kufeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    Kweli CHADEMA wamechanganyikiwa baada ya kufeli mipango yao miovu

    Mtu atajilikana kuwa ni kichaa kwa mavazi, muonekano wa sura yake au kauli zake. Ila 90% uendawazimu wa mtu hupimwa kwa maneno yake. Huku 10% tu ndio tutampima mtu kwa mavazi, nywele na muonekano. Kauli mbili za Heche ndani ya hotuba moja zinathibitisha kuwa John Heche vice chairman wa CHADEMA...
  2. Think2

    Ni mwanamke anayemfanya mwanaume afanikiwe vilevile kufeli

    we men mwanamke unamchango mkubwa sana kwenye kufanikiwa au kufeli kwako, hapa nazungumzia wanaume sio wavulana anyway kama hujaoa wewe ni mvulana sio mwanamume Iko ivi, kuna baadhi ya wanawake ukiwa nao kwenye ndoa mambo yako yatanyooka sana riziki utapata sana na hawa wanawake wa namna hio ni...
  3. zaza1

    Sababu za kufeli kwa TTCL na nini ifanyike kulinusuru

    TTCL ni moja ya taasisi muhimu sana katika historia ya mawasiliano Tanzania. Ilikuwa uti wa mgongo wa mawasiliano ya taifa kwa miaka mingi. Hata hivyo, leo hii TTCL inaonekana kufeli au kuendelea kufanya underperform licha ya kuwa na rasilimali, miundombinu na nafasi ya kipekee kama shirika la...
  4. Kazanazo

    Baada ya NRNE chini ya Lissu na maridhiano chini Mbowe kufeli huu ndio ushauri wangu kwa Chadema

    Ni ukweli usiopingika kuwa hizo mbinu zote mbili zilizotumika katika vipindi tofauti katika uongozi wa mwenyekiti Mbowe na Lissu zote zimeangukia pua baada ya kushindwa na mbinu za ccm za miaka yote. Hadi sasa madai yote ya chadema hakuna hata moja lililotekelezwa hasa Yale yanayohusu uchaguzi...
  5. stakehigh

    Kwenye maisha una nafasi kubwa sana ya kufeli kuliko kufanikiwa

    Katika harakati za kutafuta maisha, wengi hua na ndoto za kutoka wakilinganisha mafanikio aliopata mtu flan(Mentor), however sio kitu kibaya kua na mentor ila ukwel ni mafanikio hua ni njia binafasi Kwa mfano unaweza tamani kuamfanya biashara maarufu, katika dira zako ukaona mtu kama vunja bei...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    GE2025 Kwanini maandamano ya 29 October yatafeli vibaya sana

    MAANDAMANAO YA 29OCT YATAFELI VIBAYA MAPEMA SANA KUTOKANA NA SABABU KUU ZIFUATAZO; Anaandika, Robert Ng'apos Heriel Mtibeli 1️⃣ Ukosefu wa Miundombinu ya Kiufanisi. Maandamano makubwa yenye lengo la mabadiliko ya utawala yanahitaji: a) Kamati za mipango (planning committees) Hizi kamati...
  7. Equation x

    Kufeli kwa mwanafunzi kunasababishwa na kufundishwa na mwalimu au mkufunzi asiye na uwezo wa kuwasilisha mada na kueleweka

    Kwa sababu, kufeli kwa mwanafunzi kunasababishwa na mwalimu kutokueleweka darasani. Iwe ni shule za msingi, sekondari, vyuo vya kati, vyuo vikuu n.k Mwalimu au mkufunzi aliyebobea vizuri kwenye taaluma yake, atakuwa na uwezo pia katika kuwasilisha hiyo taaluma kwa wanafunzi wake anao...
  8. Lamborgini

    Dodoma ina nafasi kubwa kuwa jiji la kisasa baada ya Dar kufeli

    Kwa Nini Dar es Salaam Inaonekana Kama “Imeshafeli” kuwa jiji la kisasa(world class city) dar inaachwa mbali kiubora,mpangilio na miji kama windhoek(namibia) na gaborone(botswana) sababu ya mipango mibovu na kutokuwa na udhibiti wa ujenzi. 1. Miji Imejaa Kupita Kiasi Mamilioni ya watu (zaidi...
  9. K

    Issue ya kufeli kwa Aziz Ki ni aibu kwa Soka Letu.! Jadili

    Kwamba huyu Bwana ndo star wetu..! Kwamba tukiwa tunajisifia eti Sisi ndo sisi huwaga tunamtaja na yeye ... Kwamba alivyokuwa kwetu Panga pangua humuachi kikosi cha Kwanza...! Sasa Unaambiwa Kafeli Wydad..! Ndio kafeli , hivyo yupo safarini kurejea. Lipo la kujadili hapa...
  10. Alloyce PR

    Mwanasiasa ukifeli siasa kaa kwa utulivu

    Utangulizi Katika historia ya siasa, kuna dhana hatarishi inayojitokeza mara kwa mara miongoni mwa baadhi ya wanasiasa, dhana ya kutafuta huruma ya wananchi kama njia ya kuficha udhaifu wao wa kisiasa. Wanasiasa hawa, baada ya kushindwa ama kwa kukataliwa kwenye sanduku la kura, au kwa kuonekana...
  11. Prof_Adventure_guide

    Wanangu! Usioe PISI KALI – Utakufa Maskini na Moyo Kufeli!

    Oya wanangu, sikilizeni hii gospel straight kutoka street za roho zilizochoka. Bro, usioe pisi kali bana! Yaani narudia loud and clear – DON’T WIFE A BADDIE! Hao ni wa ku-pass around tu kama blunt ya ghetto, si wa kuweka ndani kama wife material. Hii ni warning ya mtaa – pisi kali ni zile demu...
  12. Brayan_Jk

    🐔 Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku? Hizi Ndio Sababu Kwanini Wafugaji Wengi Hupoteza Fedha Kabla mapema sana ! Soma hizi Sababu 4 kuepuka kufeli !

    🐣 Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku? Hizi Ndiyo Sababu Kuu Kwa Nini 70% ya Wafugaji Huacha Kabla ya Miezi 6! 😩👇 1️⃣ Bajeti 💸 – Wengi Huanza Bila Mpango wa Fedha Watu wengi huingia kwenye ufugaji bila kujua gharama halisi za: 🔹 Chakula 🔹 Dawa 🔹 Vifaa 🔹 Huduma Matokeo? Mtaji unaisha kabla kuku...
  13. LIKUD

    PreGE2025 Side effect za CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi (Kufeli kwa Campaign ya No Reform No Reaction lawama zangu nazitupa kwa Intelligence ya chama)

    Duniani hakuna kitu ambacho hakina side effects. Mlevi mmoja huko nchini Uingereza, aliejulikana kwa jina la Isack Newton, siku moja baada ya kumaliza kufanya masterbation, alitamka maneno yafuatayo:👇👇 " To every action there is an equal and opposite reaction ". Na hii ndio wasomi wa...
  14. Lord Denning

    Kwa style ya Uongozi wa Lissu, Heche na Mnyika, Mapandikizi CHADEMA wataaibika na kufeli vibaya sana

    Amani iwe nanyi Wanabodi, Kwa miaka mingi sana tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi, moja ya mbinu ambayo imekuwa ikitumiwa na CHAMA CHA MAPINDUZI ili kuendelea kubaki mabarakani ni kununua Viongozi wa vyama vya Upinzani na kuwatumia kama Mapandikizi yao. Viongozi hawa wa vyama hivi vya...
  15. nzalendo

    Nini chanzo Biashara ya mabasi kufeli?

    Miaka yote nimejikita katika malori..lakini kwa sasa napata upepo ndoto na maono juu ya biashara ya mabasi....lakini si mabasi ya kifahari....hapana ....la hasha.....ni mabasi kwa ajili ya huduma kwa raia....hasa kwenye njia mbazo ni za vumbi ndani ndani nje ya miji..... kwa daladala pamoja na...
  16. S

    Kutatua tatizo la ajali nchini kutokana na uharibifu au kufeli breki, LATRA waweke kikomo cha umri wa mabasi na malori kuruhusiwa kuwa barabarani

    Kuna mahali nilisoma kwamba unapoendesha gari yenye umri zaidi ya miaka 15 kwenda safari ya mbali, umri wa hiyo gari unaweza kuchangia wewe kupata ajali. Yaani, kadiri gari ilivyo ya umri mkubwa ndivyo ambavyo ina uwezekano mkubwa wa kupata hitilafu na kusababisha ajali hata vifo. Tanzania ni...
  17. Youbettersleep

    Kufeli kwa biashara zinazoendeshwa na serikali ya TANZATOZO

    TANZANIA ndio nchi pekee duniani inayoendesha miradi yake kimkakati huku waendeshaji waliopewa dhamana hizo ni 1. Viziwi yaan hawasikii 2. Vipofu yaani hawaoni 3. Bubu yaan hawaongei na 4. Njaa yaani wanawekeza tumboni na familia zao... Mfano wa mradi uliofeli ni huu wa MWENDOKASI. 🤣 Kwa mara...
  18. Damaso

    TRC mnazidi kufeli kila uchwao.

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanzisha mpango wa kununua injini za dizeli ili kuhakikisha huduma ya usafiri wa reli ya kisasa (SGR) bila kikwazo endapo umeme utakatika. Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja Kadogosa, amethibitisha hilo na kuelezea kuwa tayari kampuni moja imebainishwa kuzalisha...
  19. OMOYOGWANE

    Sometimes akili nyingi ndio chanzo cha kufeli kimaisha, ukiona imeshindikana kufanikiwa kimaisha jaribu ujinga

    Mtu mwenye akili timamu huwezi kumuambia ili atajirike inabidi akauze pipi kwa mtaji alionao au mayai ya kuchemsha kama kianzio kwa sababu anajua fika mtaji mdogo utampa faida ndogo ataona ni upotevu wa muda na nguvu kwa sababu hesabu anazijua. Sometimes ujinga ni mtaji. Lakini mtu asiye na...
Back
Top Bottom