kufikiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Hii dhana ya kuifungua nchi ni kujidhalilisha: Kwani nchi ilikuwa imefungwa? kuna vitu watu wanasema bila kufikiri!

    Kuna hii dhana ya kumsifia kiongozi fulani eti anaifungua nchi, kitu ambacho hata mwenyewe bila hata yeye mwenyewe anashangaa!!nchi ilifungwaje? nani aliifunga? maana serikali haijabadilika! Ilani ya uchaguzi inayotekelezwa haijabadilika!! Tatizo ni watu kujaribu kujikomba bila aibu...
  2. MamaSamia2025

    Malema na Waafrika wengine wanaoonyesha chuki zao kwa mwendazake Malkia Elizabeth ni wavivu wa kufikiri

    Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Ninaandika nikionyeshwa kusikitishwa sana na matamko yanayotolewa na watu mbalimbali hasa wanasiasa maarufu wa kiafrika kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth wa Uingereza. Julius Malema wa SA pamoja na watu wengine wameonyesha chuki zao kwa hoja za mambo...
  3. Lanlady

    Si rahisi watu kufanana namna ya kufikiri na kutoa maoni! 'Critics' lazima ziwepo ili kufikia maendeleo endelevu!

    Kwamba kwenye nchi hii haitakiwi kuwa na maoni tofauti? Kwamba kila mwenye maoni tofauti ni mpinzani wa maendeleo? Basi watafukuzwa wengi!
  4. GENTAMYCINE

    Baada ya Rais Hersi na Mhamasishaji Manara kuwa na 'Hatiani' huu ndiyo Uwezo wa mwisho wa Kufikiri wa Mashabiki na Wanachama Wao

    "Tunaomba sababu ni kwanini katika Tamasha letu la Citizens Beauty Beauty Day hakuna hata Kiongozi Mmoja wa TFF aliyekuja. TFF inatunyanyasa mno na ina Chuki na Sisi" wamesema Wasio na Akili FC. Yaani Viongozi wa TFF waache kuwa busy na Ugeni wa CAF na Mkutano Mkuu utakaofanyika Arusha waje...
  5. Lexus SUV

    Kulingana na itifaki ya sensa nawaza Je hili linasemaje maana kukaa bila ajira kwa kijana ni kulemaza uwezo wa kufikiri....

    Nipo mkoa wa kilimanjaro , kata niliyoombea nafasi ya ukarani wa sensa , yaani people zilikuwa ni 400+ plus sasa kwa idadi hiyo inanifikirisha kuwa nafasi ya kuchaguliwa ni finyu, mie na conclusion yangu hapa kuanzia jumatatu ntazunguka wilaya hizi za HAI na ROMBO , ili nika jaribu kuulizia...
  6. Inkotanyi 94

    Bar/pub na mziki mkubwa: Wenye bar tambua kuajiri mameneja na ma dj maskini wa kufikiri inawaharibia biashara

    Heshma kwa wadau rika zote. Nadhan tumeshakubaliana kuwa hasa tuishio mjini imeshakuwa tabia mbaya kurudi nyumban mapema sana baada ya mihangaiko. Isitoshe mipango hufanyika bar sio kufuatana majumban! Na hivi wenye wake wanakwepa visiran vya wenza ili zisitolewe saba mkupuo. Unakuta mke...
  7. Equation x

    Umasikini ni tabia inayotakana na uwezo wako wa kufikiri

    Kama uwezo wako unafikiri kidogo, ata katika kutatua changamoto zako zinazokuzunguka utazitatua kidogo; na hatimaye utakuwa masikini. Kama wewe ni muajiriwa, na umerizika kuwa na chanzo kimoja cha mapato; yaani mshahara, mfano wa laki 5; na unautumia mshahara huo wote na kuishia kwenye matumizi...
  8. M

    Ufafanuzi kwa wale Wavivu wa Kufikiri ( wana Yanga SC ) kwanini jana hawakuona Refa akienda kuangalia Screen ya VAR ili Kuamua Matukio

    Tukiwa tunasema kuwa wana Yanga SC mna matatizo ya Kufikiri msiwe mnakataa au mnatuona kuwa tunawadhihaki bali muwe mnakubali na mjitathmini mbadilike upesi. Nimepitia Kurasa nyingi sana za Mitandao ya Klabu Mbovu na yenye Nuksi duniani ya Yanga SC na hata Kusoma baadhi ya Comments za wana...
  9. sky soldier

    Wasanii wamjia juu Fid Q kwa kufanikisha Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki wote Tanzania

    Shirikisho la Muziki Nchini Tanzania ambalo Fid Q Ni katibu Mkuu, lilimtangaza Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki Wote nchini. Wasanii wamaupinga huu uteuzi na kudai wanataka Kusemewa na Mtu anaejua Changamoto zao na sio Steve ambae ni Mwanasiasa na Muigizaji. Wasanii Wameonekana kutokua...
  10. lee Vladimir cleef

    Najaribu kufikiri jinsi magaidi wanne wa Mbowe wangewezaje kukata Miti Dar - Iringa

    Kwa sababu ni makomandoo huenda wangeweza. Nakuuliza hivi, Wangetumia mapanga ya kawaida au mapanga maalumu? Au wangetumia mashine za kukatia miti? Je, Mabwana misitu wangewaacha tu? Au wangekuwa wanakata huku wamevalia mavazi ya mabakamabaka kw a hiyo mabwanaisitu wangewaogopa? Je, Wangekua...
  11. Kipenzi Changu

    Tanzania haiwezi kuendelea, watu wake ni wavivu wa mwili na kufikiri

    Nitatumia lugha kali lakini ndio ukweli mchungu. Tanzania haiwezi kuendelea zaidi ya hapa pamoja na kuwa na rasilimali za maana. Nimefikiria kwa haraka haraka kwa kuitazama Tz katika miaka 40 ya uhuru,ikaja miaka 50 ya uhuru na sasa miaka 60 ya uhuru. Hakuna hatua kubwa ya maana tuliyopiga...
  12. kagoshima

    Si sahihi kufikiri eti komandoo akiwa mtaani ni kama raia wa kawaida

    Wastaafu wa jeshi hasa makomandoo wanapumzishwa tu kwa muujibu wa sheria lakini bado ni reserve army. Inchi ikiingia vitani wanaitwa wote na ukumbuke wanastaafu bado vijana, wenye nguvu na ujuzi wa kutosha. Kwahiyo siye raia tunaposikitika kwanini makomandoo wapiganaji wa nchi yetu tena wengine...
  13. P

    Uwezo wa watu kufikiri na kutenda; Je, huwa unaendana na nchi aliyopo?

    Je, Uwezo wa mtu kufikiri na kutenda, unaendana na nchi aliyopo? Kuna mambo ukiyatafakari saana, unaweza kuona kwamba, uhusiano kati ya mtu uwezo wake wa kufikiri na kutenda kunatokana na nchi aliyopo,kuna nchi zina watu wasomi, ambapo mambo yao huendeshwa kitaalamu na kiuweledi wa kutosha...
  14. Mr Chromium

    Kwanini waafrika na watu weusi wana uwezo mdogo sana wa kufikiri na kustaarabika?

    Sorry kwa watakao feel offended Africa kuna nchi 54. Nje ya Africa nchi ambazo zina jamii ya watu weusi Ni za visiwa vya Careebian kama Jamaika , Haiti Buhamas. Lakini zooteee hizo hamna hata nchi ambayo ni developed nation hata moja!! Matatizo ya Tanzania , Zimbabwe Congo Namibia sijui...
  15. BabaMorgan

    Kumchukia mtu kutokana na mafanikio yake ni kufilisika kwa uwezo wa kufikiri

    Kufanikiwa kumekuwa moja wapo ya sababu ya kufanya maadui waongezeke kwani kadri neema zinavyoongezeka ndivyo hivyo hivyo maadui wanaongezeka. Swali kubwa ni kuwa Kuna mantiki yoyote kumchukia mtu aliyefanikiwa? Iko wazi chuki ni miongoni mwa vitu vinavyosababisha msongo wa mawazo. Kumchukia...
Back
Top Bottom