Iko siku hao tunaowaita machinga watakuja kulikataa hilo jina Na kudai wapewe jina lingine Na wanasiasa. Sasa hivi neno wamachinga linatumika fuko kuukuu kubwa la kuwafichia vijana wasiokuwa Na ajira, wasiokuwa Na pembejeo za kilimo, wasiokuwa na zana za kuvulia wala maeneo ya kuchungia Mifugo...