kufunga ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Boss hataki nifunge ndoa

    Msaada kwa mdau rafiki yetu Nimejikuta njia panda baada ya meneja wa kampuni yetu (Mwanamke) kuniwekea mazingira magumu kwenye swala langu la kuoa. Hivi karibuni niliitisha michango ofisini kwetu kwa ajili ya ndoa ambayo nakaribia kuifunga soon, wafanyakazi wote walifurahi na kuahidi kutoa...
  2. Nimefanikiwa kufunga ndoa nichangieni wana jf

    Amani ya bwana iwafikie popote ulipo, tumekuwa pamoja hapa jf toka 2016 mpaka Leo, ndugu yenu nimefanikiwa kupata jiko jipya sasa tuinuaneni kwa kunichangia kijiko, sahani, bakuli, sufuria ili tuanze maisha salama na shemeji yenu anawasalamia sana.... shem wenu anawaomba mu mnunuliwe iPhone 13...
  3. Je ni sahihi kufanya mapenzi na mwenza kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa?

    Katika mahusiano kumekuwa na tabia ya kufanya mapenzi kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa na hii inahusisha jinsia zote mbili. Mwanaume wakati mwingine anajaribu kujiridhisha kama mwanamke anaendana na vigezo vyake hali kadhalika kwa wanawake pia. Vijana wengi wamekuwa wakitumia...
  4. Vigezo vya kuzingatia kabla ya kufunga ndoa

    Mambo ambayo ni ya msingi ili kufanya muunganiko wa mwanaume na mwanamke uweze kutambuliwa kama Ndoa ni pamoja na haya yafuatayo: a) Hiari : lazima muunganiko utokane na chaguo binafsi la wahusika; bila Udanganyifu, laghai au kurubuniwa kwa aina yoyote b) Kusudio la kudumu: muunganiko wa...
  5. Wikileaks: Julian Assange aruhusiwa kufunga ndoa jela

    Julian Assange amepatiwa ruhusa kumuoa mpenzi wake Stella Moris katika jela ya Belmarsh, BBC imeambiwa. Mwanzilishi huyo wa mtandao wa Wikileaks na bi Moris wana watoto wawili wa kiume , ambao alisema walipatikana wakati alipokuwa akiishi katika ubalozi wa Ecuador mjini London . Huduma ya jela...
  6. Bariki ndoa na si kufunga ndoa

    Ndoa ni nadhiri au maagano mnaojiapiza mbele ya Mungu yaani kwamba mume na mke mtavumiliana kwenye raha na shida. Katika karne hizi vijana mnafunga ndoa kama sanaa za maonesho tu baada ya hapo ni usimbe na umalaya kwenda mbele. Huwezi ukamfahamu mtu tabia yake vizuri ndani ya miezi, mwaka au...
  7. Njooni tumpongeze Mohammed Hussein Zimbwe 'Tshabalala' kwa kufunga ndoa

    Nahodha msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein "Tshabalala" jana siku ya Ijumaa amefunga ndoa. Hongera sana kepteni, niwatakie kila la heri kwenye ndoa yenu!
  8. Ni muhimu kufunga ndoa na mtu ambaye wazazi wa pande zote wameridhia

    Wakuu, Kuna kisa kimoja kimetokea mwanandoa mmoja(mwanamke) amejinyonga na kumuacha mtoto wa miezi 6. Amejinyonga kutokana na mateso aliyokuwa anayapata kutoka kwa mumewe kupigwa na kusalitiwa lakini sababu kubwa iliyomshindikiza kujinyonga ni kukosa pakwenda, wazazi wake mwanamke hawamtaki...
  9. C

    Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

    Nimeamua kuoa binti wa kipare kutokea Kijiji Cha Masandare ( Same) hivi Leo tunaelekea huko kulipa mahari Kama sehemu ya mchakato. Maombi yenu, nimekamatika kwa binti huyu Veronica mtoto wa kipare. Japo mnene mauno Kama yote naenjoy kiukweli. UPDATE: Nilituma 2m Tsh kuandaa sherehe ndogo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…