kuelekea uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nipe Maji

    Mradi wa Boost wawezesha walimu 1,800 kidijitali kuboresha elimu msingi

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Charles Mahera, amefunga rasmi mafunzo ya matumizi bora na salama ya vifaa vya TEHAMA kwa walimu wa shule za msingi, yaliyotekelezwa kupitia Mradi wa Kuboresha Elimu ya Awali na Msingi (BOOST) kwa ushirikiano kati ya Wizara ya...
  2. Just Pray

    PreGE2025 Mbunge wa Lupembe asema CHADEMA wanavuka mipaka kwenda kuvuruga haki za wengine kupiga kura

    Mbunge wa Jimbo la Lupembe (CCM), Edwin Swalle, amesema ni makosa kuzuia uchaguzi au kuhamasisha watu wasishiriki kwa kuwa kushiriki uchaguzi ni haki ya kikatiba kwa kila Mtanzania. Swalle ametoa kauli hiyo leo Aprili 30, 2025 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia mjadala wa Makadirio ya...
  3. Just Pray

    PreGE2025 John Mnyika: Hoja ya kutakiwa kufanyika mbadiliko kabla ya uchaguzi si hoja ya CHADEMA ni hoja ya umma

    "Tunatambua kwamba sauti hii ya haja ya mabadiliko ya kuwezesha uchaguzi huru na haki sio sauti ya CHADEMA peke yake, na tunashukuru sana viongozi wa dini ambao wameiasa serikali isikilize sauti ya wanaotaka mabadiliko kufanyika kabla ya uchaguzi kuwezesha uchaguzi huru na haki tunaamini, kwa...
  4. Just Pray

    PreGE2025 Mnyika atoa ratiba mpya ya kampeni ya No reform No election, sasa ni zamu ya kanda ya Victoria na Serengeti

    Katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ametoa ratiba mpya ya ziara ya kampeni ya No reforms No election ambapo amesema licha ya kuendelea kwa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu bado wataendelea na mikutano ya hadhara na kubainisha kuwa tarehe 08 hadi tarehe 12 mwezi mei...
  5. Just Pray

    PreGE2025 Hoja sita CHADEMA, Madai ya makada wake kukamatwa na kupigwa

    "Niseme hatua kadhaa ambazo tunataka zichukuliwe (kutokana na kile ambacho CHADEMA inadai kuwa Jeshi la Polisi kupitia Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro imetoa taarifa za uongo kuhusu madai ya viongozi na makada wao kukamatwa, kupigwa na kuteswa mnamo tarehe...
  6. Just Pray

    PreGE2025 CHADEMA wasema Muliro alidanganya, Mnyika atoa ushahidi jinsi polisi walivyowakamata viongozi na wanachama wa CHADEMA

    "Tutaonesha kwa muhutasari matukio ya msingi yenye kuthibitisha kwamba jeshi la polisi lilikamata viongozi na wanachama wa CHADEMA, lilihusika kupiga viongozi na wanachama wa CHADEMA, lilihusika kufanya uharamia wa kudhalilisha utu wa viongozi na wanachama wa CHADEMA, na baada ya kuonesha...
  7. Just Pray

    Serikali yaunda timu kufanya tathmini bei kubwa uunganishaji umeme

    "Mhe. Spika imeelezwa pia bei ya kuunganisha umeme vijijini na Mijini. Nieleze la kwanza kwamba bei ya kuunganisha umeme ni shilingi 27, 000 vijijini na kwenye Vijiji miji. Serikali inaendelea kuunganisha umeme kupitia mpango wa National energy Compact na kwa mwaka 2025/26 serikali kupitia REA...
  8. Just Pray

    PreGE2025 Dkt. Biteko: CCM imefanya kazi mpaka ikapitiliza kile ilichoahidi

    "Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkataba wake na wananchi mpaka kufika mwaka 2025 haikuwa (kufikisha umeme kwenye) vitongoji, ilikuwa vijiji tu, vijiji imemaliza kabla ya wakati, na kabla ya wakati imehamia vitongojini na vitongoji 64,033 vyote vina umeme, yaani kwa maneno mengine CCM imefanya kazi...
  9. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mbunge Sophia Mwakagenda aitema CHADEMA, Ajiunga rasmi na CCM

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Sophia Mwakagenda, ametangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM), akisema uamuzi huo unalenga kuendeleza jitihada zake za kuwatumikia wananchi kwa ufanisi zaidi. Akizungumza mbele ya mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja...
  10. Nipe Maji

    PreGE2025 Serikali yajipanga kuongeza mikopo ya wanafunzi wa stashahada

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema Serikali imejipanga kuongeza wigo wa utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati vinavyotoa stashahada lengo ni kuongeza idadi ya wataalamu. Utoaji wa mikopo katika ngazi za stashahada kwa wanafunzi wa ngazi hiyo ya elimu...
  11. Nipe Maji

    PreGE2025 Chama cha siasa cha Wakulima (AAFP) chamteua rasmi kada wake, Kunje Ngombale-Mwiru kuwa mgombea wa urais

    Chama cha siasa cha Wakulima (AAFP) leo kimemteua rasmi kada wake, Kunje Ngombale-Mwiru kuwa mgombea wa urais atakayewakilisha chama hicho katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu. Hata hivyo, chama hicho kimeshindwa kumpata mgombea urais upande wa Zanzibar baada ya...
  12. Just Pray

    PreGE2025 Mbunge Kibamba: Watanzania wengi wanatamani kuona sura ya Rais Samia kwenye fedha zetu

    “Watanzania wengi wanatamani kuona Sura ya Rais Samia kwenye Fedha zetu, hii Italeta heshima kubwa kwenye Nchi yetu, kwa sababu tumeona mafanikio makubwa ya Nchi yetu kuongozwa na Rais Mwanamke” Issa Mtemvu - Mbunge wa Kibamba.
  13. Just Pray

    PreGE2025 Waziri mkuu: Serikali tutahakikisha uchaguzi unakuwa wa amani na utulivu, Tume huru ya uchaguzi wametuambia watausimamia kwa uhuru, haki na uwazi

    "2025 huu ni mwaka wa uchaguzi, sisi kama serikali, kama wadau wa uchaguzi, pindi tume huru ya uchaguzi watatoa ratiba tunatarajia nyie ndiyo mtalieleza taifa (Wanahabari) na sisi ushiriki wetu ni kuhakikisha kwamba yale yaliyo muhimu ya kuufanya uchaguzi huu kuwa wa usalama, na kila mmoja...
  14. Just Pray

    PreGE2025 Deodatus Mwanyika amuomba Rais Samia amrejeshe tena Hussein Bashe kuwa waziri wa kilimo baada ya uchaguzi 2025

    Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge viwanda, biashara, Kilimo na Uvuvi Deodatus Mwanyika amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan mara baada ya Uchaguzi Mkuu amrejeshe katika nafasi yake ya uwaziri wa Kilimo,Hussein Bashe Ili aendeleze mazuri yanayofanyika katika...
  15. Just Pray

    PreGE2025 Meya jiji la Arusha: Siyo kwamba Gambo anaonewa ukweli ni hahudhurii vikao, na akihudhuria anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka

    Katika kipindi cha Medani za Siasa kinachofanywa na Edwin Odemba (Chief Odemba) na kurushwa na Star TV, Meya wa jiji la Arusha aliulizwa kuhusu malalamiko kwamba Mbunge Gambo haudhurii vikao na haya yalikuwa Majibu ya Meya. “Siyo kwamba Gambo anaonewa, ukweli ni kwamba Gambo hahudhurii vikao...
  16. W

    PreGE2025 Nusrat Hanje: Mtoto wetu aliyezaliwa Singida anataka kuvuruga Amani, Hatutakubali tunakwenda na Dkt. Samia

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Nusrat Hanje, amesema taifa linahitaji kuwa na amani na kwamba uchaguzi unapaswa kufanyika bila kizuizi chochote, kwani pakikosekana amani hakuna pa kukimbilia. Akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Makiungu, Jimbo la Singida Mashariki...
  17. Just Pray

    PreGE2025 ACT- Wazalendo: Tungesusia uchaguzi, CCM wangefanya sherehe, Chama pekee kinaikosesha usingizi CCM ni ACT- Wazalendo

    Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, kwenye ziara yake katika mkoa wa Ruvuma wilayani Tunduru ambapo amesema kuwa "Kama ACT Wazalendo wangesusia Uchaguzi wa 2025, CCM wangefurahia sana hadi kuchinja ng'ombe."
  18. Just Pray

    PreGE2025 RC Makonda: Barabara Arusha ni ajenda ya kila kiongozi kuanzia ngazi ya mtaa

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema katika mkoa wake waliamua kuifanya ajenda ya barabara kuwa kipaumbele kuanzia kwa kiongozi ngazi ya chini hadi wa juu. Makonda ametoa kauli hiyo jana Jumamosi Aprili 26, 2025, wakati wa maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar...
  19. Just Pray

    PreGE2025 Tutaona mengi kuuelekea uchaguzi, Mwananchi asimulia alivyosaidiwa matibabu na Shigongo baada ya kuugua miaka nane

    Yote ni shuhuda kuelekea uchaguzi mkuu, wanasiasa wanaitafuta huruma ya wananchi. hatukuwahi kusikia shuhuda kama hizi huko nyuma :AAAA: :AAAA: :AAAA: msikilize mwananchi huyu, Mbanguji Paul wa Buchosa jinsi akieleza alivyosaidiwa matibabu ya jicho lililomtesa kwa takribani miaka 8 na Mbunge...
  20. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Mohamed Kawaida: Vijana msitumike kuvuruga amani ya nchi tuliyonayo kuelekea uchaguzi 2025

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana ya Chama Cha Mapinduzi UVCCM Taifa, CDE. Mohamed Kawaida amewataka Vijana nchini kutojiusisha na kuvuruga amani ya nchi tuliyonayo katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 2025. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
Back
Top Bottom