kufumaniwa

  1. Just Pray

    Auawa baada ya kufumaniwa na mke wa mpangaji mwenzake

    Wakuu tukio hili limenikumbusha kuepuka tamaa kwa nguvu zote hasa kwenye hizi nyumba za kupanga na maneo mengine, tusije tukafikiwa matukio ya kikatili kama haya ===== Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linamshikilia kijana James Nyakoro Kirauka (20), mkulima na mkazi wa mtaa wa Medical Research...
  2. kadiri kasimba

    Umeshawahi kufumaniwa Kwa sms,calls za mchepuko wako, na mwennza wako? Je ulimaliza vipi huo msala?

    Habari za majukumu wakuu? Husika na kichwa Cha habari hapo juu, umeshawahi kukutwa na sms, au calls za mchepuko wako uwe unachati au alichat, uwe uliongea nae au umekutwa live ukiongea nae kwenye simu na mwenza wako? Iwe wa ndoa au unaeishi nae? Je ilikuwaje? Je ulisolve...
  3. kwisha

    Amuua mzazi wake baada ya kufumaniwa

    Hii hapa taarifa iliyowekwa kwa mtindo wa taarifa kwa vyombo vya Ontario, Canada – Katika tukio la kusikitisha na la kushtua, mzazi mmoja wa kike amefariki dunia ghafla baada ya kupokea taarifa kwamba binti yake, aliyekuwa tayari kuchumbiwa rasmi, amefumaniwa akiwa na mpenzi wake wa zamani...
  4. Setfree

    Mchungaji apata kipigo, anusurika kuuawa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu

    Mji wote ulizizima! Mchungaji mashuhuri, anayeheshimika kwa mahubiri yake makali ya utakatifu, alijikuta kwenye kashfa nzito baada ya kufumaniwa na mke wa mtu. Tukio hilo la kushtua lilitokea katika mji mmoja huko Mashariki ya Kati, na chanzo chetu cha kuaminika kimedokeza kuwa Mchungaji huyo...
  5. Tawire

    Umeshawahi kufumaniwa?

    Habari za weekend wakuu? Napenda kujua,je umeshawahi kufumaniwa?Ilikuchukua muda gani kwa tukio lile kufitika kichwani mwako? Binafsi ilinitokea siku za karibuni,sielewi ni nani alimtonya wife,Akaja direct mpaka kwenye guest tuliyokuwa tunanyanduana,cha ajabu zaidi mpaka kwenye dirisha la...
  6. Waufukweni

    Wagombea mmeambiwa mjishikilie baada ya mmoja kufumaniwa ugoni akiwa kwenye harakati za kampeni

    Wagombea wametahadharishwa kuzingatia maadili na kujiepusha na vitendo vinavyoweza kuharibu taswira yenu kama viongozi, baada ya mmoja wao kudaiwa kufumaniwa ugoni akiwa katika harakati za kampeni.
  7. gonamwitu

    Je, umeshawahi kufumania au kufumaniwa? Ilikuwaje? Msala uliusovu vipi?

    Kwema humu? Leo naomba tushee experience kuhusu huu mchongo mzima wa kubananishwa kwenye kanyampasila a.k.a kufumania au kufumaniwa. Ilikuwaje? Ngoma iliishaje?
  8. Roca fella

    Ulishawahi kufumaniwa au kufumania tupe mkasa wako

    As salaam alaikhum ndugu Wana familia wa JamiForums Katika maisha Kuna visa vingi hutokea na kila mwanadamu huwa ana kisa au stori ambayo katika maisha yake au mazingira anayo ishi humtokea Siku hizi tumeona ukatili kisa fumanizi la mke wa mtu au mume wagoni wamekuwa wakifanyiwa ukatili...
  9. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Je uliwahi kufumaniwa na mke wako hata meseji(za mapenzi) kwenye simu Yako?

    Wakuu salama. Hii special Kwa wanaume wasiokubali kutikiswa Wala kujambiwa na wife hata kama anampenda na amemkosea Kauli mbiu ni:MWANAUME HALISI HAKUBALI KOSA. Ilinitokea siku Moja nilikuwa naacha simu nyumbani naenda kazini (maana sikuwa na ruhusa ya kuingia na simu kazini kipindi hicho)...
  10. BabaMorgan

    Ushawahi kufumaniwa basi tupe uzoefu wako.

    Ilikuwaje na ulisolve vipi hata kama ulipakwa mafuta funguka ili vijana wajifunze kuwa mke wa mtu ni mtamu ila mpaka pale utakopofumaniwa ndio utajua hujui.
  11. T-Bagwell

    Tuweke hisia pembeni tuongee uhalisia juu ya maswala ya kufumania au kufunaniwa

    Habarini za muda huu wadau!! Kumekua na video kadhaa ziki postiwa mitandaoni zikionyesha baadhi ya watu (waume/wake) za watu wakiwa wamefumaniwa. Je, ni kipi sahihi kifanyike endapo utamfumania mwenza wako? Je, utajishughulisha na mwenzi wako au utajishughulisha na mgoni wako?
  12. JOHNGERVAS

    Nini kilikufanya usifikie ndoto yako ya Upadrisho?

    Wakuu zamani vijana wengi wa kikatoliki moja kati ya ndoto zetu ilikuwa ni kuwa Mapadre. Mimi binafsi nilijichanganya sana Huko Rombo, parokia ya Mkuu wakati huo nilikuwa napenda sana Shirika la mtakataifu Aloyce, kutumikia altareni huku ndoto zetu ikiwa ni baadae kwenda seminari hadi Upadrisho...
  13. Jumanne Mwita

    Baada ya kufumaniwa naye akanipenda mpaka leo hajali kama nina mke mwingine!

    Leo nataka niwape stori ya kweli najua kila mmoja wetu anamambo yake kutokea huko nyuma katika maisha yake watayatoa kwa wakati wao ila mimi nimona muda huu unanifaa kushare haka kastori kafupi tu. Bhana ngoja nitoe stori yangu moja hivi. Mwaka 2018 nilikuwa Bukoba najishughulisha katika...
  14. M

    Ajiua baada ya kufumaniwa akichepuka

    MKAZI wa Kijiji cha Gininga wilayani Busega mkoani Simiyu, Luli Shibone (29) amefariki dunia baada ya kunywa sumu ya kuulia wadudu waharibifu wa mazao iitwayo Celphos, baada ya mume wake kupekua simu wakati akiwa amelala usiku na kubaini mawasiliano kati yake na mwanaume mwingine. Kamanda wa...
  15. B

    SINGIDA: Auawa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu shambani

    MKAZI wa Kijiji Cha Merya Tarafa ya Ilongero wilayani Singida, Innocent Dube (49), ameuawa kwa kuchomwa kisu mgongoni baada ya kukutwa akifanya ngono na mke wa mtu shambani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Stella Mutabihirwa, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo wakati akizungumza na...
  16. KJ07

    Achapwa viboko hadharani na kupigwa faini laki mbili baada ya kufumaniwa akiwa na mke wa mpangaji wake

    Mwanaume mmoja aitwae Katayo Bote Mkazi wa Kijiji cha Kibwera Wilayani Geita Mkoani Geita, amechapwa viboko hadharani pamoja na kulipishwa faini ya shilingi laki mbili baada ya kufumaniwa na Mke wa Mtu wakiwa chumbani katika Kijiji hicho. Emmanuel Ndalawa ambaye ni Mume wa Mke aliyefumaniwa...
  17. Sildenafil Citrate

    Mwanamme ajiua baada ya kufumaniwa akitongoza binti wa kidato cha kwanza

    John Mhagama (42) mkazi wa mtaa wa kanisa B, wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe amejiua kwa kunywa sumu baada ya kufumaniwa na mke wake akiwa kwenye mazungumzo ya kimapenzi na binti wa kidato cha kwanza anayeishi nyumba jirani na yao. Imeelezwa kuwa marehemu alikuwa na tabia ya kwenda kununua mkaa...
  18. S

    Eti kufumaniwa ni hatari?

    Nauliza tu na kama yamekukuta iwe mke au mume tuwekee mbinu ulisalimika vipi ?
  19. P

    Nilikuwa natembea na mke wa mtu, nilinusurika kufumaniwa nikaamua kumuacha na kutubu ila nafsi yangu haina amani

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nilikuwa nafanya hicho kitendo kuanzia mwaka juzi na mwaka jana, katika mazingira fulanifulani almanusra nifumaniwe na kufedheheka, Namshukuru Mungu alininusuru, ningepata fedheha ya milenia kwasababu mwenye nzigo ni mtu wangu wa karibu sana ni zaidi ya...
  20. GENTAMYCINE

    Kwangu Mimi Mwanamke huyu 'aliyejiua' baada ya 'Kufumaniwa' Mubashara na Mumewe ndiyo Shujaa wangu wa Kufungia Mwaka 2021

    Marehemu Anna Shirima popote ulipo sasa hapo Kaburini ulikozikwa Mkoani Kilimanjaro GENTAMYCINE nakutunuku Tuzo ya Ushujaa Uliotukuka kwa Kitendo chako kizuri na cha Kimedani pia cha Kujiua baada tu Kufumaniwa na Mumeo ukiwa 'Unakazwa' na Hawara yako. Wala hukutaka Mambo mengi au kupotezeana...
Back
Top Bottom