Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema hana Mpango wa kuanzisha Chama kipya Cha Siasa na wala hafikirii kuhama Chadema kwa sababu ndio Chama Bora kabisa barani Africa
Hata hivyo Lisu amesema pamoja na ubora wake Chadema Siyo Chama Cha Malaika
Soma Pia: Makalla: Lissu ni...
Wananchi wa Kata ya Olijoro namba 5 Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara ambapo leo Agosti 26, 2024 yamefanyika maandamano makubwa ya Wananchi wakiishinikiza Serikali, Kuwapatia maji baada ya huduma hiyo kuikosa kwa muda mrefu sasa.
Wananchi na Viongozi wa Vijiji wamesema changamoto hiyo ni ya...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina atamba kwa kusema Chama Cha Mapinduzi hakiwezi kumfukuza.
"Yani mimi ni fukuzwe kwa kuwasema hadharani wezi, mimi nifukuzwe kwa kukataa Wananchi kudhulumiwa. Mimi nilikataa Wananchi kudhulumiwa" Luhaga Mpina.
Soma Pia: Mpina: Mzee Kikwete Mwaka 2012...
Ikitokea akakubali ushauri wa wazee wa Singida eti agombee Ubunge kwenye miongoni mwa majimbo yaliyomo mkoani Singida, Tundu Lisu atashidwa vibaya mno ikiwa atagombea Urais wa Tanzania, huku uwezekano wa kupewa nafasi hiyo ndani ya chama chake CHADEMA ukiwa finyu na mdogo sana.
Siasa zake za...
Kama unaifahamu psychology kama mimi basi utaungaba na mimi kwamba Tundu Lissu anamtesa sana Dr Samia.
Huku mmoja akiwa ni Rais na amwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na mwingine akiwa ni Mgombea Mtarajiwa na Makamu Mwenyekiti Chama cha Demokrasia na maendeleo.
Mwaka 2015 hadi 2020 wakati wa Dr...
Wote wenye Nia ya kugombea nafasi za uongozi hasa uchaguzi wa nafasi ya Urais mwaka 2025 wajikite kwenye masuala ya Usalama na uchumi.
Kwanza, wajikite kwenye kuimarisha Usalama wa nchi. Hali sio nzuri kwa Sasa kutekwa na kupotezwa imekuwa Jambo la kawaida kwa Sasa. Inatakiwa Rais ajaye aweke...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Samia Suluhu Hasssan ni mwanasayansi wa sayansi ya siasa kiasili.
Ni kiongozi anayeijuwa vyema sana sayansi ya siasa.ni kiongozi ambaye anajuwa kucheza na lugha na maneno Utafikiri magwiji na mafundi ya mpira aina ya christian...
"Jana kulikuwa kuna viji-clip vinarushwa kulikuwa kuna Simba machachari pale mkorofi kidogo, nikauliza huyu Simba mmempa jina nikaambiwa bado, nikawaambia muiteni mwanangu Tundu Lissu mpeni jina la huyu Simba, kwa sababu alikuwa hatulii kama alivyo mwanangu Tundu Lissu," - Rais Samia
Soma...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema, CCM ITABAKI MILELE madarakani sababu ni moja tu wanaowaongoza ni wananchi masikini sana.
Huwa nashangaa mfano mbunge anakuja watu wanamchekeachekea tu yaani ile ya kujipendekeza kwa tajiri nafikiri mmenipata.
Kuna siku kamapeni ilifanyika mkoa fulani...
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa ameshuhudia wanachama 24 wa vyama vya CUF na ACT-Wazalendo wakirejea CCM ndani ya siku mbili.
Majaliwa alishuhudia wanachama hao wakikabidhi kadi zao kwa Katibu wa CCM wa Wilaya ya Ruangwa, Bw. Abbas Mkwenda...
Kuna shida sana ya watanzania tulio wengi,tumeathirika sana na ushabiki hasa wa namna ileile ya simba na yanga.
Siasa zinahitaji ufuasi,mfuasi ni mtu anayeelewa barabara kile anchokifuata kimaono, kimtazamo, kisera
Hizi siasa za kishabiki mtu anaunga mkono chama fulani kwa mihemko au kapewa...
Ni kawaida sana kwa vijana wa kitanzania ambao ni boda boda kutumika kila uchaguzi.
Kijana yupo tayari kutumika na CCM eti kisa siku hiyo umejaziwa mafuta full tank ndio unasahau mateso miaka mitano aliyopambana mwenyewe bila msaada wa mtu ifike muda vijana tuamke kwa vitendo.
Pesa...
CHADEMA ikiongozwa na Tundu Lissu imekuwa ikipigania Haki za wafugaji hasa wamasai waliopo mikoa mbalimbali Tanzania, kama. Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Tanga, Morogoro, Pwani, Dodoma, Chunya Mbeya.
Kutokana na umoja wa wamasai walionao , nadiriki Kusema nimetembelea Vijiji vingi na Kata za...
Akiwa huko kizimkazi leo akipita katika mabanda ya wanyama alipofika banda la Simba haraka akauliza huyu Simba mmempa jina gani wakasema hana jina akasema mpeni Tundu Lissu!!
Simba ni mtawala na ni mfalme, ana nguvu na akili sana. Samia alijiita chui Jike leo kamwita Lissu Simba.
Simba ni...
Wakuu, heshima kwenu!
Moja kwa moja kwenye hoja yangu.
Hivi karibuni 'Tume huru ya Taifa ya uchaguzi', ilitangaza kuanza kuandikisha/kuboresha/kurekebisha daftari la kudumu la wapiga kura, kwa wakazi wa Mkoa wa Mwanza na Shinyanga, kuanzia tarehe 21 August, 2024 mpaka tarehe 27 August, 2024...
Maradhi yatokanayo na uoga hutuzalishia ujinga wa fikra.
Ndugu zangu wanaccm na watanzania kwa ujumla ,ninamshukuru kwa baraka zake za kutuwezesha kuiona siku ya leo.
Kumcha Mwenyezi Mungu ndiyo mwanzo wa maarifa. Nakumbuka mwaka 2019 katika mashindano ya Qur aan Dar es salaam
Rais wetu...
Mwenyekiti Kanda ya Kaskazini na Mjumbe wa Kamati kuu - CHADEMA Godbless Lema amesema kama yeye angekuwa Rais wa Tanzania basi angeondoa hotel zote zilizojengwa porini.
Kama serikali ingefikiria kama Lema kusingekuwa na mgogoro baina ya serikali na wamasai Ngorongoro.
Soma Pia: Rais Samia...
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF Mheshimiwa Hamad Masoud amesema kuelekeka uchaguzi Mkuu ndani ya chama hicho ngazi ya Taifa, hakutakua na mgogoro wowote kwa kuwa wanachama hao hawana tamaa ya madaraka
Hamad ameeleza hayo wakati akichukua fomu ya Kugombea nafasi ya Uenyekiti Taifa wa...
Kwamba, kwa kuwa Dr. Sulle kagundua kuwa Wamasai walioandamana Ngorongoro si Watanzania bali ni Wakenya wenye nia mbaya dhidi ya Tanganyika, inaonesha ya kwamba yeye yupo makini zaidi kuzidi vyombo vyetu vya dola.
Kama ndivyo, ni vizuri akakabidhiwa Wizara ya Mambo ya Ndani pamoja na ukuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.