Mtoto wa Msanii wa Bongo Fleva Shetta, Qailah Nurdin Bilal ambaye ni Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa katika Chama cha Mapinduzi (CCM) amewataka Vijana kwenda kuyasema mazuri yanafanywa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia kwa data kama Wasomi.
Akiwa kwenye Mahafali ya Seneti, Qailah ameongeza...