kufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mikopo Consultant

    Ukiifahamu dunia kisawasawa huwezi kufa njaa wala kufa masikini!

    Hii elimu siwezi kuitoa public kwasababu serikali ya Tanzania kupitia Benki kuu ya Tanzania haitambua na inazuia watanzania kuelewa na kujihusisha na masuala yote yanayohusiana na Crpto currencies, forex, etc. Hii imekuwa ikinishangaza sana. Unakuta Gavana wa Benki Kuu anakaza shingo kweli...
  2. MK254

    Israel waonya yeyote atakayekubali uteuzi wa kumrithi Ayatollah, ajiandae kufa

    Yaani kinaitwa kiti moto, kalia hicho kiti ukijua muda wowote utashushiwa kitu kizito, hata ukijificha ndani ya mahandaki kama alivyofanya Ayatollah, kuna aina ya mabomu hufumua handaki. Israel imeteka anga, hivyo ndege zinaruka zikitafuta pakupiga. Iran kwa sasa ipo pabaya sana maana humo...
  3. Sifi Leo

    Kiukweli kauli ya Thabiti Kombo sio kauli nzuri kamwe anasema vurugu ilikuwa ndogo ukifananisha za mataifa mengine Africa how ?

    Kiukweli kauli ya thabiti kombo sio kauli nzuri kamwe anasema vurugu ilikuwa ndogo ukifananisha za mataifa mengine Africa how ? Kubabake kyabakari ntaliaamwe.
  4. ELI COHEN

    Baadhi ya misemo ya makapuku wenzangu

    "aah wapi, hayo mapiza na mabaga wanayokula na mimi ninae kula matembele vyote vitaishia kuwa mavi tumboni" "usione mtu amekuwa tajiri kiasi hicho wewe, watu wanalala na nyoka kitandani, wewe unaweza?" "usione dar hii watu wengi hali ngumu, lile sanamu la askari pale posta ndilo linalonyonya...
  5. Mhaya

    Larry Madowo aja na Documentary ya kuonesha jinsi Urusi inavyoshawishi Waafrika kwenda kufa vitani Ukrein

    Miezi ya Juzi kati nilikuja na chapisho la jinsi Waafrika waliokuwa wanaimba kwa Kiswahili walivyokuwa wanadhiakiwa kwa lugha ya Kirusi kwamba hawa ni takataka tu (Disposable) na wanaenda kuwekwa Frontline yani mstari wa mbele vitani. Sasa Larry Madowo kupitia kituo cha CNN kafanya full...
  6. Poker

    Nini kinachangia makampuni ya mabasi kufa, pindi waasisi wanapokufa au kuwaachia watoto?

    Nianze na mfano wa Hood class limited, Haya mabasi enzi zake kipindi kampuni anaiendesha mzee mwenyewe hood, yalikuwa ni balaa. Ndio mabasi yakwanza kuwa na TV kwa ndani kwa Tz, Ndio mabasi yakwanza kuwa na choo kwa ndani. Marcopolo yakwanza bongo ni Hood ndio ilileta, hata madereva waliofanya...
  7. Genius Man

    Anayeogopa kufa na kutekwa kwasababu ya kusimamia ukweli ni mhaini dhidi ya serikali ya mungu na anamchango mdogo kwenye kujenga nchi bora

    Ndugu zangu waislam na wakristo Watu wa mungu hawaogopi kufa wala kutekwa kwasababu ya kusimamia ukweli na hao ndio walio changia nchi kupata uhuru hapo awali. Mungu ataki waoga anataka mashujaa wenye msimamo wa haki kwenye hali yoyote ile wakati huu nchi inapo pitia majaribu tunapaswa...
  8. Fbn

    Kuna magonjwa kwa Tanzania kukuchangia ndungu,jamaa na marafiki ni ngumu.Subiri kufa tu

    Nakumbuka kwa Marehemu ruge tu,sio kwao pesa hakuna au watu wake wa karibu ila magonjwa mengine kama yanachukua pesa nyingi hupo kitandani tena ICU basi watu wanaomba uteuzi wa manyonyo kutaka amani sio haki. Nimeshuudia mzee mmoja umri miaka 89 kalazwa hospital na familia yake ina pesa ya...
  9. Fbn

    Ile kauli kusema katiba ni kijitabu kama mkiendelea naye sio 2035 mpaka kufa kwake

    Penda sana ku note maongezi ya mtu mfano "guys guys guys". Kuna kauli ukiziunganisha utapata mtu ana maanisha nini ?. Mfano kauli zake: "Msipo tuchagua tutaunda serikali yetu sisi CCM" "wale walifanya vurugu sio watanzania" "wazazi mgewafungia wanenu yasinge tokea haya" "Nguvu iliyotumika...
  10. The Palm Beach

    Anayedaiwa kutuma ushahidi kwa inayoitwa "Tume Huru ya Uchunguzi ya Jaji Othuman Chande" achukuliwa na 'wasiojulikana'

    NB: Anayetaka kuthibitisha hili, aende pale Mabibo zilipo Hostel za wanachuo wa UDSM aulize steshenari aliyokuwa anauza Dada Devotha. Watakuambia hajui alipo zaidi ya wiki sasa.... Shetani yuko kazini jamani kulinda himaya na utawala wake ktk Tanganyika akiwatumia mawakala wanadamu wenzetu...
  11. The Father of All

    Kama ICC itamfungulia mashtaka Samia, tujiandae kufunga na kuzira kula kwa ajili yake hata ikibidi kufa

    Nimesikia maadui wa taifa mashambenga, na wambea wengi wakitangaza na kusherehekea uwezekano wa mama kufungliwa mashtaka kwenye Mahakama ya Kimataifa kuhusiana na vurugu, siyo mauaji, maana waliokufa hawakufa, ndiyo maana hawakuzikwa. Wangezikwaje wakati hakuna miili ya kuzika? Halafu, ajabu...
  12. Mlalamikaji daily

    Kwa ufupi amekiri kwamba yeye ndio aliagiza watu wauwawe kikatili na pia HAJALI kwasababu aliona wanastahili kufa

    Yaani amesema ni yeye ndio ameua.. kwahiyo mtamfanya nini? Who are you.. Na atazidi kuwaua na hamtafanya kitu.. Kifupi wale wajumbe wa tume warudi majumbani wakacheze na wajukuu tu... Case closed.. Who are you????
  13. S

    Naenda kufa Desemba 9, hakuna haja ya kuendelea kuishi tena

    Rejea kichwa cha habari .
  14. robinson crusoe

    CCM Sikio la kufa. Wezi wameanza kuunda baraza la mawaziri

    Matukio ya karibuni yanaonyesha mifano dhahiri kwamba viongozi ni watu wa kejeli kama kuwataka wananchi “waende Burundi” badala ya kujisahihisha, na uteuzi wa watu wanaofahamu maovu ya serikali lakini wanapewa nafasi za juu kana kwamba lengo ni kufunika yaliyovunda. Wananchi wameonesha wazi...
  15. The Burning Spear

    CCM sikio la Kufa Zungu Hawezi kuendesha bunge la kuisimamia Serikali sahau

    GT Nadhani kwa sasa mnaona wote jinsi serikali ilivyoanza na uhuni bungeni. Zungu ni team msoga genge la wahuni hawezi kuruhusu mjadala wowote wa maana wenye tija kwa taifa. Amewekwa pale kulinda maslahi ya mafisadi hakuna jingine tumwombe tu mungu afanye yake mapema
  16. PAYE

    Mtumishi wa Mungu: Samia ukiendelea na Urais unaenda kufa, maana hana kibali cha Mungu

    Mtumishi wa Mungu amesema "Samia ukiendelea na Urais unakwenda kuuawa, utaondolewa: Mungu kakukataa”
  17. M

    (Kumbukizi) - Kamanda Muliro: Kwa jeshi hili, sidhani kama yupo anayependa kufa

    Aliyazungumza hayo Agosti 20 katika Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  18. Criss

    Tukubali kuendelea kuuawa na majanjawidi wa CCM kama kuku au tujitetee?

    Kuanzia siku ya uchaguzi hadi leo Taifa limekumbwa na taharuki kuu kwenye eneo la kiusalama . Hakuna kinachoumiza moyo kama raia kupigwa na risasi walizozinunua kwa Kodi zao wenyewe ,haukuna kinachoumiza moyo kama raia kuanza kuishi kwa mashaka kwenye Taifa lao. Siku ya uchaguzi na baada ya...
  19. Genius Man

    Watu wengi wataenda kufa na kutekwa kadri siku sitakavyoenda

    Serikali hii imeshindwa kabisaa kutibu matatizo ya watu wake na sasa kila anejaribu kuongea anatekwa kama kuku hii ni hatari kwa taifa na mpaka sasa kuna watu wanaenda kumuongezea kimama huyu miaka mingine mitano Niwaambie tu baada ya miaka mitano watu weengi sana watauwawa na kutekwa watu...
  20. Kubwjing

    TANZIA Arusha: Askari Polisi auawa Picnic bar akidhaniwa jambazi baada ya kuzidiwa kilevi na kwenda kulala kwenye gari lisilo lake

    ASALAAM ALEYKHUM WADAU, Aisee bana kuna Askari aitwaye Omari Mnandi, aliyekuwa ameingia katika gari binafsi la Mtu aliyekuwa akijivinjari maeneo ya Picnic, alijisahau akajiachia kama yupo kwenye gari lake mpaka kusinzia...(Nafikiri walikuwa katika Doria ya usalama) kilichotokea alipigwa na kitu...
Back
Top Bottom