti, nilipolomoshewa matusi ya nguoni hadi wazazi wangu walitukanwa kwa makosa wasio yajua...