kufanikiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Kama unatumia kauli hizi 10, kamwe huwezi kufanikiwa

    Rafiki yangu mpendwa, Kauli huwa zinaumba. Kauli zinaumba kwa sababu zinatokana na mtazamo na imani zilizo ndani yetu. Kauli tunazotumia zinatokana na kile tunachoamini. Unaweza kujiambia ni kauli ya kawaida tu, ila kama unaitumia, jua ina nguvu kubwa sana kwako. Kuna kauli kumi ambazo kama...
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Bila utayari wa CCM kwenye katiba mpya sio rahisi CHADEMA kufanikiwa harakati zao

    Bila utayari wa CCM kwenye katiba mpya sio rahisi CHADEMA kufanikiwa harakati zao. Leo nimeona nifafanue hili suala la katiba mpya ili angalau wafuasi wa CHADEMA waelewe kwamba wanachofanya kwa sasa ni ndoto za mchana. Ni sawa na kupiga ngumi ukuta. Ni kweli kunahitajika marekebisho kwenye...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ili kufanikiwa, unahitaji nini kati ya kufanya kazi kwa bidii ua kujuana na watu?

    Wadau naomba kuuliza kuhusu hii kanuni, Je, ni kufanya kazi kwa bidii au connection ndivyo vinavyomsaidia mtu kupanda ngazi, kuna mmoja kaniambia hapa kama hard work pays basi punda wote watakuwa matajiri. Na pia akaniambia unawaona paka hawafanyi kazi lakini wanaishi kama wafalme, akaongeza...
Back
Top Bottom