Mwanachama wa JF na mdau mkubwa wa mitandao, Mdude_Nyagali amechukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni polisi usiku huu.
Walikuwa na silaha, wamevunja mlango.
Mdude amepigwa sana, alikuwa amelala nyumbani kwake Mbeya.
Watu hao wamevamia wakiwa na silaha, wakabomoa mlango, wakampiga sana...