Kampuni ya airtel sio kampuni ya kisiasa tunajua kilichotokea ni shinikizo na hii haifanyi kampuni imuunge mkono bali amejiongezea kesi madaraka yanaisha haya mtaona airtel ikimfungulia kesi hii baadae.
Washauri wa samia ni akina kingwendu kila kitu ni sifuri wanachochea moto zaidi tunaongozwa...
Kuna kitu kinaitwa catalyst kwa kikemia sawa na mfano wa viuongo vinavyafanya haraka kuchochea kitu kiwe tayari kwa matumizi,mfano vitunguu swahumu na tangawizi kwenye mishikaki.
Sasa kwa utawala uliyopita magufuri ndio chanzo ya yote haya kuanzia utekaji,kubaka uchaguzi,kuua vyama vya...
Genz wamemchangia Mhe. Tundu Lissu 20M mpaka sasa, Genz wanamwaga Moto.
Hawa vijana hawana show za kindezi.. Na ujumbe wanaopeleka una mwangwi mkubwa Sana😂😂😂
Happy new year Tundu lissu the Greatest.. Happy new year Gen Z the unstoppable 💪🏿💗☄⚡
Inamaana jf bado imefungiwa na haijui nani ameendeleza kufungia kwani data zinaonesha ni nani kama sio mamlaka haramu isiyo heshimu haki za watu.
Hali hii sio solution na haivumiliki nchi imevamiwa na matapeli na wapumbavu hii.
Na. M. M. Mwanakijiji
Mstari Umechorwa
Mstari umechorwa ardhini; wauvuke au wasiuvuke, tuvuke tu tusiuvuke. Matukio yote ya kisiasa ya mwaka huu ambayo hitimisho lake lilikuwa ni Oktoba 29 yameacha ladha yenye ukakasi kwenye ndimi za Watanzania. Kuanzia kutiwa nguvuni kwa Tundu Lissu mwanzoni...
Kuna mambo yanaweza kuonekana madogo ila sasa yanaanza kuwafanya wengine kujutia huko walipo na makampuni yao.
Ila jambo la Tanzania sio dogo yani duniani sasa linajulikana kuwa nchi iliyojaa mkono wa chuma na mauwaji.
Mnakumbuka META ilishawahi kufunga account ya Trump na wengine wengi kisha...
Mimi mwenyewe jana sikujua kama nitatoka, ila nilitoka. Hiyo ni baada ya kuzima internet ambayo ilikuwa inanisaidia kufuatilia mambo live online.
Watu wakikosa taarifa ya nini kinachoendelea watafanya kila namna wafike eneo la tukio wakajionee live. Hiyo ndo inafanya watu waunge tela la...
Leo nilienda kupata huduma inayohusisha namba ya NIDA. Cha ajabu huduma sijapata kwakua namba yangu ya NIDA imefungiwa. Nilipotaka kujua sababu, nimeambiwa kuna zoezi lilifanyika la kufunga namba zote ambazo wamiliki hawajafuata vitambulisho vyao.
Swali fikirishi. Ni wangapi wamehama mikoa...
Tunajua Karia na TFF yake wana kidonda kizoto moyoni baada ya msimu uliopita Yanga kuwa bingwa na kampeni yake ya kugomea derby iliyohairishwa kihuni, hili linamkera sana Karia na TFF yake
Kumbuka Yanga ndo timu pekee ambayo haikumuunga mkono Karia kwenye uchaguzi wa utapeli wa TFF, ambapo...
Bilionea wa Tanzania, Rostam Aziz amepiga kizuizi cha kisheria nchini Kenya, ambapo mahakama imekataa kuondoa amri ya kufungia kiwanda chake cha gesi ya petroli iliyoyeyushwa yenye thamani ya Sh16 bilioni (dola milioni 103).
Uamuzi huo uliotolewa Jumanne, unaacha mradi wa Aziz wa Taifa Gas...
Suppression of free opinion (media, control, including restriction of social media)...
Ni uonevu wa hali ya juu kwa wananchi ambao ni haki yetu kupata habari lakini mamlaka kwa makusudi na kwa maslahi yao binafsi kufungia na kutoheshimu wananchi wake.
Mnapofungia vyombo vya habari na majukwaa...
Narudia tena hakuna hatari kubwa kiusalama Kama watu kuzibwa midomo.
Hakuna hatari kubwa Sana kwenye usalama wa Taifa Kama watu kukosa platform na kuanza kuwasiliana kwa code.
Mlianza na Twitter, mkaja kupunguza uwezo wa kufanya kazi kwa Facebook na Instagram na tiktok.
Sasa mnaifungia jamii...
Katika mambo ambayo Magufuli alikuwa hayapendi ni uhuru wa vyombo vya habari mara zote alivichukia
Alishawahi kutamka kwamba ingependeza malaika waje wafunge mitandao Tanzania na aliongea waziwazi usiniambie ni mtandao kwa sababu alitamka kwa kinywa chake
Mwaka 2018 aliifungia jamiiforums kwa...
Ni kwamba sasa washatuzarau kuonesha wanakula keki ya taifa na watala wa CCM mpaka kufikia steji ya kututukana.
Hivi kwa nini wananchi na mashabiki kuweka ajenda kuunfollow na kutosupport kazi zake.
Wakuu kuna jambo ambalo nimelitafakari bila kupata majibu toka serikali ilipofungia mtandao wa X almaarufu Twitter.
Nimeshindwa kuelewa hii serikali inaendeshwa na wendawazimu ama vichaa kwakuwa kwa yanayoendelea ni udhihirisho tosha kuwa ni watu wasio na weledi, reasoning na hata common sense...
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. Innocent Bashungwa ameeleza kupokea barua iliyoandikwa na kampuni ya uwakili ya Tan Africa Law, ikimuwakilisha mteja wake ambaye ni Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church, wakipinga kufutwa kwa usajili wa kanisa hilo.
"Baada ya kupitia barua hiyo...
Kuna watu wanatumwa waje wasababishe hawa ghasia au sami fujo katika mikutano yenu. Mkijidai kulala nao sambamba police wataingilia na kuwatandika kisawa sawa.
Kisha next time mtanyimwa vibali vya kufanyia mikutano. Nawapa hili angalizo maana ni habari za ndani kabisa kutoka kwa mmoja ya...
Barua kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani, Ofisi ya Msajili wa Jumuiya inasomeka kama ifuatavyo:-
KUFUNGWA KWA SHUGHULI ZA KANISA LA GLORY OF CHRIST CHURCH - KANISA LA UFUFUO NA UZIMA
Chini ya Kifungu cha 17(b) na kifungu cha 2 cha Sheria ya Jumuiya Sura ya 337 kama kilivyorekebishwa na kifungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.