Wakuu,
Akiwa anazungumza kwenye kipindi cha Goodmorning cha Wasafi, Tulia Ackson amekosoa vikali azimio la Bunge la Ulaya kuhusu kutaka Serikali ya Tanzania imuachie Tundu Lissu
"Baadhi ya sheria kama Uhaini, mapenzi ya jinsia moja yote yalianzishwa enzi za ukoloni, sasa hivi wamebadilisha...