Yanga msiende kufanya fujo huko Tunisia!

SAYVILLE

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
5,231
8,072
Katika kufuatilia safari ya Yanga ya siku ya leo kuelekea Tunisia kwa mchezo wa marudiano, msafara huo unahusisha watu 41 huku wachezaji wakiwa 22 na waliobaki ni 'wengine'. Nimekumbuka timu zetu za Olympic ambapo viongozi huwa ni wengi kuliko wachezaji.

Sijaelewa watu 19 ni kina nani ila natumaini hawapeleki makomandoo kama wale waliovamia chumba cha Club Africaine katika game ya kwanza.

Najua Yanga wanajitahidi sana kujua siri ya mafanikio katika game hizi za Africa na hilo ni jambo jema, ila ugomvi na fujo siyo njia nzuri na watapelekea kufungiwa na hata nchi kuadhibiwa. Ushauri wangu, viongozi wa Yanga wajishushe watoe kauli ya wazi kuomba ushirikiano na Simba. Juzi tumeona mashabiki wengi wa Yanga kwa mara ya kwanza wamekiri kuwa Simba wamewaacha mbali katika game hizi na hii ni ishara nzuri. Naamini ushirikiano huo unawezekana kabisa kwa maslahi ya taifa na utafungua ukurasa mpya katika boli la Tanzania.

NB. Naamini mafanikio kwenye game za Africa na duniani kote yanaanzia kuwa na sports professionals katika management wanaoelewa jinsi ya kuanzisha na kujenga professional relationships na taasisi mbalimbali za michezo na za biashara. Yanga wangeanzia hapo kwanza.
 
aisee wewe vipi hao watu 19 kati yao 10 ni benchi la ufundi na 9 ni viongozi na wote wametajwa mpaka majina,una shida gani kwenye akili yako?
 
Mwarabu hapigiwi anacheza, sasa tifu walilolianzisha hapa kuwamwagia waarabu maji yaliyokoshea maiti na mikojo ya pombe mrejesho wake siyo wa dunia hii. Wabebe na vilainishi kabisa kwani timbwili waliloandaliwa ni pamoja na kupelekewa moto wa hatari
 
Katika kufuatilia safari ya Yanga ya siku ya leo kuelekea Tunisia kwa mchezo wa marudiano, msafara huo unahusisha watu 41 huku wachezaji wakiwa 22 na waliobaki ni 'wengine'. Nimekumbuka timu zetu za Olympic ambapo viongozi huwa ni wengi kuliko wachezaji.

Sijaelewa watu 19 ni kina nani ila natumaini hawapeleki makomandoo kama wale waliovamia chumba cha Club Africaine katika game ya kwanza.

Najua Yanga wanajitahidi sana kujua siri ya mafanikio katika game hizi za Africa na hilo ni jambo jema, ila ugomvi na fujo siyo njia nzuri na watapelekea kufungiwa na hata nchi kuadhibiwa. Ushauri wangu, viongozi wa Yanga wajishushe watoe kauli ya wazi kuomba ushirikiano na Simba. Juzi tumeona mashabiki wengi wa Yanga kwa mara ya kwanza wamekiri kuwa Simba wamewaacha mbali katika game hizi na hii ni ishara nzuri. Naamini ushirikiano huo unawezekana kabisa kwa maslahi ya taifa na utafungua ukurasa mpya katika boli la Tanzania.

NB. Naamini mafanikio kwenye game za Africa na duniani kote yanaanzia kuwa na sports professionals katika management wanaoelewa jinsi ya kuanzisha na kujenga professional relationships na taasisi mbalimbali za michezo na za biashara. Yanga wangeanzia hapo kwanza.
wafanye fujoo, watatoomb*wa nakwambia
 
wafanye fujoo, watatoomb*wa nakwambia
Wanakanusha hakuna makomandoo ila wamekusanya wazee wa Bagamoyo kwenda kupeleka mauzauza kule. Yanga wanafanyaja yale yale miaka yote na kutegemea matokeo tofauti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom