kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kinga wanayokwenda kuwekewa Polisi 'undercover' kwenye Sheria inaweza ikahalalisha Polisi kufanya uhalifu dhidi ya binadamu kama Mtwara?

  2. B

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike Bunge lirudi kufanya kazi yake na wananchi waanze kulifuatilia?

    Bunge linaendelea Bungeni Lakini vyombo vya HABARI ni kama wamesusa au Wabunge wamekosa hoja. Sidhani kama Kwa kinachoendelea Kuna umuhimu wa Bunge. Hadhi ya Wabunge imeshuka Sana, hakuna anayefahamu kama Mbunge wake yupo aubkadoji bungeni. Wakisinzia pia camera zinaogopa kuwafotoa yaan ni...
  3. JamiiForums Tanzania Yajue mambo matano (5) yanayoweza kufanya kampuni yako ifutwe na mamlaka nchini Tanzania

    Mnamo mwaka 2019 Tanzania ilifanya marekebisho ya sheria yake ya Makampuni ya mwaka 2002 na kuleta mambo kadhaa mapya. Marekebisho hayo yaliletwa na sheria ya “The written laws (Miscellaneous Amendments) (No.3) Act, 2019" Kifungu cha 10 cha sheria hii kilileta kifungu kipya cha 400A katika...
  4. JamiiForums Tanzania Mambo Saba (7) Unayotakiwa Kufanya Ili Kuongeza Kipato Chako Mara Mbili Kwa Kuwekeza Kwenye Viwanja Na Nyumba

    Haiwezekani kila anayewekeza kwenye viwanja na nyumba apate mafanikio makubwa. Hii inasababishwa na sababu mbalimbali. Kwenye ukurasa huu nimekuandalia mambo saba ambayo yatakufanya kipato kiongezeke mara mbili kilivyo sasa. Mambo 7 Ya Kuzingatia Ili Uongeze Kipato Mara Mbili. MOJA. Mtazamo...
  5. JamiiForums Tanzania Wamejenga ukumbi wa kufanya sherehe tunapokaa. Weekend hatulali

    Amani imetoweka kabisa. Mita chache toka napokaa wamejenga ukumbi wa kufanya sherehe yaani ikifika ile jumamosi basi amani inatoweka ni kelele mtindo mmoja. Huyu mama wa serikali za mitaa nilikua namheshimu sana lakini kwakweli amenikera kuendekeza hili jambo. Hatulali makelele mtindo mmoja...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimeshindwa kufanya PhD kutokana na majukumu kuwa mengi

    Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema alijaribu kufanya Shahada ya Uzamivu lakini kutokana na majukumu mengi ameshindwa huku akisema ataimalizia baadaye. Mkuu huyo wa nchi amesema hayo leo Alhamishi Januari 27, 2022 wakati wa mahojiano maalumu yaliyorushwa na Shirika la...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara ya siku 2 mkoani Mara

    Kazi Iendelee Samia anatajia kufanya ziara ya siku 2 Kuanzia Trh.4-5/02/2022. Samia atahudhuria pia maadhimisho ya Kuzaliwa Kwa CCC ambayo yanahadhimishwa Kila mwaka trh.05/02. Kilele Cha Maadhimisho Hayo kinafanyika Kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mkendo, Wilaya ya Musoma, Mkoa wa Mara.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma: Rais Samia Kufanya Mahojiano na TBC Januari 27, 2022

    Salaam Wazalendo Wote Tafadhali soma Taarifa yote Kama ilivyoambatanishwa hapo chini
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kufanya biashara ya vinywaji au nafaka Kisesa Mwanza

    Kwema wadau nilikuwa naomba kujua je eneo la Kisesa Mwanza ni pachangamfu kufanya biashara ya vinywaji baridi soda maji n.k au ya nafaka kwa Bei ya rejareja Mwenye uzoefu na biashara hizo kwa eneo la kisesa mwanza naomba points zenu muhimu. Asante
  10. JamiiForums Tanzania TPDC yaingia mkataba na Kampuni ya Uingereza ya Baker Botts kwa ajili ya ushauri wa Kisheria

    Zile zama za makampuni ya nje kupiga hela kwa mgongo wa ushauri zimerudi. TPDC imeingia mkataba ya kampuni ya Uingereza za Baker Botts kwa ajili ya ushauriwa kisheria kwenye mikataba ya gesi. Hivi Tanzania bado hatuna kampuni zenye uwezo wa kutoa ushauri wa kisheria hadi tutoe Ulaya...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Taifa Kufanya Ziara Zanzibar kuanzia 24-27 Januari 2022

    Wazalendo Wote Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Taarifa imeambatanishwa Chama kipo kazini Kazi Iendelee
  12. JamiiForums Tanzania Manyara: Vingozi wa CHADEMA wakamatwa kwa kufanya Mkutano Stendi, Wakiri kosa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara linawashikila Viongozi watatu wa CHADEMA kwa kosa la kufanya mkutano bila kibali katika eneo la Stendi ya Katesh wilayani Hanang. Viongozi wanaoshikiliwa ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake (BAWACHA) mkoa wa Manyara Regula Mtei (45), Valentina Shayo (37) Mhasibu...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Nataka kuhamia Bariadi Mjini kufanya biashara ya nafaka

    Kwema wadau mimi kijana mfanyabiashara mdogo wa vinywaji baridi kama soda, maji n k. Lengo kuu la kuandika uzi huu ni kuomba ushauri wa kibiashara na kimaisha. Nimepata wazo la kutaka kuhamia mjini Bariadi ili niendeleze maisha huko pamoja na biashara zangu Kwa ambaye anapafahamu vizuri...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Napendekeza sheria itakayoshurutisha watumishi wa umma kufanya kazi miaka 10 pekee kisha wastaafu na kujiajiri

    Wanajukwaa, Naomba kupendekeza ili kupambana na janga la ajira, kuanzia sasa watu wanaoajiriwa katika sekta za umma wafanye kazi for only 10 years then wastaafishwe watumie walichopata kujiajiri. Hii itahakikisha kuwa nguvu mpya kutoka vyuoni inapata nafasi ya kutumikia taifa na kuongeza pia...
  15. JamiiForums Tanzania Okoa matumizi ya petrol na kuondoa shida za gari zisizotatuliķa kwa kufanya jambo dogo kwenye gari

    SABABU ILIYOJIFICHA GARI YAKO KUTUMIA MAFUTA ZAIDI NA MATATIZO MENGINE Wasiliana na mimi +255788624499 nikusafishie Mass Air Flow (MAF) senso. Soma zaidi... Dalili za MAF sensor inahitilafu ni, 1. Engine ni ngumu kuwasha. 2. Engine inazima muda mfupi baada ya kuwaka. 3. Engine inasitasita au...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda: Serikali kufanya tathimini ya wahitimu wanaomaliza katika Vyuo vya Ufundi Stadi (VETA)

    Serikali kufanya tathimini ya wahitimu wanaomaliza katika Vyuo vya Ufundi Stadi (VETA) ili kuona namna wanavyoweza kujiajiri ama kujiajiriwa baada ya kumaliza mafunzo. Kauli hiyo imetolewa Januari,15 2022 jijini Arusha na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda katika...
  17. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Tunauza laptop za kila aina

    Lenovo XIIM 2-in-1 laptop slim and nice Affordable 2-in-1 Tablet 10 windows tablet with detachable keyboard and hi-res display 11 Size ••Processor : Intel Atom X5 ••Generation: 6th ••RAM 4GB (DDR4) ••Storage: SSD 64GB. GB Extra ••Touch screen ✔️ Let your fingers do the talking ••Long...
  18. JamiiForums Tanzania Awamu ya sita ukipata teuzi unaweza kufanya tafrija kusherehekea

    Awamu ya Magufuli aliwaambia wateule wake nikikuteua usifanye sherehe maana umetwishwa mzigo. Yaani kama ukishindwa kuubeba anakutua wakati wowote. Tena alikua 0 tolerance vitendo vya ufisadi. Akasema ukila hela ya umma akijua utaitapika. Awamu ya 6 ukiteuliwa uwaziri au teuzi yoyote unaweza...
  19. JamiiForums Tanzania Biashara gani naweza kufanya nikaingiza pesa nyingi kwa siku bila mtaji?

    Habari wadau, Biashara gani naweza kufanya bila mtaji nikapata pesa nyingi, mwenye kujua nisaidie mawazo.
  20. JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Tumeacha kutekeleza maendeleo kwa kutumia pesa zitokanazo na mapato na tozo na sasa tumerudi kwenye mikopo?

    Naona makada na viongozi wa chama tawala wanapigia sana chapuo hii kitu. Kuwa lazima tukope ili kutekeleza maendeleo ya taifa letu . Na pia wanasisitiza kuwa tukisubiri kukusanya mapato ili kutekeleza maendeleo tutachelewa. Swali je mapato na tozo havikusanywi? Je, hayatoshi? Je tumeamua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…