kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Putin alimheshimu sana Trump, kwa sasa Biden ni kama Mdoli kama alivyokuwa Obama. Baada ya Urusi tutegemee naye China kutesti mitambo

    Ni wazi kabisa kipindi cha Trump, raisi wa Urusi alikuwa akimheshimu sana kiasi kwamba hakuweza kuthubutu kufanya haya anayoyafanya kwa sasa kwa sababu aliogopa response ambayo Trump angeichukua. Kwa sasa Marekani inaongozwa na raisi mithiri ya mdori ambae media inatumia nguvu kubwa sana...
  2. Naomba kujua namna ya kuhamia kufundisha vyuo vikuu, kutoka kuwa mwalimu wa sekondari

    Wakuu samahani, naomba msaada namba ya kuomba kibali Cha kuhamia kufanya kazi vyuo vikuu, kutoka kwenye shule ya sekondari (halmashauri). Ikiwezekana na sanduku la posta ni lipi.
  3. Rais Samia amesema anarejesha mahusiano na nchi za Ulaya. Je, kukopa ndio njia bora ya kufanya hivyo?

    Rais Samia wakati akirejea toka France na Belgium wakati akitoa salamu zake na asante kwa mapokezi pale uwanja wa Mwalimu Nyerere alisema kwamba wakati wa awamu ya tano mahusiano yetu na nchi za Ulaya yalilega sana ila kwa sasa amejitahidi kuyarejesha. Observation yangu ndogo ya matendo...
  4. Tusiwe tunawalaumu au kuwasifu viongozi kwa kila kitu, vinginevyo tunawachanganya hivyo kufanya lolote

    Ni muhimu kujitahidi kupunguza lawama, kulalamika na kunung'unikia kila kitu kwani hiyo huwachanganya viongozi na mwisho kuamua kufanya chochote ili iwe vyovyote vile. Yaani akisimama malalamiko, akikakaaa analaumiwa, akichuchumaa manung'uniko, akitembea lawama! Dah! Shida hii husababisa hata...
  5. Jinsi ya Kutengeneza Connection za Kibiashara

    Habari za wakati huu; Ndugu zangu hapa jukwaani nimekuwa nikiona watu wengi wakihangaika juu ya kukosa wateja wa bidhaa au huduma zao na wengine wakilalamika juu ya kukosa connection. Connection au mtandao nini?Connection au mtandao ni orodha ya watu ambao wana uwezo wa "kukuwezesha".Iko hivi...
  6. Lema: DW wametumiwa na CCM kufanya propaganda

    "...DW wametumika kufanya propaganda kwa kuchelewesha kwa makusudi kurusha hewani kipindi cha mahojiano ya mwandishi wao na Rais Samia na ajabu baada ya kikao cha Tundu na Rais Samia ambacho kilikuwa cha siri na eti wao pia wakaachia ile video clip." "...alianza Kikeke kutumika na sasa DW nao...
  7. Faida na hasara za kufanya biashara kwa kutumia Cheki(Check,Cheque)

    Wajasiriamali wengi wadogo hufanya biashara kwa kutumia CASH.Akienda kununua mzigo kariakoo anaenda na cash,akaenda kulipa wafanyakazi anaenda na cash.Kila kitu wanatumia Cash.Swali la kujiuliza ni Je ku na faida gani mtu kutumia Check badala ya Cash? Nianze kwa kueleza kidgo check ni...
  8. NBAA inatakiwa kuchunguza madai ya Kigwangala na kama yana ukweli kuwafutia leseni ya kufanya auditing wahusika

    Auditing is a profession na trustworthy ya report is key to stakeholders. Iwapo madai ya Kigwangala yanaukweli upande wake aujachunguzwa na control measures za matumizi ambazo ahusiki nazo kuamua matumizi. Wahusika wa hiyo report wamevunja kanuni za auditing ethics and obligations, makosa...
  9. Kukosa mtoto wa kiume inawasumbua sana wanaume kufanya wakose amani

    Bwana Mchanga alipata nafasi ya kwenda masomoni nchi za Scandinavia, alibahatika kupata mke wa Kizungu na baraka ya mabinti watatu. Baada ya masomo Mrs Mchanga alikataa kurudi Tanzania. Waliachana kwa amani na bwana Mchanga kurejea nyumbani. Alipata ajira serikalini kama afisa mwandamizi...
  10. RC Geita awachimba mkwara waliopanga kwenda kufanya tambiko kwenye kaburi la Magufuli

    RC Geita amezungumzia sakata la wananchi waliopanga kwenda kufanya tambiko kubwa kwenye kaburi la Magufuli. Amewachimba mkwara wale wote waliopanga kufanya hivyo na amewaambia maswala ya matambiko ni naswala ya kifamilia na hayawezi kufanywa huku yeye kama RC akiwa hana taarifa yoyote...
  11. B

    Jaji kufanya uchambuzi wa kurasa 1,500 ukaweza kutoa hukumu kwa siku mbili ni jambo lisilowezekana

    Mhe. Jaji amesema tarehe 18/02/2022 atatoa maamuzi kama watuhumiwa wana Kesi ya kujibu au la. Wakati huohuo ameeleza Kwamba karani wake ameshaandika page 1400+ na Kwamba anatakiwa kiutaratibu Jaji anapaswa kusoma nakutoa maamuzi ni facts zipi zinahitajika kuprove kama Kuna kesi ya kujibu au la...
  12. The Biggest Star wa Kiume wa Bongo, Kumvisha Pete ya Uchumba The Biggest Star wa Kike wa Bongo? Happy Valentines!

    Wanabodi, Leo ni siku ya wapendanao, Valentine Day, hivyo nami nawatakia a Happy Valentines Day!. Mimi ni Mzee wa Trends Readings, Siku ya wapendanao ya leo, kuna trends fulani naiona kwa mbali, hivyo bandiko hili ni swali, Jee siku ya Valentine ya leo, The Biggest Star wa Kiume wa Bongo...
  13. Mwongozo wa kufanya biashara ya kusafirisha zao la Nyanya

    Habari wana JamiiForums, naomba msaada wa mawazo kwa aliyewahi kusafirisha nyanya kutoka Moshi, Iringa, Makambako, e.tc kuleta Dar es Salaam naomba anipe mwongozo wa chochote anachokijua kuhusu hii biashara. Natanguliza shukrani zangu.
  14. J

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe akutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la ufadhili wa maendeleo ya Kilimo

    Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa shirika la Umoja wa Mataifa la ufadhili wa maendeleo ya Kilimo duniani (IFAD) Bi. Jacqueline Machangu-Motcho ofisini kwake jijini Dodoma. Mazungumzo hayo yalikuwa ni kuimarisha ushirikiano baina ya shirika...
  15. Dkt. Abbas na Msigwa lazima mazingira yenu ya kazi yawe magumu kufanya kazi na Nape Nnauye

    Nawaonea huruma sana hawa mabwana wawili Dkt Hassan Abbas na Gerson Msigwa ambao kimsingi ni wapenzi wa mfumo wa Mwendazake, walifanya kazi katika viburi vikubwa sana. Walitoa majibu ya hovyo sana kila walipoulizwa na wanahabari kuhusu uhuru wa habari. Leo hii wamekutana na aliyekuja juu yao ni...
  16. Haji manara na Bumbuli walitumwa na GSM kufanya press ili kuzima story za kuvunja mkataba

    Home shoping center,silent ocean ,GSM ni wahuni waliivamia mpira ,famikia yao wanazi wa simba ila wanafadhili yanga kimaslahi tu Baada ya uhuni uliofeli na kuepuka aibu wiki hii ,wakawatuma rafiki wa kabwili bwana manara na bumbuli ili watutoe kwenye reli, Walipeni timu 15 pesa zao...
  17. Muna Love ajutia kufanya upasuaji wa kutengeneza mwili wake

    Baada ya mwaka jana kuweka wazi kuwa amefanya upasuaji (sajari) za dimpozi na umbile kwa ujumla, mwanamama Muna Love amejitokeza na kuwasihi watu kutofanya sajari kwani anajuta na kuahidi kuweka wazi madhara yake hivi karibuni. Muna Love ambaye anadaiwa kulazwa hospitalini kutokana na madhara...
  18. Kinga wanayokwenda kuwekewa Polisi 'undercover' kwenye Sheria inaweza ikahalalisha Polisi kufanya uhalifu dhidi ya binadamu kama Mtwara?

  19. B

    Nini kifanyike Bunge lirudi kufanya kazi yake na wananchi waanze kulifuatilia?

    Bunge linaendelea Bungeni Lakini vyombo vya HABARI ni kama wamesusa au Wabunge wamekosa hoja. Sidhani kama Kwa kinachoendelea Kuna umuhimu wa Bunge. Hadhi ya Wabunge imeshuka Sana, hakuna anayefahamu kama Mbunge wake yupo aubkadoji bungeni. Wakisinzia pia camera zinaogopa kuwafotoa yaan ni...
  20. Yajue mambo matano (5) yanayoweza kufanya kampuni yako ifutwe na mamlaka nchini Tanzania

    Mnamo mwaka 2019 Tanzania ilifanya marekebisho ya sheria yake ya Makampuni ya mwaka 2002 na kuleta mambo kadhaa mapya. Marekebisho hayo yaliletwa na sheria ya “The written laws (Miscellaneous Amendments) (No.3) Act, 2019" Kifungu cha 10 cha sheria hii kilileta kifungu kipya cha 400A katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…