kufanikiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Je, ni lazima mtu awe na mipango maishani, au tunaweza kufanikiwa hata bila mipango?

    Wakuu, kuna jambo nimekuwa nikilifikiria sana mwishonimwa mwaka huu. Kama tunavyojua mwaka ndio huo unaelekea ukingoni, tupo Oktoba sasa, lakini naamini kuna watu walioweka mipango yao Januari ambayo mpaka sasa bado haijatekelezeka. Wengine walipanga kuanzisha biashara, kujiendeleza kielimu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Je, ni lazima mtu awe na mipango maishani, au tunaweza kufanikiwa hata bila mipango?

    Wakuu, kuna jambo nimekuwa nikilifikiria sana mwishonimwa mwaka huu. Kama tunavyojua mwaka ndio huo unaelekea ukingoni, tupo Oktoba sasa, lakini naamini kuna watu walioweka mipango yao Januari ambayo mpaka sasa bado haijatekelezeka. Wengine walipanga kuanzisha biashara, kujiendeleza kielimu...
  3. JamiiForums Tanzania MAMBO YA MSINGI YA KUZINGATIA ILI KUFANIKIWA KATIKA BIASHARA YA VINYWAJI KWA JUMLA

    Biashara ya vinywaji kwa jumla inaweza kuwa chanzo kizuri cha mapato, lakini mafanikio yake hayategemei kuwa na mtaji pekee. Yanahitaji uelewa wa soko, usimamizi mzuri wa fedha, mahusiano imara na wateja pamoja na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi ya kibiashara. 1. Chagua eneo lenye soko la...
  4. JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa uhaini hajawahi kufanikiwa kisiasa bila kuomba kusaidiwa, unadhani imekuaje akakataa kusaidiwa kisheria na mawakili wote Tz?

    Je, alitaka kujionyesha kwamba yeye ni bingwa wa maisha ya sheria, hali ya kua inafahamika kwamba ni ufadhili wa wanaomfadhili ndio unaomsitiri yeye na familia? Kulikoni akatae msaada wowote ule wa kisheria kutoka kwa mawakili na wanasheria wenzake wote Tanzania, wakati mambo mengine yote...
  5. JamiiForums Tanzania SIRI YA KUFANIKIWA DUNIANI IPO KWENYE KUTOA MISAADA KWA (WAHITAJI)WENGINE(KANUNI YA KIROHO)

    MAFANIKIO NI YA KIROHO Ikiwemo pesa na mafanikio aina nyingine yote yanaanzia katika ulimwengu wa roho na kuja kudhihirika katika ulimwengu wa nyama unao onekana ulimwengu wa kimwili. KIROHO ZIPO NGUVU ZIPO ZA AINA MBILI TU NYUMA YA MAFANIKIO YA MWANADAMU YEYOTE Nguvu za NURU MUNGU au nguvu za...
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanzisha na kufanikiwa katika biashara ya Vifungashio Tanzania

    Biashara ya vifungashio ni miongoni mwa fursa zinazokua kwa kasi nchini Tanzania. Ukuaji wa viwanda vidogo na vya kati (SMEs), pamoja na ongezeko la wajasiriamali wanaozalisha vyakula, vinywaji, vipodozi na bidhaa za matumizi ya nyumbani, umeongeza kwa kiasi kikubwa mahitaji ya vifungashio bora...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuanzisha na Kufanikiwa Katika Biashara ya Butcher Tanzania

    Butcher inaweza kuanza na mtaji mdogo, lakini bila eneo sahihi, usafi, nyama bora na huduma nzuri kwa wateja—unaweza kuuza kila siku lakini bado usipate faida unayoitarajia. Biashara ya butcher ni miongoni mwa biashara zenye uhitaji wa kila siku kwa sababu nyama ni bidhaa inayotumiwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Kama Unafanya Uzinzi Sahau Kufanikiwa Maisha (Labda kwa Kutumia Waganga au Utapeli)

    Wakuu salamu, Leo naomba tujiambie ukweli mchungu ambao wengi watauchukia, lakini ndio ukweli halisi. Kama wewe ni mwanaume au mwanamke unayeendekeza uzinzi na ngono zembe, sahau kabisa habari ya kufanikiwa kimaisha kwa njia halali ya jasho lako. Ukiona mtu ni mzinzi wa kutupwa na bado ana...
  9. JamiiForums Tanzania Moja ya uongo watu wanaodanganywa ni kwamba waliopo kwenye ndoa wanateseka jambo ambalo sio kweli

    MOJA YA UONGO WATU WANAODANGANYWA NI KWAMBA WALIOPO KWENYE NDOA WANATESEKA JAMBO AMBALO SIO KWELI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii Dunia inamifumo ambayo haitaki umiliki na uwe na maisha mazuri. Kwa namna hiyo zipo propaganda nyingi zinazopotosha jamii kwa lengo la kuwafanya watu...
  10. JamiiForums Tanzania Ni michezo gani ya hatari uliwahi kufanya ili utoboe kimaisha?

    Kuna wakati ni bora ujilipue lolote litakalotokea, litokee tu. Hii nchi, ukiwa mfanyabiashara, wakati mwingine ni kama umetangaza vita na serikali. Kuna mifumo kandamizi sana kwa wafanyabiashara. Binafsi, bila kuwa na roho ngumu, uthubutu na ujasiri wa kuchukua hatua, leo nisingekuwa hapa...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna njia nyingi za kufanikiwa tatizo polisi

    Kimsingi kupitia elimu ngumu sana kufika pale unapotaka, je unadhani njia zipi za kutoboa tobo bila kujali vyombo vya usalama nichukue hatari huko.
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya makubaliano ya Iran na Marekani kufanikiwa. Italy, UK, France na German zakubaliana kuiondolea vikwazo Iran

    Niaje waungwana Dunia imebadilika aisee. Leo hii zayuni ( Netanyahu ) anaitwa muuaji anaetafutwa kufikishwa kwenye Criminal Court. Wakati nchi hizo zikiondoa vikwazo kwa Iran, hili zayuni liuaji Netanyahu haliwezi kutia mguu wake katika nchi yoyote hapo juu bila kutiwa nguvuni na kukabidhiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kijana Mafanikio ya afya hayahitaji mtaji, jitahidi kufanikiwa kwenye afya

    Kukimbia ni Bure Kupiga pushup ni Bure Mazoezi ya kukimbia ni Bure. Kijana jitahidi usiwe na kitambi kwasababu kuwa na afya bora sio biashara...ni wajibu wako. Six pack muhimu Kifua kikubwa Muhimu Muonekano wa mazoezi muhimu. Haya Tukomae
  14. JamiiForums Tanzania Bado business partnership ni ngumu sana kufanikiwa hapa Tanzania

    Sisi kuungana kuanzisha biashara pamoja kisha kuikuza na kufanya idumu ni ngumu sana. Partnership nyingi huishia kwenye uadui wa kudumu. Nilishawahi kuungana na jamaa zangu in my early 20s lakini haikudumu ila kwa bahati nzuri tuliachana kwa amani kabisa kupitia mwanasheria wetu. Mimi naona...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa takwimu, kati ya Watanzania 10 maskini, 7 ni wanawake. Sasa kwa nini wanawake hupewa nafasi zaidi za kufanikiwa kuliko wanaume

    Wataalamu wa mahusiano na saikolojia wamekuwa wakieleza kwamba mwanamke hupata mafanikio ya mapema kuliko mwanaume, na kwamba dunia huwa rahisi zaidi kwa wanawake kuliko wanaume. Je, uhalisia wa hoja hizi ukoje ikiwa kati ya watu 10 maskini, 7 ni wanawake?
  16. JamiiForums Tanzania Kwa upande wako, nini maana ya kufanikiwa kimaisha?

    Tema cheche💥
  17. JamiiForums Tanzania Said Mwema: Tulibaini zilipangwa mbinu zaidi ya 16 ili jambo hili (maandamano) liweze kufanikiwa

    IGP mstaafu Said Mwema ameyasema hayo wakati tume ikitolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali katika ripoti hiyo iliyowasilishwa Aprili 23, 2026
  18. JamiiForums Tanzania Ukitaka kufanikiwa kibiashara, kaa mbali na walioajiriwa, hawawezi kukushauri kitu

    Biashara ni upambanaji, ukilala na biashara nayo inalala. Ila kwa mwajiriwa, ata akilala mwisho wa mwezi utasoma. Usitegemee mtu aliyeajiriwa akupe ushauri chanya kwa kitu ambacho yeye kimemshinda kufanya. Jenga urafiki na wafanya biashara wenzako, hawa walioajiriwa watakupoteza; wanakauli...
  19. JamiiForums Tanzania When life favours you dont call others lazy? Ukipata neema ya kufanikiwa kimaisha usiwadharau ambao bado hawajatoboa

    Kama inawezekana kufanyika baraka kwa wengine ikiwemo maneno ya kinywa chako yawe ya kubariki wengine kuliko kuwadharau na kuwakejeli. UNAHITAJI WATU WA HALI ZOTE KATIKA MAISHA. Heshimu watu wa hali zote masikini kwa matajiri,bila kujali tofauti zenu za kiuchumi ,na kijamii. Masikini...
  20. JamiiForums Tanzania Kauli mbiu ya Rais gani iliwahi kufanikiwa hata kidogo tu?

    1. Ukweli na Uwazi-Mkapa 2. Maisha Bora kwa kila Mtanzania-JK 3. Tanzania ya Viwanda-Magufuli 4. Kazi na Utu-Samia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…