Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Bariadi Vijijini, Mesela Giligisi Mgamba, leo tarehe 26 Juni 2026 ametangaza rasmi nia yake mbele ya wanahabari na wafuasi wake.
Akizungumza mara baada ya kutangaza nia hiyo, Mgamba amesema kuwa moja ya sababu kubwa iliyomsukuma kuingia kwenye...