kufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanamke atembea barabarani aanguka na kufa bonde la Msimbazi

    Sijui kama napaswa kuiandika hii. Watu wengine wataona labda siyo muhimu. Lakini hii imetokea juzi. Huyu mwanamke alikuwa anatembea katika bonde la Msimbazi,pale kutoka Msimbazi Center kuelekea njia panda ya Kigogo,akaanguka akafa,mwenyewe tu, without any prodding. Basi watu wakakasirika...
  2. Kwa Mzozo huu wa Congo DR na Rwanda nani ananibishia kuwa EAC haiendi kufa na Wazungu kufurahia?

    Tayari Tanzania, Burundi na Nusu ya Wakenya wanaisapoti Congo DR huku pia Uganda na Nusu ya Wakenya wakiisapoti Rwanda. Wazungu ambao Siku zote hawataki Kuiona Jumuiya hii ya Afrika Mashariki ikistawi wamefanikiwa Kutugombanisha na kwa Uzuzu wa Wanaogombanishwa wamekubali Kuingia katika huu...
  3. Ukiwa Maskini hata siku ya Kufa utakuwa nayo ni Shida tu kwa wengine

    Yaani unakuta mtu anakaribia kufa unamuuliza "sasa mzee unatuachaje?" Anasema "muishi kwa amani na upendo" Khaaaa... Amani na upendo hakuna mshiko? Mzee anakufa anawaachia Kauli tu. Maana ndiyo aliyo nayo hana mali.... Anaacha kauli na madeni.unakufa bado unawaachia shida. Si bora ungeishi...
  4. Serikali: Wahanga vyeti feki kulipwa mafao yao

    Watumishi wa Serikali katika Kada mbalimbali ambao waliondolewa kazini kutokana na tuhuma za kuwa na vyeti feki vya taaluma. Serikali imeagiza mchakato wa kuwalipa mafao yao uanze mara moja. Siku ya leo Mawaziri Wawili watafanya mkutano na waandishi wa habari kuhusu michango ya pensheni...
  5. R

    Adhabu ya kunyongwa hadi kufa ina maana gani?

    Hii adhabu tunayoisikia kila uchwao ya kunyongwa hadi kufa ina maana ya kumtundika mtuhumiwa kwenye kamba au hutekelezwa pia kwa njia zingine kama kiti cha umeme au sindando ya sumu hapa kwetu?
  6. Kuhusiana na Siku yako ya Kufa

    Kama akipatikana mtu anayeweza kukuelezea kwa usahihi tarahe,muda na namna ambayo utakufa. Na ukahakikisha kabisa kutokana na watu 1000 plus ambao aliwatabiria na ikwa kweli kwa asilimia 100. Ukapewa wazo nawe uende angalia Hatima yako. je ungependa uende kufahamu utakufaje na utakufa lini...
  7. Picha: Hizi Ndizo Sababu za Wanaume Kufa Mapema kuliko Wanawake

    Nisikuchoshe.....
  8. Ni ngumu sana kuwatoa Wasudan kwao, Simba ashawahi kushinda nyumbani akaenda kufa Sudan!

    Umofia kwenu. Ndugu zangu ni vigumu mno kuwatoa Wasudan kwao, ninasema hivI kutokana uzoefu nilikuwanao. Nilishwahi kuishi miaka miwili pale Sudan, kiufupi jamaa ni makatili ile mbaya. Simba alishawahi kushinda tatu kwa mtungi kwa Mkapa akiwafungu Ahli Shandy, ila alienda kufa nne bin sifuri...
  9. Piariz Hizza adaiwa kunyongwa na mumewe mpaka kufariki dunia

    Wakuu kuna habari mbaya Huko Tabata-Dar Es Salaam. Anasimulia Ndugu wa Marehemu. Piariz Charles Hizza ni mdogo wangu, alikuwaga humu Friends of Solo Mnamunga kipindi fulani simu yake ilipopata matatizo akatoka sikukumbuka kumrudisha tena. Leo mida ya mchana nikapokea simu nikaambiwa dogo...
  10. Natabiri Putin kufa kifo cha kutatanisha ndani ya miezi hii mitatu

    Huu uzi utunzwe kwa kumbukumbu za tabiri tashtiti zilizowahi kutokea hapa JamiiForums. Itakuwa hivi. Asubuhi ya Jumatatu, mwili wa Putin utakutwa unaelea kwenye bwawa la kuogelea. Sii walinzi wake watakaokuwa na jawabu amezamazamaje na amefikaje swimming pool. Tutayasikia mengi lakini huo...
  11. Watano wahukumiwa kunyongwa hadi kufa

    Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora nchini Tanzania, leo Ijumaa Septemba 30, 2022 imewahukumu kunyongwa hadi kufa watuhumiwa watano ambao ni wakazi wa Wilaya ya Igunga, Mkoa wa Tabora. Ni baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kumuua mume wa mwenye Ualbino wakati akimtetea mkewe kukatwa mkono kutokana...
  12. M

    Watano wahukumiwa kunyongwa hadi kufa

    Tabora. Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora nchini Tanzania, leo Ijumaa Septemba 30, 2022 imewahukumu kunyongwa hadi kufa watuhumiwa watano ambao ni wakazi wa Wilaya ya Igunga, Mkoa wa Tabora. Ni baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kumuua mume wa mwenye Ualbino wakati akimtetea mkewe kukatwa mkono...
  13. Kuwatetea Watanzania ni kupoteza muda

    Watanzania ni washenzi, nianze kwa kusema hivyo. Tumekabidhi hii nchi mikononi mwa CCM na tumeacha itupeleke kama inavyotaka na hatutaki kuhoji. Wakati wa uchafuzi mkuu wa 2020 mzee wangu alikuwa anashangilia kwamba wameshinda majimbo yote. Mimi nilimsikiliza tu nikaishia kumsikitikia. Mzee...
  14. Iringa: Adaiwa kumbaka mjamzito na kumsababishia umauti

    Jeshi la Polisi Mkoani Iringa linamshikilia Mohamed Mwanjali mkazi wa Mtaa wa Kitanzini kwa tuhuma za kumbaka Mama mjamzito na kumsababishia umauti. Mwenyekiti wa Mtaa wa Maweni Kata ya Kitanzini Yassin Kisogole amesema Mwanamke huyo alitendewa ukatili huo usiku wa kuamkia September 25,2022...
  15. Marekani yaandaa kifurushi cha $1b kwenda Ukaine huku tukisubiri wanywa gongo wanaolazimishwa kwenda kufa Ukraine

    Marekani imeandaa $1b kwa ajili ya silaha za kuendelea kuwahami Ukraine ili watetee ardhi yao dhidi ya wanywa gongo wa Urusi wanaolazimishwa kwenda kufia Ukraine, baada ya jeshi rasmi kushindwa na kukimbia mapigano..... WASHINGTON (AP) — The U.S. will provide an additional $1.1 billion in aid...
  16. Maandamano Iran: Vifo vyafikia 41 baada ya kisa mwanamke kufia mikononi mwa polisi kwa 'kutojisitiri'

    Nchi inaendelea kuwaka moto, watu wamechoshwa na uzombi wa kidini, na badala ya serikali kutafuta suluhu imekimbilia kulaumu Marekani na Israel kama ilivyo mazoea yao. ========= The number of people killed in Iranian protests that were sparked by the death of a woman in police custody rose to...
  17. Mkuu wa kanisa la orthodox nchini urusi awaasa wanaoenda ukrane wasiogope kufa.

    Mkuu wa kanisa la orthodox nchini urusi,mwandani na kiongozi mwenye ushawishi mkubwa nchini humo amewaambia makuruta watize wajibu wao na wasiogope kufa kwani hata wakifa wataenda kupumzika mbinguni. My take: Kiongozi huyu anajua hawatarudi urusi,ndio basi tena himars zinaenda kuwafyeka.Putin...
  18. Iran kunazidi kufuka moshi, kamanda adungwa kisu na kufa kwenye maandamano

    Raia wa Iran wamechoka na sheria za kidini za kumzuia mwanamke asionekane nywele, hii ni baada ya mdada mmoja kuuawa kisa kaonyesha sehemu ndogo tu ya nywele zake. Japo Waajemi au Persians wana akili, IQ zao huwa zimewazidi Waarabu na ndio maana wamefikia mpaka kwenye hatua za kutaka...
  19. Jengo la china telecom linaungua kwa moto. Mamia wahofiwa kufa.

    Jengo hilo hapo, ni katika mji wa Changsha.
  20. Waziri Ummy: Bima ya Afya (NHIF) inakaribia kufa

    Wakati mikakati ya kuboresha huduma za afya ikiendelea kuwekwa, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amebainisha dalili za kufa kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kutokana na kulemewa na madeni ya matibabu ya wanachama wake. Akifungua mkutano wa siku tano wa kikanda wa kuwajengea uwezo kuhusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…