kufukuza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha vifaru Urusi chafunga shughuli na kufukuza wafanya kazi, hali mbaya

    Ndio kiwanda pekee kilichokua kimesalia cha kutengneza vifaru, jameni aliyemuingiza Putin kwenye huu mkenge haitokuja asamehewe. The only tank manufacturer in the Russian Federation – UralVagonZavod has partially suspended production, employees have been sent on unpaid leave and financial...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kabila lako bado mnaendelea kufanya matambiko ama mmeikacha asili yenu? Tambiko lenu hufanyikaje liwe la upatanishi, kufukuza mikosi, msamaha, n.k

    kabila hutambuliwa kwa Lugha, Mila, Miko, Majina na matambiko , hapa tutagusia matambiko .... Hakuna mtanzania asiye na tambiko, kila kabila alilotoka lina tambiko lake . yapo makabila ambayo.97% ya kabila hilo ni wakatoliki lakini matambiko ya kiukoo yanaendelea na wazee wamila...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Chadema si wamoja tena? Ile live kutoka Ubelgiji haijaonekana, kuna error mahali

    Hakuna matamko tena kutoka kwa makamu Mwenyekiti Chadema Tundu Lissu Hakuna kikao alichoshiriki tena kama ilivyokuwa awali kipindi cha uchaguzi n.k Hakuna andiko lolote tena linaloihusu Chadema kutoka kwa M/kiti msaidizi, ni kiimyaaa!; kulikoni? Chadema mko salama huko? Inakuwaje wadau...
  4. Magazetini

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea ripoti ya CAG, deni bado ni himilivu. Mafao yazidi mapato ya mifuko ya hifadhi

    Kuwa nami, CAG anasoma mambo muhimu kwenye ripoti yake ambayo anaiwasilisha kwa Rais Samia. Inaanza kwa hali isiyo njema kwa vyama vya siasa. Endelea... ========= CAG: Upande wa vyama vya siasa, ADC hati mbaya, Chauma hati mbaya, TLP hati mbaya, UMD hati mbaya, CUF hati yenye shaka, UDP...
  5. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Matokeo mabaya yasababisha Dodoma Jiji kumfukuza kazi Kocha Mbwana Makata

    Klabu ya Dodoma Jiji ya jijini Dodoma imeachana na kocha wake mkuu, Mbwana Makata kuanzia leo Jumatano Februari 23, 2022. Taarifa iliyotolewa na klabu hiyo imeeleza kuwa hatua hiyo imefikiwa baada ya mwendelezo mbaya wa matokeo ya timu hiyo katika mashindano mbalimbali ya msimu huu wa 2021/22.
  6. Konseli Mkuu Andrew

    JamiiForums Tanzania Serikali inawachukulia hatua gani waajiri wanaoipatishia hasara serikali kwa kufukuza kazi watumishi kihuni?

    Kumezuka tabia ya watumishi wa umma kufukuzwa kazi kihuni na waajiri wao na kutokana na kutofuraishwa na kufukuzwa kwao , watumishi hao huwa wanaenda kufungua malalamiko huko CMA Commission for Mediation and Arbitration na mwishowe huwa maamuzi hufikiwa idara hiyo ya serikali hutakiwa kumlipa...
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wimbo Huu unasafisha Na kupandisha nyota haraka Sana . Unatoa Na kufukuza mapepo yote. Unavunja Kila maagano mabaya Na kuharibu Kila madhabahu ovu

    HII Ni kwa waamini tu. Kuna watu ( wakristo kwa waislamu) huwa wanafikiria kwamba ili kuondokana Na Shari Za Ibilisi Ni lazima wapige Dua nzito, visomo vizito vizito, maombi mazito nakadhalika. Ni Kweli WaPo sahihi Dua,visomo, maombi vinasaidia Sana katika kupambana Na Shari Za Ibilisi but...
  8. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Serikali iangalie kuhusu kufukuza wamachinga walemavu

    Kama Mama Samia ameamua kuondoa watafutaji wa mitaani yani wamachinga. Ni sawa. Ila nafikiri angewatzama kwa jicho la huruma wamachinga wenye ulemavu ambao hawawezi kubeba mizigo wala kulima. Kuwaondoa watu wa namna hii ni ukatili mkubwa sana. Naiomba serikali ya Mama Samia iwawekee utaratibu...
  9. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mkuu wa Mkoa vs Waziri : Ipi tofauti kati ya "Makambi ya RC Mtaka" na RC Geita kufukuza wanafunzi 11 na kuhamisha Walimu .

    Mods uzi una maudhui tofauti na nyuzi zilizopita japo nimezitumia kama Mfano. Nimeweka Link ya Mijadala hiyo Miwili ili kuweka kumbukumbu sawa. Kuna mada imetrend sana kwenye jamvi letu kuhusu Kauli ya RC wa Dodoma Mh Mtaka akipinga maagizo ya Waziri wa elimu Prof Ndalichako ya kutaka kuondolewa...
  10. LUS0MYA

    JamiiForums Tanzania Serikali ina taarifa kuwa Mabenki yanapunguza na kufukuza wafanyakazi?

    Waziri anayehusika na kazi anayo habari kuwa mamia ya wafanyakazi katika mabenki mbali mbali hapa nchini wamepoteza ajira kwa kufukuzwa? Walianza Access, Finca na sasa Stanchart na mengine binafsi isipokuwa yanayomilikiwa na serikali. Kibaya zaidi wafanyakazi wanalipwa mafao duni na wengine...
Back
Top Bottom