Chama cha Mapinduzi kimejizatiti kwa kuongeza ufanisi ktk ngazi za chini kupitia program ya kugawa Pikipiki maarufu kwa Pikipiki za Samia Suluhu.
Hata hivyo baada ya kuzigawa kwa walengwa (Makatibu Kata, Makatibu wa Jumuiya Vijana, Wanawake, na Wazazi) nchi nzima kuna zilizobakizwa bila...
Wakuu salam,
Tumekuwa tukiona wasanii wakitumika kwenye kampeni na kujiingiza kwenye shughuli za kisiasa ambao karibuni imekuwa too much. Huko nyuma CCM walikuwa na bendi yao ikiongozwa na Hayati Kapt. Komba, kidogo kidogo wasaanii wakaanza kuingizwa kuburudisha, kwa Hayati Magufuli ndio ikawa...
Hello !
Asubuhi asubuhi mwananchi yuko mlangoni kwa diwani kutaka chai , mchana ugali. Akiwa na mgonjwa kama hana pesa ya dawa mbio kwa diwani kuomba msaada.
Sasa diwani analemewa analazimika kukwapua kwenye fungu la kata ili aweze ku survive na kuonekana Mheshimiwa kama anavyotukuzwa ...
Nafasi ya uwakilishi, mathalani udiwani n.k inamfaa zaidi kuliko pale alipo sasa, halafu mbaya zaidi kuna uwezekano mkubwa akatoswa baada ya uchaguzi ndani ya chadema kumalizika baadae mwaka huu.
Kuliko kusubiri fedheha hiyo itakayo muathiri kisiasa, Busara imuelekeze kuachia ngazi kulinda...
Huko Instagram kuna kitu wanafanya challenge eti wanaita Samia challenge, wanashindana kuvaa ushungi na vimiwani kama Raisi 😆😆😆😆
Ingekua Mimi ni huyu mama ningefanya kama Kagame au Mugabe, naburuza hadi nichoke mimi, sasa kama watu maarufu NI kama maiti unaburuza tuu, raia asilimia kubwa...
Wanabodi,
Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa.
Naangalia mijadala mbalimbali ndani ya Bunge , naliona kama Bunge limedorora fulani hivi, limepoza, Mbunge pekee machachari wa CCM, Luhaga Mpina yuko nje kwa kadi nyukundu. Wakina Msukuma, Kibajaji...
Ndugu zangu viongozi na viongozi watarajiwa,
Hii nchi yetu pedwa haitabadilishwa na viongozi wa sasa ambao wamefundishwa kufanya kila wafanyanalo kuhudumia viongozi wenzao badala ya kuhudumia taifa. Viongozi ambao wanafikiria watapata vipi pesa kutokana na kodi na rushwa.
Viongozi ambao...
Kauli ya Tundu Lissu kwamba "CHADEMA sio baba yake wala mama yake, hivyo ikitokea kuhama anaweza kuhama tu," inatoa ishara ya kuwa uhusiano wake na chama sio wa kihisia, bali ni wa kimaslahi na maamuzi yake yanaweza kubadilika kwa urahisi.
Hii inaweza kuwaudhi wanachama wa CHADEMA ambao wanaona...
Uchafu na dhuruma za uchaguzi mkuu wa 2015 wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020 na kinachoendelea sasa dhidi ya wapinzani, utekaji, kupoteza watu na usanii wa 4R na kinachoitwa tume huru ya uchaguzi nimeamua sipigi kura tena kwakuwa ni kupoteza muda na nguvu.
Chaguzi zenye haki...
Wakuu mpo vizuri?
Kuna kauli nyingi zimewahi kutolewa kitambo na wanasiasa katika nyakati mbalimbali ambazo baadhi zimekuwa zikijirudia lakini pia nyingine zimetekelezwa kama walivyoziongea hata kama baadhi au wengi wetu yuliona ni za kipuuzi.
Tutumie uzi huu kutupia kauli hizo, tukiwa na...
Jeshi la Polisi nchini limezuia mikutano ya hadhara ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyopangwa kufanyika wilaya ya Ngorongoro, mkoani Arusha kuanzia Agosti 29.2024 hadi Septemba 15.2024, mikutano iliyotarajiwa kuongozwa na Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Gabriel Makala...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu amesema Chadema ilistahili kupata Wabunge wa Viti Maalum 18 kulingana na formula ya Uteuzi ila tunashangaa Tume imepeleka bungeni Wabunge 19
Aidha CCM walipaswa kuwa na Wabunge 84 lakini wako 94, yaani nchi hii usanii ni kila mahali,.amelalamika Lisu...
Ndugu zangu Watanzania,
Mpaka sasa Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Rais Mstaafu wa awamu ya nne anashikilia rekodi ya kupata kura nyingi na kwa asilimia kubwa katika awamu yake ya kwanza tu katika kutafuta nafasi ya kuingia ikulu tangia mfumo wa vyama vingi uanze.
Napenda...
https://www.youtube.com/watch?v=ZL2V3hUw5Hg
Akihojiwa na Katika Kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema “Sikuwahi kufuatwa na Mtu akaniambia anipe hela ili nisiwe na msimamo Fulani, safari hii nimefuatwa ndio maana imebidi nikemee hadharani.”
Bila...
Kulingana na mahojiano ya Tundu Lissu na mtangazaji wa ITV , Lissu alidai mara ya Mwisho CCM kufanya uchaguzi wa Mwenyekiti kwa ushindani ilikuwa mwaka 1954 kati ya Julius Nyerere na Abdulwahid Sykes. Ambapo Nyerere alimbwaga Abdulwahid Sykes. Uchaguzi huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Anatoglou...
Unadhani falsafa hii inamaanisha nini?
Mathalani,
inasemekana wafia chama wa CUF wanapambana kuhakikisha mgombea Urasi wake anakua ni Profesa pekee, na anapata nafasi hiyo bila changamoto kwa heshima ya utumishi wake uliyotukuka kwa chama kwa muda mrefu.
lengo lao ni kuepusha gharama kubwa...
Polisi walitumia nguvu kubwa mpaka ya akiba kuzuia kongamano la vijana wa CHADEMA kule Mbeya kwa kuwatenda unyama na kuwatweza vibaya viongozi wa kitaifa wa CHADEMA.
Kabla hakujapoa, Ngorongoro ikainuka, wamasai wakajaa barabarani kudai haki yao ya kutambuliwa kama raia huru wa nchi hii ambapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.