Wananchi wa Mtaa wa Longdong, Kata ya Sokoni 1 mkoani Arusha wamelalamikia ubovu wa kivuko eneo la Darajani.
Wameeleza hayo leo Aprili 15, 2025 katika ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda aliyefika kuwasikiliza.
Baada ya kusikiliza kero hiyo, Makonda ameahidi kufuatilia suala hilo kwa...
Serikali ya Mkoa wa Mbeya imeanza kutekeleza Mpango Maalumu wa upimaji maeneo ya Shirika la Utangazaji Tanzania TBC lililopo katika jiji la Mbeya, Utengule na Nsalala yaliyopo halmashauri ya wilaya ya Mbeya Vijijini kwa ajili ya Ujenzi wa Miji ya kisasa.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Dkt. Juma Zuberi...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ameamua kuifungua mikoa ya Kusini kiuchumi kwa kutenga kiasi cha Shilingi Bilioni 234 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya kiuchumi yenye umbali wa...
Chama cha Mapinduzi hakifikirii kuiachia dola kwabsabu uwezo wa kuihudumia nchi wanao, Katibu wa Siasa , mafunzo na Uenezi wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro, Abraham Urio, alipokuwa akizungumza na Banana FM Kupitia Kipindi cha Banana Breakfast anaeleza sababu hizo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa...
Jumuiya ya Umoja wa Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imekionya vikali Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA baada ya kuwepo kwa tuhuma za kupanga kuzuia kufanyika kwa uchaguzi Mkuu wa 2025 wa kuwachagua Rais wabunge na Madiwani.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
Mbunge wa Jimbo la Ulanga Salim Alaudin Hasham ameeleza yale yote yaliotekelezwa na Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan na kusema pamoja na yote bado hatoacha Kumuomba fedha Rais Samia Kwa ajili ya kutekeleza miradi iliobaki.
Salim Alaudin aneyasema hayo mara baada...
Mwenyekiti wa Umoja wa vijana CCM taifa (UVCCM), CDE Mohamed Kawaida amekiri kupokea malalamiko kutoka kwa vijana wa CHADEMA wakilalamikia kunyimwa haki ya kuchagua na chama chao kwa kitendo cha kugoma kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi.
"Chama chochote cha siasa ambacho hakifanyi...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda leo tarehe 14 April, 2025 ameshuhudia utiaji saini wa mradi mkubwa wa maji safi wa Sinya - Namanga wenye thamani ya shilingi bilioni 13.5 katika hafla iliyofanyika katika kijiji cha Ildonyo, kata ya Sinya Wilaya ya Longido akisema hatua hiyo inaenda...
Mradi wa maji wa Darakuta - Magugu - Mwada umetekelezwa kwa kutumia wataalamu wa ndani wa BAWASA (Force account) na kuwekwa jiwe la msingi Januari 25, 2022 na Kassim Majaliwa Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mradi huo ulianza kutekelezwa Sptemba 15, 2020 na kukamilika...
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, amesema kwa ukanda wa mikoa ya Kusini, yeye anabakia kuwa 'Simba'.
Nape ameyasema hayo leo, Aprili 13, 2025, wakati Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi na Mafunzo wa Ccm Taifa, Amos Makalla, akiendelea na ziara katika mikoa ya Kusini, Mtwara na Lindi.
Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza kuwa kitafungua kesi mahakamani kupinga baadhi ya kanuni za maadili ya uchaguzi ambazo kinaamini zinakiuka Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kikisema lengo ni kutafuta tafsiri sahihi ya haki za wananchi kisiasa.
“Chama cha siasa ni mdau, lakini yule...
Wakuu
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hakina fursa wala mipango ya kuwanufaisha wananchi, zaidi ya maneno matupu na kampeni ya kuomba michango, na kwamba...
Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Amos Makalla amewataka wananchi wa Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi wasichoke kuichangia timu ya soka ya Namungo, kwani uwepo wa timu hiyo unaleta utalii wa michezo unaosaidia kukuza uchumi katika wilaya hiyo na...
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X (zamani Twitter), Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema hatakuwepo katika kusaini maadaili Uchaguzi ya 2025 na hajateua Afisa au Kiongozi yeyote kwenda kushiriki kwa niamba yake
Ameandika “Katibu Mkuu CHADEMA sitakuwepo kwenye kikao cha tarehe 12...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Munde Tambwe, ameipongeza Serikali ya awamu ya Sita kwa kusikiliza na kutekeleza maoni ya wananchi kuhusu reforms za uchaguzi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
“Sisi tutaendelea kueneza mazuri ya viongozi wetu na mazuri ya chama chetu ili tuweze kuungwa mkono kwasababu kazi ya CCM ni kuboresha huduma za wananchi wake sio kudai serikali serikali tunayo sisi....." Abdul Kambaya - Mwanachama wa CCM
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imekamilisha kazi ya kupeleka umeme kwenye Vijiji vyote Tanzania Bara na nguvu sasa inaelekezwa kwenye vitongoji.
Kapinga ameeleza kuwa, pamoja na kazi ya kupeleka umeme vitongojini inayoendelea...
Mradi wa maji wa Kwala,uliogharimu zaidi ya bilioni 1.4 na kutekelezwa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) unakwenda kuwa mkombozi kuwaondolea changamoto ya ukosefu wa maji safi wakazi 6,407.
Akizindua mradi huo mkubwa, Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2025...
“Wapinzani wa Tanzania tunaishi kama watoto yatima ni watu ambao tunapata mateso sana kwenye hii Nchi lakini haya yote yataisha siku tukipata katiba mpya” Shabani Itutu
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
Wafanyabiashara na wajasiriamali wadogo mkoani Arusha wamemshukuru Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuhimiza sera na kuweka mazingira wezeshi ya kufanyia biashara nchini.
Wafanyabiashara hao wamesema kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.