kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Vijana kufanya maandamano kumuunga mkono Rais Samia kuelekea 2025

    Vijana wanne kwa kila wilaya wameandaliwa kufanya maandamano Mkoani Dodoma baada ya mkutano mkuu wa uchaguzi wa UVCCM. Maandamano hayo yatakuwa ya kuonyesha vijana wanamuunga mkono Mama Samia awe mgombea pekee wa CCM Mwaka 2025. Pia vijana hao watatoa tamko kali sana kwa wanaompinga Mama Samia...
  2. Msitegemee wale wa 'Bwege Nation' kufanya kama wanavyotakiwa kufanya wa Kenya

    "Polisi msiwe na Upande wa Siasa..Tunataka Polisi iwe huru na isibague watu kadri ya Mitizamo yao ya Siasa. Tunataka Polisi iwalinde ndugu zetu wa Upinzani sawa na Inavyowalinda walio Serikalini sababu sisi ni wamoja na wote tunalipa kodi” Rais wa Kenya William Ruto Chanzo: Mitandao ya Kenya...
  3. Kama ujenzi wa barabara ya Morogoro - Dar hauzidi bilioni 300, sioni sababu ya kufanya Private Public partnership, kisiasa italeta kelele

    Morogoro Dsm ni kilometa hazizidi 200, hata kama kilometa moja ni bilioni moja, haizidi bilioni 200, hivi kama nchi tunakosa fedha hizi? Na asilimia kubwa ya eneo Hilo fidia ni kidogo. Tiweke mpango wa miaka minne Kila mwaka tutenge bilioni 100, tutaepuka political issues na pia inawezekana...
  4. RC Makalla: Serikali haitaweza kufanya kila kitu, mengine fanyeni wenyewe

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla amewaasa wakazi wa wilaya ya Ubungo kuacha kuwaza kila kitu kitafanywa na Serikali badala yake katika baadhi ya mambo wanatakiwa kufanya wenyewe kwa kushirikiana na wadau kutoka sekta binafsi. Hayo ameyasema leo Jumanne Novemba 15, 2022 baada ya...
  5. Kama una kijana hana la kufanya nyumbani, usimuache na watoto wa kike au wa kiume peke yao

    Kisa cha kweli, Mtoto alikuwa analelewa na bibi yake Naye bibi kalundika vijana wasio na kazi wanakula bure na kulala bure, mmoja wa vijana ana tabia ya kuwalawiti watoto huyu wa sasa ni watatu. Issue ikajulikana Mara kutahamaki bibi wa aliyelatiwa anamaliza tatizo kifamilia mwenye mtoto...
  6. Watahiniwa 566,840 kufanya Mtihani kidato cha 4 Nov 14

    Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), limesema jumla ya watahiniwa 566, 840 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kidato cha nne, utakaoanza kesho Jumatatu katika shule za Tanzania Bara na Zanzibar. Limesema kati yao watahiniwa 533,001 ni shule na 31, 839 wa kujitegemea. Kati ya hao watahiniwa...
  7. Namtafuta raia wa Kenya wa kufanya naye biashara

    Hapo vip!! Hapo vip!! Mimi ni mfanyabiashara na napatikana Arusha, ila napenda sana nikimpata Mkenya ambaye yupo tayari kufanya biashara nje ya mipaka. Napenda kufanya biashara na wakenya au Wanaigeria...niwatu ambao naona naweza kufanya nao kazi kwenye biashara.
  8. To my early 30, sijawahi kufanya mambo haya

    1. Sijawahi kunywa au kuonja pombe ya aina yoyote. 2. Sijawahi vuta au jaribu sigara ya aina yoyote. 3. Sijawahi kubet na sijui mkeka wanawezaje na sijawahi kucheza kamali ya aina yoyote 4. Sijawahi kwenda kwa mganga nikiwa naumwa au kutafuta njia ya jambo langu lolote 5. Sijawahi kwenda...
  9. Zawadi aliyopewa Majaliwa (Shujaa) inaakisi alichofanya? Je, inahamasisha sisi wengine kufanya alichofanya?

    Salama wandugu, Mimi nimefikiria kuhusu hii Tanzania nabaki nasikitika tu,niannze na watu walionusurika najua huko mliko mnafanya ibada za kushukuru, na wengine mnakata keki.Nawaomba kwa uwingi wenu changeni pesa ya kupata nyumba au boti la uvuvi mpeni huyu kijana aliyewaokoa he unajisikiaje...
  10. K

    Tetesi: Rais wa Rwanda kufanya ziara ya ghafla nchini Tanzania

    Kutokana na kile kinachoendelea kati ya DRC & Rwanda natabiri rais mrefu kuliko wote East Afrika kufanya ziara ya ghafla sana nchini Tanzania ili kuweka mambo sawa
  11. Hata mkilia machozi ya damu hatuwezi kuruhusu mateso, miaka yenu mitano mmeshamaliza. Mama yupo sahihi?

    Inashangaza kipindi ambacho taifa linapambana kuhakikisha tunawapatia Watanzania ukombozi wa kweli ndiyo mara ghafla wale jamaa wa kusifu na kuabudu au kwa jina maarufu wakiitwa Thug au S.Gang wakijitahidi kupenyeza ajenda zao mfu na mufulisi katika taifa letu teule. Niwaambie tu, huu muda...
  12. Mdogo wangu Nusrat Hanje, kama uko 'serious' ujasiri mkubwa ni kufanya hivi

    Tufanye ni kweli hukujua chochote mpaka baada ya kuapishwa ndiyo ukajua kumbe umeingizwa chaka, na pia unaomba majadiliano nje ya mahakama, kwa haraka ni kwamba kuna mambo umetofautiana na akina Mdee. Kwa umri wako ili kutengeneza tena heshima yako na imani kwa watu wengi basi jiuzulu huo...
  13. Yanga msiende kufanya fujo huko Tunisia!

    Katika kufuatilia safari ya Yanga ya siku ya leo kuelekea Tunisia kwa mchezo wa marudiano, msafara huo unahusisha watu 41 huku wachezaji wakiwa 22 na waliobaki ni 'wengine'. Nimekumbuka timu zetu za Olympic ambapo viongozi huwa ni wengi kuliko wachezaji. Sijaelewa watu 19 ni kina nani ila...
  14. N

    Baada ya kufuma messages za kumtumia muamala mchepuko, mke aja juu nae achukua kiasi cha pesa huku akiapa kutokirudisha. Busara ni kufanya nini hapa?

    Ndo hivyo wadau! Mke afuma muamala wa 20k kwenda kwa mchepuko huku msg za kushukuru na malavidavi nyingi tu. Mke akasirika na kuzama mfukoni mwa suruali ya mumewe wakati yupo bafuni na kutoka na 30k huku akijiapiza kutoirudisha hiyo kwa madai kuwa anapata tabu kumbe hela zinaenda kwa malaya...
  15. Msaada wa kupata Pasi ya kusafiria

    Wakuu naombeni mwongozo wenu tafadhali, nilikua nafatilia pasi ya kusafiria (International Passport) kidogo nimekumbsna na vikwazo. Mimi niko mkoani huku (Chuganian) Nimejaribu kuulizia uhamiaji wa hapa nimeelezwa niwe na: Cheti cha kuzaliwa (Ninacho) Namba za Nida (ninazo) Cheti cha kuzaliwa...
  16. Tuite ni ushamba kwa Okrah kufanya hivi?

    Alichofanya Okrah katika mchezo wa jana imejidhihirisha yeye ni mchezaji wa aina gani. Alichofanya Okrah tulichotegemea kuona kikifanywa aina ya wachezaji wa timu za chini. Alichofanya Okrah kimeifanya Simba idharaulike, maana dakika za mwanzo unavua jezi na ni mechi kubwa? Alichofanya Okrah ni...
  17. Tamu ya Force Account, watendaji Muheza watimuliwa kazi, TAKUKURU kufanya uchunguzi, shule haijakamilika

    Kwa wanasayansi, wanasema" don't re-invent the wheel". Ndicho tunachoona kwa baadhi ya miradi ya serikali kwa sasa inayojengwa kwa FORCE ACCOUNT. Serikali mkoani Tanga inalia na watendaji wake. Waliagizwa huko Muheza kujenga shule ya sekondari, darasa moja kwa milioni 20, wao kwa ubishi na...
  18. Dewji: Ni ndoto ya kila kijana wa Kitanzania kufanya kazi MeTL

    Nafuatilia mahojiano aliyofanya mfanyabiashara tajiri kijana Mo Dewji na Bloomberg. Mo anadai anapata furaha kubwa pale inapokuwa ni ndoto ya kila kijana wa Kitanzania kufanya kazi na Kampuni yake, amedai watu wengi wameacha kazi mitandao ya simu na Kampuni za uchimbaji madini na kuamua kujiunga...
  19. Mzee Mpili wa Ikwiriri kwa Mkapa umeenda kufanya nini?

    Hawa jamaa zetu mpira umeshawashinda, kazi kutumia wazee wacheze nje ya uwanja, watakuja kufa bure. Wewe siyo mchezaji unakuja kuangalia nini? Hawa utopolo humu ndipo walipowekeza; uchawi, uchawi, uchawi, tu! Na waarabu hawarogeki "Mbwa nyinyi". - Lucy Eymael
  20. J

    Tukio gani umewahi kufanya ukweni na hutokuja kulisahau?

    Mwenzenu nimewahi kukaa ukweni zaidi ya miezi nane, nikiwa na ujauzito wa miezi mitatu mpaka nikajifungua, nilikuja kuondoka mtoto anamiezi mitatu. Katika muda wote huo niliwahi kufanya tukio ambalo najutia sana ingawa lilitokea kwa bahati mbaya tu. Mume wangu alinikataza kitu fulani nikakubali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…