kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Watanzania tumuombe Mungu atende miujiza 90% ya wabunge waliopo Bungeni wasirudi tena

    Mungu huwq hashindwi kitu. Hutenda miujiza na anaweza kila jambo. Hawa wabunge wanaojali maslahi ya CCM kuliko maslahi ya wananchi hawafai kurudi bungeni. 90% ya wabunge walipita 2020 kwa mizengwe. Ndio wapo Bungeni kuongelea hoja za kulinda ulaji wao kuliko kutetea umma. Mungu atende miujiza...
  2. Kutuliza mzimu wa migawanyiko napendekeza makao makuu ya CHADEMA taifa yahamishiwe Zanzibar

    Hii italeta utulivu na usawa ndani ya chadema na kuondoa dhana ya chuki, dhihaka na ubaguzi dhidi ya viongozi wa kutoka Zanzibar na dhana ya kuitenga Zanzibar katika masuala mbalalimbali ikiwa ni pamoja na masuala ya mgawanyo wa rasilimali za chama hicho. Zaidi sana, makao makuu ya chadema kua...
  3. PreGE2025 Wasira: Viongozi wanaohubiri chuki wame wrong namba

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuwa Tanzania ni nchi ambayo watu wake wanaishi bila ya kubaguana kwa dini, rangi au kabila na kwamba hayo ni matunda yaliyotokana na kazi nzuri ya kujenga umoja na mshikamano iliyofanywa na waasisi wa taifa. Aidha, amewataka...
  4. PreGE2025 Heche amjibu RPC Tabora: Acha upotoshaji, huyo aliomba radhi kwa niaba ya mtoto wa dada yake ambaye alitushambulia

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA-Bara, John Heche, amemtaka RPC wa Tabora kuacha upotoshaji kuhusu tukio la kushambuliwa kwao wakati wa mkutano wao. Pia, Soma: Polisi Tabora: Aliyemuomba msamaha Heche sio Polisi, tayari tumeshamkamata Heche amesema hakuna sehemu yoyote kwenye mazungumzo ambapo...
  5. PreGE2025 Mkitaka reforms mkapige kura

    Katika siasa, kaulimbiu na propaganda ndizo karata zinazounogesha mchezo wa uchaguzi. Kila mshindani wako anapochanga karata zake, timu yako lazime ichange karata zako. Hiki ndicho kilichotokea kuelekea October 2025. Wakati CHADEMA wanaendelea na campaign ya No reform no election, CCM wamekuja...
  6. PreGE2025 Polisi Tabora: Aliyemuomba msamaha Heche sio Polisi, tayari tumeshamkamata

    Wakuu, Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limesema kwamba, halina Mkuu wa kituo cha polisi wa aina ya yule ambaye video yake ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii yenye kichwa cha habari kisemacho "Mkuu wa kituo cha polisi Tabora amuomba msamaha Heche baada ya vurugu", na kwamba tayari limemkamata...
  7. PreGE2025 Mzee Wasira: Mitano Tena" ni kwa Samia, wengine watasubiria mchujo

    My Take Safi sana Wasira unajua sana kuwakera 😂😂👇👇 Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, leo Juni 11, akizungumza na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Nyasa, mkoani Ruvuma, ametumia jukwaa hilo kuwakumbusha wanachama wa CCM nchini kuwa kwa sasa mgombea...
  8. PreGE2025 Kishindo cha Awamu ya Sita: Miaka Minne ya Rais Samia, Huduma za jamii zimeenea kila pembe ya nchi

    Wakuu, Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Rais Samia amevuka matarajio ya watanzania walio wengi. Ameonyesha mwanga na nuru pale ambapo hapakuwa na nuru wala mwanga Ni miaka minne pekee imetosha kuuonesha umma wa Watanzania kuwa wanawake wanaweza. Nakushukuru sana Rais wangu Samia kwa...
  9. Wabunge wapo Mjengoni Kutatua Shida Zao au za Wananchi?

    Wakuu, Nakubaliana na hii hoja ya Oscar Oscar Ni kweli kabisa kwamba mijadala ya Bunge letu mara nyingi huibua maswali kuhusu vipaumbele vya Waheshimiwa Wabunge. Lengo kuu la mbunge linapaswa kuwa kutimiza ahadi alizotoa kwa wapiga kura wake na kuwakilisha sauti zao, siyo kutafuta fursa za...
  10. PreGE2025 Uhakika wa serikali iliyopo madarakani kurejeshwa tena madarakani na wananchi Oktoba ni asilimia 100%

    Shauku ya vijana wengi waliofikisha umri wa miaka 18 hivi sasa nchini ni kuandika historia ya kua nao wanashiriki kwa mara ya kwanza kuandika historia ya kuamua mustakabali wa uongozi wa Taifa lao kupitia uchaguzi mkuu wa october 2025. Wengi wa vijana hao wana matarajio makubwa ya kutimiza...
  11. PreGE2025 Kigaila: Bora tufie kwenye vituo kuliko kutoshiriki uchaguzi

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Tanzania Bara, Benson Kigaila ameeleza kuwa chama hicho kitashiriki Uchaguzi Mkuu 2025 katika mazingira yoyote akieleza kuwa mabadiliko yataletwa kwa 'kuingiza timu uwanjani, na si kuuepuka. Kigaila ameyasema hayo wilayani Mpanda mkoani...
  12. Bwege: Mbowe anachikifanya ni kama mchezo wa Bata

    Kwanza kwa yote tumuombe Mungu ampe afya njema Mzee selemani bungala. Nimemsikia Eatv akichambua siasa za chadema kwasasa zilipo fikia ni sehem nzuri na ukweli na unafiki wa Mbowe utajulikana kabla ya mwezi wa nane kwasabb kwasasa anafanya michezo ya Bata kutanguliza watoto halafu yeye anafuata...
  13. PreGE2025 Msigwa: Mihemko imekuwa mingi, uhamasishaji wa kijinga Mitandaoni umekuwa mwingi, Vijana mjitazame

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa "Wakati mwingine unaona vikampeni havina mbele wala nyuma. Vijana tutumie mitandao kwa njia za kimanufaa, ukifanya makosa tutakupata." "Sheria inakataza kutukana, sheria inakataza uchochezi, sheria inakataza kuzua taharuki, sheria inakataza kudhalilisha...
  14. PreGE2025 Aliyekuwa Sheikh Mkuu Dar Es Salaam Alhad Mussa Salum atangaza matembezi ya watu 300 kutoka Dar hadi Dodoma "kuhamasisha" amani

    Wakuu, Tutaona mengi mwaka huu Amani nayo inatakiwa "kuhamasishwa"? Who is funding this? =================== Takribani watu 300 wanatarajiwa kushiriki matembezi ya hiari ya kilomita 452 kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma, wakidai kuhamasisha amani na maridhiano kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba...
  15. PreGE2025 Amos Makalla: Wapenzi wa Simba na Yanga msiwaunge mkono CHADEMA

    Wakuu, Hivi Makalla hana mtu wa kumshauri? Sasa ndo kauli gani hizi? Yaani huyu ilibidi kipindi kile alichosema kwamba CHADEMA wataleta Mpox na Ebola alitakiwa kupewa kitengo kingine asiwe msemaji wa CCM Inasikitisha sana kuona CCM ina msemaji kama huyu
  16. B

    PreGE2025 Rose Ndauka amekuwa msanii wa kike pekee aliyekataa uchawa na kuungana na wananchi kudai haki!

    Wakuu kwenye pita pita zangu nimekutana na post za msanii Rose Ndauka, ambapo ameweka wazi kuwa yeye hana chama, lakini pia yupo kwaajili ya kutetea Watanzania. Kwa wasanii wa kike Rose Ndauka amekuwa wa kwanza kusimama na wananchi na kuonesha wazi kutofumbia macho udhalimu unaofanywa. Rose...
  17. PreGE2025 POTOSHI Heche asema operesheni ya 'No reforms No Election ni ya kijinga sana, ni ya hovyo

  18. PreGE2025 Balozi Dkt. Bakari asisitiza Vijana kuepuka Wanasiasa wavurugaji, ataka wasiyumbishwe na 'No Reforms No Election'

    Balozi Dkt Mohamed Bakari, Mkurugenzi Mtendaji wa Jukwaa la Wazalendo Huru, amewasisitiza vijana kuwa wazalendo na kuhimiza wawe makini na yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii, akisisitiza waepuke wanasiasa wenye lengo la kuvuruga amani ya Tanzania, badala yake amewahusia kuwa wazalendo wa...
  19. PreGE2025 CHADEMA yatangaza hali ya hatari kwa Demokrasia, yalaani njama za kukandamiza Harakati za Mabadiliko

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuwaarifu viongozi, wanachama, na umma wa Watanzania juu ya hali ya hatari inayojitokeza kwa kasi dhidi ya vyama vya siasa vinavyopigania mabadiliko ya kweli nchini. Hali hii inaashiria juhudi za kurejea kwa enzi za utawala wa kiimla...
  20. R

    John Heche, sasa unaweza kutembea juu ya maji mengi kama Petro, Usiogope

    Salaam, Killa KITABU na nyakati zake, Hizi ni nyakati zako sahihi John Heche, huu ni wakati wa maji kugeuka cement na kuubeba mwili wako Kisha utem EE juu yake. Maji ni watu, watu waeza kukubeba illi ukivushe chama,sauti za kelele kwamba hayo ni maji tu utazamaaa,wengine upepo mkali unakuja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…